Ndio nimetua Mwanza hivi punde....
Nimepokelewa na charminglady na @C6, watu wa Mwanza ni wakarimu sana, nipo hapa Hoteli ya JB Belmont nimejipumzisha kabla ya kuianza siku na vikao lukuki, jioni, nitakutana na wana JF wa Mwanza kwa ajili ya kubadilishana uzoefu halafu tuna Party kidogo kwa mwendo wa LEO TUPO HAPA PUB.....LOL
Copy to: Mamndenyi, Paloma, Madame B, madam Z, Mrembo by Nature, King'asti, Elizabeth Dominic, BADILI TABIA, Chauro, Smile, Kipaji Halisi, gfsonwin, cacico, MadameX, Lisa, snowhite, Nivea, ladyfurahia, Nicas Mtei, Mwita Maranya, Jeska, amu, Kaizer, KakaKiiza, Fidel80, Swts, mwaJ

Mkuu naona unameanza style ya Mkulu! Juzi Selou, leo Mwz! Haya bana. Ukifanikiwa kupita Lamadi usiache kuwasalimu watoto wa Erickb52 na Mr Rocky pale Mkula. Umuulize Elizabeth Dominick yaliyomsibu Erickb52 pale Gold Crest!
Ndio nimetua Mwanza hivi punde....
Nimepokelewa na charminglady na @C6, watu wa Mwanza ni wakarimu sana, nipo hapa Hoteli ya JB Belmont nimejipumzisha kabla ya kuianza siku na vikao lukuki, jioni, nitakutana na wana JF wa Mwanza kwa ajili ya kubadilishana uzoefu halafu tuna Party kidogo kwa mwendo wa LEO TUPO HAPA PUB.....LOL
Copy to: Mamndenyi, Paloma, Madame B, madam Z, Mrembo by Nature, King'asti, Elizabeth Dominic, BADILI TABIA, Chauro, Smile, Kipaji Halisi, gfsonwin, cacico, MadameX, Lisa, snowhite, Nivea, ladyfurahia, Nicas Mtei, Mwita Maranya, Jeska, amu, Kaizer, KakaKiiza, Fidel80, Swts, mwaJ
Mtambuzi mdogo mdogo na charminglady, mi mwenyewe nina safari ya huko muda sio mrefu, so "kula umbakishie baba"
Migebuka, Kamongo, Sato, Sangara, Perege au ???
Karibu sana Mwanza kaka mkubwa...bill zote hapo hotelini familia ya watu8 itaziclear....tuna ubia na jamaa wa JB
asante kwa kunikumbusha my princess...:becky:
Karibu daddy... Mic u!!!!"