Mzee Mengi na Jacqueline maisha ni motomoto,wakubwa wanafaidi

kuna umri ukifika tunapaswa kukubali kuwa baadhi ya mambo yapite tu japo fedha zipo zisikutese nyonga zitakushtaki.
 
.....wapigie marafiki, waambie hii sio kila wiki, hii ni kula siku, mchana na ucku,...sherehe imepamba moto kama uswazi na kiduku.......pesa pesa pesa pesa......
 
Jilie vitu vyako mzee Mengi hayo madua ya kuku yasikutie pressure,kwani hela mlitafuta wote?
 
Ukisoma comment zote zinazomponda mzee Mengi wengi wao maisha yamewa baka kiasi kwamba wamesha jikatia tamaa! Angekuwa amefanya bill gates mzungu angeonekana mjanjaaaaaaaa! Wabongo punguzeni chuki! Vijana tutafute hela uzee utakuja kutuumbuaa
 
View attachment 341454 View attachment 341456 View attachment 341458 View attachment 341460 View attachment 341462 View attachment 341463 View attachment 341464 View attachment 341465

Kweli pesa ni kila kitu.Hizi ndio pesa na raha yake,sio wale watani zangu wa Nyanda za Juu Kusini,unakuwa na pesa halafu mke unamuweka kama "msukule" anakaa tu dukani siku nzima.

Bata mara moja moja kama hivi si haba,unakula bata na watoto na wife hapa na pale..Mambo ya kuja Dsm kwa kupanda fuso peleka huko...

Yaaah!hela sabuni ya roho! Nimekusoma!
 
!
!
Kuwa uyaone aisee.
 
Kama ndo hivyo kweli angebakia na mke wake yule yule waliyeanzaga naye kutafuta miamia
Siyo jizeee kama hilo linachukua kidemu kisa lina hela
Ungekua wewe ndo Mzee, nahisi Leo ungekua Jela kwa kosa la kutoa roho ya Mkeo!

Mnaongea tu vitu msivyojua, kuna dhambi zingine Partner akifanya, mwambie awasalimie huko atapoenda.
 
Back
Top Bottom