Bird Watcher
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 4,468
- 9,156
Wazuri hawafi!!!Wakuu,
Huyu Mzee wetu Makamba ni mnafiki sana alitubuana na Jiwe Kwa mambo yake ya Kuuma na Kupuliza
Leo nimeona list ya watoto wa Viongozi wengi sana wakiwa wamependekezwa ili kwenda kupigiwa Kura na Wajumbe
Kitu Kimenifurahisha Mtoto wa Mzee Makamba January Makamba wamemkata!!!
Huyu Mzee ndio kapotea kabisa kwenye Mikutano ya chama Sasa alambe asali Vizuri
Hakuna Mtu Mkubwa kuliko Chama.
Chato kwa Jiwe 🤣🤣🤣🤣🤣Akaombe msamaha chato
Tabia ya Chura Kiziwi haitofautiani sana na ya American tyrant Donald Trump. Wote wanathamini sana machawa na wana visasi vya kijinga sana!Wakuu,
Huyu Mzee wetu Makamba ni mnafiki sana alitubuana na Jiwe Kwa mambo yake ya Kuuma na Kupuliza
Leo nimeona list ya watoto wa Viongozi wengi sana wakiwa wamependekezwa ili kwenda kupigiwa Kura na Wajumbe
Kitu Kimenifurahisha Mtoto wa Mzee Makamba January Makamba wamemkata!!!
Huyu Mzee ndio kapotea kabisa kwenye Mikutano ya Sasa alambe asali Vizuri
Hakuna Mtu Mkubwa kuliko Chama.
Alikuacha na mimba ya miezi mingapi mkuu?Chato kwa Jiwe 🤣🤣🤣🤣🤣
Jiwe ilikuwa laana kwa Taifa lenu
Mze Makamba hafai, ni mnafiki mno. Yule anafaa kuimba taarab tuWakuu,
Huyu Mzee wetu Makamba ni mnafiki sana alitubuana na Jiwe Kwa mambo yake ya Kuuma na Kupuliza
Leo nimeona list ya watoto wa Viongozi wengi sana wakiwa wamependekezwa ili kwenda kupigiwa Kura na Wajumbe
Kitu Kimenifurahisha Mtoto wa Mzee Makamba January Makamba wamemkata!!!
Huyu Mzee ndio kapotea kabisa kwenye Mikutano ya chama Sasa alambe asali Vizuri
Hakuna Mtu Mkubwa kuliko Chama.
Ila ni mabilionea kwasasaNi mwisho wa enzi, kwa familia hii ya kitapeli
Upo sahihi, wameliibia sana hili taifaIla ni mabilionea kwasasa
Wameiba sana.....Ila ni mabilionea kwasasa
Jiwe alilolikataa Makamba naona limekuwa laana kwa familia yake sasa.Chato kwa Jiwe 🤣🤣🤣🤣🤣
Jiwe ilikuwa laana kwa Taifa lenu
Makamba na familia yake walijisahau sana.Akaombe msamaha chato
Ubilionea bila power/madaraka siyo mtamu, vinginevyo usingeona msululu wa matajiri kugombea UbungeIla ni mabilionea kwasasa