Wanahofia unaweza kuleta zile mambo zako za kumsifia yule mzee wako. Ahueni leo umemsifia huyo Makamba! Hivyo wanatakiwa wakusamehe.Asante mzee wetu, Mungu aendelee kukutunza tuendelee kukufaidi
View attachment 1752007
Ila Moderator mods mnafuta threads zangu mnooo
Natamani mngekua mnanipa sababu
Wanahofia unaweza kuleta zile mambo zako za kumsifia yule mzee wako. Ahueni leo umemsifia huyo Makamba! Hivyo wanatakiwa wakusamehe.
Tatizo na nyinyi mmezidi kumsifia yule mzee wenu! Yaani tayari mnna Bosi mpya! (BossLady) Na ushahidi ni yale mabango na zile picha za ukutani tulizo zibadilisha! Lakini bado nyinyi mnaendelea tu kumtambua na kumwabudu Bosi wenu wa zamani! Sijui aliwapa nini yule mzee!!Kwani Jf ina ubaguzi kwenye kumsifia yule mzee wangu? Au imekua ni kwaajili ya Tundu peke yake?
Nadhani mimi najua Jf ni huru kwa kila mtu kutoa mawazo na maoni yake na kupingana iwe ni kwa hoja na sio kwa matusi ua kufutiwa threads
Na hatuachi kumsifia yule mzee ng'o!Tatizo na nyinyi mmezidi kumsifia yule mzee wenu! Yaani tayari mnna Bosi mpya! (BossLady) Na ushahidi ni yale mabango na zile picha za ukutani tulizo zibadilisha! Lakini bado nyinyi mnaendelea tu kumtambua na kumwabudu Bosi wenu wa zamani! Sijui aliwapa nini yule mzee!!
Hili jambo halikubaliki hata kidogo.
Ulikuwa hujui JF ni michadema tuKwani Jf ina ubaguzi kwenye kumsifia yule mzee wangu? Au imekua ni kwaajili ya Tundu peke yake?
Nadhani mimi najua Jf ni huru kwa kila mtu kutoa mawazo na maoni yake na kupingana iwe ni kwa hoja na sio kwa matusi ua kufutiwa threads
Kwani nisimsifie makamba kwanini
Halafu nyie watu bhana..... mnafikiri kila kitu na kila mtu anapinga pinga kama nyie
Atake asitake lazima aongezewe mpk 2030.Kama ni hivyo jf inaenda kupoteza maana yake
Huyu hata kaa amsahau Mjamaa Bashiru na Chair walichomfanyia. Alipiga magoti bila kupendaAsante mzee wetu, Mungu aendelee kukutunza tuendelee kukufaidi
View attachment 1752007
Ila Moderator mods mnafuta threads zangu mnooo
Natamani mngekua mnanipa sababu
Ilishapoteza zamani sana,Kama ni hivyo jf inaenda kupoteza maana yake
Naam huku kiongozi wa malaika akichapa kazi tu.Mitano halafu mikumi tena
Kuna Lumumba forums kwa sasa ndio habari ya mjini mnaweza ku join.Ilishapoteza zamani sana,
Ipoteze mara mbili? Huoni wanamsifia kila anayeponda JPM. Usijali ukweli wa umahiri wa JPM unajulikana kwa asilimia 99 hiyo asilimia 1 ni watu wenye wivu na kazi iliyotukuka Aliyoifanya kwa muda mfupi. Aidha mama Samia maskini ameyumbishwa hapa mwanzo, naona tangu kibajaji ajilipue bungeni, atakuwa ameelewa ili kweli kazi iendelee. Usisahau kuna sasa makundi 3 ambayo ni wafuasi wa JK na mafisadi wenzake; kundi la Lowasa lililokuwa limejifuta ila baada ya hotuba ya hovyo ya JK wakati wa maziko limeibuka, na wafuasi kindakindaki wa JPM (ambao wanachukia ufisadi). Kazi ipoKama ni hivyo jf inaenda kupoteza maana yake
Magu kwangu ametoweka kimwili tuuuTatizo na nyinyi mmezidi kumsifia yule mzee wenu! Yaani tayari mnna Bosi mpya! (BossLady) Na ushahidi ni yale mabango na zile picha za ukutani tulizo zibadilisha! Lakini bado nyinyi mnaendelea tu kumtambua na kumwabudu Bosi wenu wa zamani! Sijui aliwapa nini yule mzee!!
Hili jambo halikubaliki hata kidogo.
Na hatuachi kumsifia yule mzee ng'o!
Na boss mpya bosslady tunamkubali kama mtangulizi wake maana chuma hunoa chuma
Tunamtambua na tutandelea kumheshimu kazi kwenu nyio mnaoumia akisifiwa sababu mtakufa kwa kihoro
Hatuhitaji approval yenu kusema John Pombe Joseph Magufuli ni shujaa wa karne
Poleni kwa maumivu
Huyu naye ni famba snWanahofia unaweza kuleta zile mambo zako za kumsifia yule mzee wako. Ahueni leo umemsifia huyo Makamba! Hivyo wanatakiwa wakusamehe.