Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,303
- 4,684
My point my dear ni kwamba I find Majuto very funny!!
Anaitwa Amri Athuman...al maarufu kama mzee Majuto.
Kila mchezo anaoigiza ni lazima mwishoni majuto yamkute na ndio maana ya jina lake.
Akicheka utacheka.
Akinuna utacheka.
Akiongea utacheka.
Akilia utacheka.
Akifoka utacheka.
Akiongea kibaasha baasha utacheka.
Akimchamba mtu utacheka.
Akisutwa utacheka.
Akiongea huku kabana pua utacheka.
akitembea utacheka.
Blad baaskut huyu mzee ni khabar nyengine