Mzee kipara afariki Dunia

Mzee kipara afariki Dunia

Maskini pole sana kwa familia yake..

Nimekumbuka enzi zile za mchezo wa radio (wa kuigiza), sauti ya mzee kipara, nzito na mkewe bi cha....(nimesahau jina). Mtu ulikuwa ukosi ku tune-in
 
Sote ni wa Allah, yeye mbele nasie tupo nyuma yake.
R. I. P mzee wetu
 
Katika michezo ya RTD ninayoikumbuka ya Mzee kipara ni pamoja na ule wa "talaka rejea"
RIP Mzee wetu
 
Kalale Pema Mzee Kipara. Ulituburudisha kwa wakati wako. Lakini tulikuwa wanafiki na wenye roho mbaya kwa kutokukujali wewe kukupa misaada hata ya matibabu. Sasa tunakupa sifa sana.
 
apumzike kwa amani mzee wa watu siku zake za mwisho ameteseka sana
 
Back
Top Bottom