Mzee kipara afariki Dunia

Mzee kipara afariki Dunia

Masikini huyu mzee alishaomba Watanzania wamsaidie lakini Mungu ndio tena kampenda kuliko sisi! R.I.P Mzee Kipara.
 
bwana ametoa bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.pole kwa familia na watu wote
 
R.I.P

yaani wasanii wameshindwa kusaidia maisha ya huyu mzee?


Si wasanii tu! Hata hao wana siasa. Sasa,tusubiri watakavyo kuwa wanagongana kilioni! Mheshimiwa J.K,sidhani kama atakosekana huko!!!
 
Dah Nakumbuka Mzee Mitemba ulikuwa unafurahisha sana Radio Tanzania..

Mwenyezi Mungu amuweke pahari panapostahiri
 
Inna Lillahi wainna ilaihi Rajihunna mzee wa Gerezani, Kariakoo.

 
Mbona kuna thread nyingine ya huyu mzee?mods tunaomba muziunganishe iwe moja
 
Back
Top Bottom