Mzee Kingunge Ngombale Mwiru azungumza kuhusu Tundu Lissu

JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
30,441
55,018
..inaelekea Mzee Kingunge Ngombale Mwiru anamkubali Tundu Lissu kama mzalendo wa kweli wa nchi hii.

..anatambua mchango wa Tundu Lissu, na ana hamu kumuona akirudi nchini kuendeleza mapambano.

..msikilize hapa chini. Utasikia akisema " A LUTA CONTINUA "

Who cares? Amkubali au asimkubali hizo ni fikra zake.

Alimkubali Lowassa mpaka akajiondoa CCM na kumfuata CHADEMA, what happened?

Tanzania is bigger than an individual opinion and twisted mind.

Kilicho cha muhimu kwa sasa ni kumuombea ili apone haraka na kurudi katika hali yake yenye afya njema.
 
Wote ni wagonjwa,,mmoja yuko ubeligiji mwingine Dar. Kichwani wamejaa pain killer.wacheni wapone
Magonjwa hutofautiana wapo wanaogulia ktk mitandao nao utawajuwa kwa mawazo Yao wanayoyatoa
..inaelekea Mzee Kingunge Ngombale Mwiru anamkubali Tundu Lissu kama mzalendo wa kweli wa nchi hii.

..anatambua mchango wa Tundu Lissu, na ana hamu kumuona akirudi nchini kuendeleza mapambano.

..msikilize hapa chini. Utasikia akisema " A LUTA CONTINUA "

Kingunge wa leo si yule wa jana lolote atamkalo kwa sasa halina faida wala hasara miaka miwili nje ya ccm kuna hasara au faida!
 
Kingunge atajidhalilisha sana asiporudi CCM.....CCM imemlea mpaka kawa babu leo anakimbilia kwa wapiga dili? ajitathmini vizuri

I agree with you....Ni kosa kubwa kimaisha...Kwa mtu kama Kingunge kufanya kosa kama lile in life tena basi very late in life, binafsi ilinishangaza mno ....There was no point at all ya/kwa yeye kuhama CCM...Angeweza kubaki CCM hata kama ilimuudhi pengine, na akanyamaza kimya asiseme kitu....
 
Huyu mzee ni wale CCM wa zamani ambao walikuwepo wakati wa chama kushika hatamu halafu wakaamua wao wenyewe kwamba sasa inatosha, tuifungulie nchi, pamoja na kina Mzee Warioaba.

Wale waliorithishwa chama, ambao hawakuwepo na hawajui histori ile, ndio wanaoturudisha kule, wakina Mzee Magufuli na hawa wabunge watoto kina Kibajaji, Ndugai, Shonza, Mhagama n.k.

Halafu kuna wazee wa chama ambao walikuwepo, wanaijua historia ile lakini hawana principle, wanaganga njaa zao na pensheni zao na walinzi wa Usalama wa Taifa, wanaangalia demokrasia inapotea Watanzania wanachinjwa, wanapotea, wanatupwa baharini, wanaona ni sawa tu, wakina Mkuchika, Ally Mwinyi, Mzee Billali, Jakaya Kikwete etc... Hawana chembe ya uzalendo.

Mwisho kuna wengine ni lightweights tu, upeo wa kuchambua mambo mdogo, Mizengo Pinda kwa mfano, amesimama kwenye mkutano mkuu wa chama akasema anazi admire sana siasa za chama cha kikomunisti cha China. Mambo ambayo hata Nyerere alikufa ameyakana toka 1985.
 
Sizonje kalipuka kwa hasira huko aliko. Kwa maana hataki kusikia Tundu Lissu akisifiwa kama hivi, tena na kigogo aliyeilea CCM kwa miaka zaidi ya 40.
 
Mwambien huyo baba ubaya hata kama anafanya siri hiyo siri imefichukaa na nchi hii hawez badilisha katiba eti atawale miaka 7 au milele

Sisi siyo wapuuz kama Rwanda Uganda au Zimbabwe

Yeye na choko wake bashi.te waache ndoto za alinacha
 
I agree with you....Ni kosa kubwa kimaisha...Kwa mtu kama Kingunge kufanya kosa kama lile in life tena basi very late in life, binafsi ilinishangaza mno ....There was no point at all ya/kwa yeye kuhama CCM...Angeweza kubaki CCM hata kama ilimuudhi pengine, na akanyamaza kimya asiseme kitu....
Wala hakuna kosa
 
Back
Top Bottom