Mzee Kingunge Ngombale Mwiru azungumza kuhusu Tundu Lissu

I agree with you....Ni kosa kubwa kimaisha...Kwa mtu kama Kingunge kufanya kosa kama lile in life tena basi very late in life, binafsi ilinishangaza mno ....There was no point at all ya/kwa yeye kuhama CCM...Angeweza kubaki CCM hata kama ilimuudhi pengine, na akanyamaza kimya asiseme kitu....
Hataki kuwa mnafiki! Tatizo kubwa la Tanzania ni unafiki wa wazee wa CCM. Watu wanateswa na wao wanaangalia tu kwa kuwa wao hawaguswi na mateso
 
Tundu lissu hajatoa tena tweets zake tokea chadema wabadili gia angani na kushiriki uchaguzi kinondoni
 
Masikini huyo mzee anatilisha huruma saana.
Kangekua kamejikalia CCM saa hii kangekuwa ujerumani kanatibiwa na serikali
Jisikitikie wewe ambaye hautavuka miaka 60. Mwenzako anakaribia 90. Ujerumani akafanye nn? Wewe ndiye wa kwenda Germany japo huo uwezo huna utaishia mwananyamala tu.
 
I agree with you....Ni kosa kubwa kimaisha...Kwa mtu kama Kingunge kufanya kosa kama lile in life tena basi very late in life, binafsi ilinishangaza mno ....There was no point at all ya/kwa yeye kuhama CCM...Angeweza kubaki CCM hata kama ilimuudhi pengine, na akanyamaza kimya asiseme kitu....
Eti angekaa kimya usiwaambukize wenzako uoga.

Kama wewe huwezi kusema maovu yanayotendeka kwenye jamii kaa nayo moyoni ufe nayo wenzako hawako hivyo.
 
Usijipe jukumu la kuwachagulia watu itikadi, eti "kingunge wa leo si wa jana "acha unafiki kaka, kuna faida kuwa mnafiki?
 
Who cares? Amkubali au asimkubali hizo ni fikra zake.

Alimkubali Lowassa mpaka akajiondoa CCM na kumfuata CHADEMA, what happened?

Tanzania is bigger than an individual opinion and twisted mind.

Kilicho cha muhimu kwa sasa ni kumuombea ili apone haraka na kurudi katika hali yake yenye afya njema.
Mkuu Lissu aliyetandikwa risasi 38 yu mzima na anaendelea na kampeni kwa kishindo , mpiga push up hata kupanda chopa hawezi !
 
Back
Top Bottom