Mzee Kikwete, leo ndiyo leo; msituangushe

Mh. Rais mstaafu Jakaya Kikwette tunayo matumaini makubwa kwenu kuwa ule muda ambao taifa hili limeusubiri mno hatimaye umewadia.

Ni wazi kuwa kila mtu katika nchi hii angalipendelea tuishi sote kwa usawa na haki. Utashi wa viongozi wa juu katika kufanikisha hayo ni jambo la muhimu sana.

Kufanya maamuzi magumu yatakayorejesha imani ya wananchi kwa nchi yao itakuwa jambo la msingi mno kwa sasa labda kuliko jambo lolote lile.

Pana watu wakiwamo watia nia wengi waliojaribu kuutaka urais na kura kuwa hazikutosha hali nafasi ni moja wakiwamo akina:

1. Asha Rose Migiro
2. Mzee Mwandosya
3. Bernard Membe
4. Mizengo Pinda
5. Frederick Sumaye
6. Edward Lowassa
7. Abdulhaman Kinana
8. Philip Mangula
9. Anna Mghwira
10. Dkt. Slaa
11. Dkt. Nchimbi
12. Nk nk

Watu ambao hawakuwamo ndani ya establishment ya sasa au wale waliokuwa na maoni tofauti kuhusiana na establishment ya sasa kwa hakika wangetufaa sana.

JK tupeni raha kwa kuandaa mustakabala mwema utakaotuletea mwanzo mpya.
Kwa kifupi maneno yako ni ya mtu mvivu wa kufikiri, mtegemezi anayedhani mambo mzuri huja km zawadi..
Who s JK now? Watanzania tujifunze kujitegemea, hizi siyo zama za kurudia rudia watu kwenye uongozi, mtu akifanya sehemu yake akamaliza au akastaafu basi imetosha..Tanzania ina watu million 60 sasa kwa hivyo wapo wenye uwezo pengine kupita hata hao waliohudumu nafasi mbali mbali..kurecyle viongozi ni kuonyesha kiwango cha juu sana kwamba nchi haina watu wapya wnaoweza kuwa viongozi! HAPANA..nadhani tumeshatoka huko tuangalie mbele, wastaafu wapumzike zamu yao ilishapita.
 
Mkuu mvivu wa kufikiri utakuwa ni wewe. Kusoma kwingi kunatoa uwanda mpana zaidi wa kuona. Ungekuwa umejinafasi zaidi labda.

Hakuna anayesema JK akawe VP. Tunataka mabadiliko. Kimsingi tunajua hata katika hali tuliyopo sasa washukuriwe sana ambao kiutaratibu kama wangekaa kimya kuna genge la hatari lililojizatiti kuendeleza tusiyoyataka.

Zipo njia nyingine nyingi za kupambana na genge hilo. Ungekuwa wewe si mvivu ungekuwa umetambua kuwa JK anaweza kufanikisha kupambana na genge la namna hii kwa gharama nafuu zaidi.

Tatizo letu liko pale pale. Watanzania walio wengi ni wajinga sana. Huenda wewe ni mmoja wa wajinga hao.

Kumbuka ujinga siyo tusi.

Pole lakini mkuu.
 
Tunataka mwanzo mpya. Utakaotambua nchi ni yetu sote. Utakaotambua tuna janga la Corona. Utakaotambua katiba mpya ni agenda yetu muhimu.

Mwanzo utakaotambua maendeleo ya watu nayo ni muhimu tena zaidi ya maendeleo ya vitu.
Suala la katiba mpya hakika na kwambia usitegemee kiongozi wa CCM akatupatia katiba mpya. Wananchi ndio wanatakiwa waamue wanataka katiba mpya iwe kwa hari au kwa shari
 
Kikubwa waachane na hawa watu ambao walikuwa system ya Marehemu. Wakiwaigiza tu ..tumekwisha
Mh. Rais mstaafu Jakaya Kikwette tunayo matumaini makubwa kwenu kuwa ule muda ambao taifa hili limeusubiri mno hatimaye umewadia.

Ni wazi kuwa kila mtu katika nchi hii angalipendelea tuishi sote kwa usawa na haki. Utashi wa viongozi wa juu katika kufanikisha hayo ni jambo la muhimu sana.

Kufanya maamuzi magumu yatakayorejesha imani ya wananchi kwa nchi yao itakuwa jambo la msingi mno kwa sasa labda kuliko jambo lolote lile.

Pana watu wakiwamo watia nia wengi waliojaribu kuutaka urais na kura kuwa hazikutosha hali nafasi ni moja wakiwamo akina:

1. Asha Rose Migiro
2. Mzee Mwandosya
3. Bernard Membe
4. Mizengo Pinda
5. Frederick Sumaye
6. Edward Lowassa
7. Abdulhaman Kinana
8. Philip Mangula
9. Anna Mghwira
10. Dkt. Slaa
11. Dkt. Nchimbi
12. Nk nk

Watu ambao hawakuwamo ndani ya establishment ya sasa au wale waliokuwa na maoni tofauti kuhusiana na establishment ya sasa kwa hakika wangetufaa sana.

JK tupeni raha kwa kuandaa mustakabala mwema utakaotuletea mwanzo mpya.
 
Kwa kifupi maneno yako ni ya mtu mvivu wa kufikiri, mtegemezi anayedhani mambo mzuri huja km zawadi..
Who s JK now? Watanzania tujifunze kujitegemea, hizi siyo zama za kurudia rudia watu kwenye uongozi, mtu akifanya sehemu yake akamaliza au akastaafu basi imetosha..Tanzania ina watu million 60 sasa kwa hivyo wapo wenye uwezo pengine kupita hata hao waliohudumu nafasi mbali mbali..kurecyle viongozi ni kuonyesha kiwango cha juu sana kwamba nchi haina watu wapya wnaoweza kuwa viongozi! HAPANA..nadhani tumeshatoka huko tuangalie mbele, wastaafu wapumzike zamu yao ilishapita.

Mkuu mvivu wa kufikiri utakuwa ni wewe. Kusoma kwingi kunatoa uwanda mpana zaidi wa kuona. Ungekuwa umejinafasi zaidi labda.

Hakuna anayesema JK akawe VP. Tunataka mabadiliko. Kimsingi tunajua hata katika hali tuliyopo sasa washukuriwe sana ambao kiutaratibu kama wangekaa kimya kuna genge la hatari lililojizatiti kuendeleza tusiyoyataka.

Zipo njia nyingine nyingi za kupambana na genge hilo. Ungekuwa wewe si mvivu ungekuwa umetambua kuwa JK anaweza kufanikisha kupambana na genge la namna hii kwa gharama nafuu zaidi.

Tatizo letu liko pale pale. Watanzania walio wengi ni wajinga sana. Huenda wewe ni mmoja wa wajinga hao.

Kumbuka ujinga siyo tusi.

Pole lakini mkuu.
 
Soma nyuzi za huyu ndugu brazaj za mweziwa 3 mwaka jana.
Sikuanza nae leo huyu kujadiliana kuhusu corona .tangu mwaka jana.na alishatabiri kuwa tanzania itaweka lock down.ndo namkumbusha leo.
Yule aliyekuwa anakataa lock down ameshaondoka.
Amshauri wa sasa nae aweke.na ndipo ninapomuuliza brazaj ikiwa samia atakaa lock down WATAMCHUKIA KAMA MAGUFULI?.
YALE MATUSI WALIYOKUWA WAKIMTUKANA MAREHEMU WATAMTUKANA SAMIA?

Ni muhimu sana kuwa mkweli. Tumesema sana kwamba Corona ni ugonjwa kama ugonjwa mwingine. Yaani niscience.

Kwamba tofauti yake ni kuwa hili ni janga la dunia.

Mapendekezo yamekuwa kuchukua hatua. Kwanza kwa kuutambua ukweli huo kuhusiana na ugonjwa huu na kufuata miongozo ya WHO.

Katika nyuzi zangu nimekuwa wazi kuwa mabarakoa na social distancing. Ambapo lockdown ni extreme case ya social distancing, ya lazima inapobidi.

Kuninukuu nje ya context ni kuonyesha uwezo finyu wa kuchanganua mambo tu. Wala hakukuongezei lolote popote.

Moja ya nyuzi zangu mwaka jana kumuasa mh. Magufuli na haya yaliyomkuta sasa ni huu hapa:

kaka sio wewe uliyetabiri lock down?

Rejea ukasome nilichokuandikia bado hujaelewa.

Kuendelea kujadili lolote hali hujaelewa tunakotoka ni kupoteza muda au siyo?
Ondoa upuuzi wako hapa, kama unadhani JK anaweza na kujua sana uongozi, mtafutie sehemu nyingine sio hapa, alishamaliza zamu yake ukurasa ukafungwa basi! Sidhani kuna zuri alibakisha analoweza kulileta sasa, wavivu na wajinga wa kupenda vya bure ndio wanafikiri uchura huu unaoleta hapa.
 
kaka sio wewe uliyetabiri lock down?

Nilitabiri lockdown. Kwani kuna ubaya gani kutabiri lockdown?

Lockdown unajua maana yake lakini jombi? Usije kuwa unadhani ni dubwana fulani eeh?

Kwenye kupambana na Corona zipo njia mbili hizi zinazopendekezwa:

1. Mabarakoa
2. Social distancing

Hapo ukichanganya na kunawa nawa maji tiririka hata bila AstraZeneca unaweza kudunda kwa muda.

Lockdown ni total social distancing yaani 100% social distancing. Yaani kiwango cha mwisho cha social distancing.

Kumwelesha mburula haijawahi kuwa rahisi lakini.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Ondoa upuuzi wako hapa, kama unadhani JK anaweza na kujua sana uongozi, mtafutie sehemu nyingine sio hapa, alishamaliza zamu yake ukurasa ukafungwa basi! Sidhani kuna zuri alibakisha analoweza kulileta sasa, wavivu na wajinga wa kupenda vya bure ndio wanafikiri uchura huu unaoleta hapa.

Upuuzi ni tusi.

Hoja zajibiwa kwa hoja. Ilipokuwa lazima Nyerere aliingia ulingoni.

Go JK go. Tupo wengi tu, tulio nawe.

Chatto Inc. ni wa kuogopa kuliko ukoma!

Hiyo ndiyo habari yenyewe.
 
Suala la katiba mpya hakika na kwambia usitegemee kiongozi wa ccm akatupatia katiba mpya. Wananchi ndio wanatakiwa waamue wanataka katiba mpya iwe kwa hari au kwa shari

Kikwette alianzisha mwenyewe suala la katiba mpya.

Katiba mpya ni msingi.

Magufuli alikataa pamoja na yote aliyovuna yanajulikana. Acha tujaribu nyani wapya kwenye pori jipya.

Ya Mussa hutokea.

Tusifunge milango kabisa.
 
Upuuzi ni tusi.

Hoja zajibiwa kwa hoja. Ilipokuwa lazima Nyerere aliingia ulingoni.

Go JK go. Tupo wengi tu, tulio nawe.

Chatto Inc. ni wa kuogopa kuliko ukoma!

Hiyo ndiyo habari yenyewe.
Ndoto za chura kulilia mvua kiangazi..reference za upumbavu kabisa, ujinga wa kujitakia ili badae uite wastaafu warekebishe ujinga wako. Kumbe akili yako inawaza chato..ndio maana punguani wewe, hakuna unayemkomoa, unajipumbaza mwenyewe, bora hata ufikiri biashara ya kuchoma mihogo itakusaidia..kuliko kudhani JK atakuletea VP, sahau..
 
Chatto Inc. mtakula mliko peleka mboga wala msitufokee.

Kwa hii timu:

IMG_20210218_174254_207.jpg

Meza imepinduka. Zamu ya kulima kwa meno ndiyo kwanza inakuja.

Ni yale ya kutesa kwa zamu. Tulieni tuli sindano hiyo, dawa iwaingie.
 
kwa list hiyo maana yake CCM watu hakuna

Kambi kimsingi zipo mbili. Magufuli kindaki ndaki aka Chatto Inc au waliokuwa mguu nje.

Vijana ni kama hao tunaowajua.

Anatakikana lesser devil hapa.

JK akitufagilia kina getegete nje si haba. Safari huanzia mahali.
 
Chatto Inc. mtakula mliko peleka mboga wala msitufokee.

Kwa hii timu:

View attachment 1731017

Meza imepinduka. Zamu ya kulima kwa meno ndiyo kwanza inakuja.

Ni yale ya kutesa kwa zamu. Tulieni tuli sindano hiyo, dawa iwaingie.
Nenda mirembe ukatibiwe kifafa chako wewe..nyinyi ndio mnasababisha watu walete virus ili waafrika wafe dunia ipumue sabab ya akili zinazowaza ujinga wa aina hii, hakuna cha zamu kurudisha ujinga wenu, uongozi ni kutumikia watu km awamu hii ya 5 inavyofanya..VP mpya yupo tayari, bandua bandika, kazi inaendelea..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom