Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,331
- 14,259
Aiseeee mbona umri wake huyo mrembo ni sawa na mjukuu wake?View attachment 1634263
My take;Vijana tafuteni pesa kwa nguvu zote,ukishakuwa na fedha,Uzee inaisha,watoto wa mjini wanasema "Uzee mwisho Chalinze".Sasa wewe endelea kutafuta Six pack,utaishia kuwaita watoto wazuri Shemeji.
Binti anatafuta matunzo, kurithi, hakuna love hapo, pumbavu wote kabisa. Jizee lmebakiza siku ngapi kufa? Linaoa ili iweje?View attachment 1634263
My take;Vijana tafuteni pesa kwa nguvu zote,ukishakuwa na fedha,Uzee inaisha,watoto wa mjini wanasema "Uzee mwisho Chalinze".Sasa wewe endelea kutafuta Six pack,utaishia kuwaita watoto wazuri Shemeji.
Ha ha haView attachment 1634263
My take;Vijana tafuteni pesa kwa nguvu zote,ukishakuwa na fedha,Uzee inaisha,watoto wa mjini wanasema "Uzee mwisho Chalinze".Sasa wewe endelea kutafuta Six pack,utaishia kuwaita watoto wazuri Shemeji.
Uso wa bi harusi hauna furaha kabisa, halafu tunaipinga taarifa ya furaha duniani kwa kushika mkia.binti anatafuta matunzo, kurithi, hakuna love hapo , pumbavu wote kabisa. Jizee lmebakiza siku ngapi kufa? linaoa ili iweje?
Umpigie nani? Mzee Mg'wandu au huyo mrembo wake?Ngoja nimpigie kumpongeza.
KabisaaHa ha ha
Kamuolea shamba boy!
Wazee wanatafuta dogo dogo.Aiseeee mbona umri wake huyo mrembo ni sawa na mjukuu wake?
Mzee anatafuta wa kumpa joto, mabinti wadogo dogo wana joto sio kama wabibibinti anatafuta matunzo, kurithi, hakuna love hapo , pumbavu wote kabisa. Jizee lmebakiza siku ngapi kufa? linaoa ili iweje?
Shamba boy, goma hilo unaletewa utusueView attachment 1634263
My take;Vijana tafuteni pesa kwa nguvu zote,ukishakuwa na fedha,Uzee inaisha,watoto wa mjini wanasema "Uzee mwisho Chalinze".Sasa wewe endelea kutafuta Six pack,utaishia kuwaita watoto wazuri Shemeji.
Kwakuwa mwanamme hazeeki bora aendelee kupiga PUMP tu madogodogo!!Wazee wanatafuta dogo dogo.
Wewe Mungu mpaka useme kuwa amebakiza siku chache za kuishi??? Tafuta hela acha wivubinti anatafuta matunzo, kurithi, hakuna love hapo , pumbavu wote kabisa. Jizee lmebakiza siku ngapi kufa? linaoa ili iweje?
When you are above 70, than unadhani nini kimebakia?wewe Mungu mpaka useme kuwa amebakiza siku chache za kuishi???Tafuta hela acha wivu
joto gani, hata nguvu ya kut..ba anayo basi? kusumbka na dunia!Mzee anatafuta wa kumpa joto,Mabinti wadogo dogo wana joto sio kama wabibi
Huyo kimoja tu chaliKwakuwa mwanamme hazeeki bora aendelee kupiga PUMP tu madogodogo!!
Yu neva no,labda ndio sura yake ilivyo.Tazama lugha ya uso wa huyo bi. Kharusi ndio utaelewa... Ndoa hiyo ni ya furaha au ndoa maslahi??
Unasema kweli mkuuNchi Mambo Ni Moto
Mambo Yanayotukwamisha Ni Mengi Sana
Nasema Uongo Ndugu Zangu