Mzee Dkt. Pius Ng'wandu (Waziri wa zamani) aoa mrembo

NDOA zimekuwa na changamoto kubwa maishani,si ajabu kumkuta kijana mkubwa hana mke.Wanawake wanaangalia wapi kuna 'mpunga' wa kueleweka, 'bata' kwa sana,sio kuoa mtoto wa mtu ukampigishe miayo tu, halafu mbavu chini hakuna matumaini yeyote.Wazee wenye nazo wanajitwalia vitu vilaini kwa raha zao
 
Back
Top Bottom