Mzee Dkt. Pius Ng'wandu (Waziri wa zamani) aoa mrembo

Fall Army Worm

JF-Expert Member
Jan 8, 2015
19,322
14,244
IMG-20201124-WA0013.jpg



My take; Vijana tafuteni pesa kwa nguvu zote, ukishakuwa na fedha, Uzee unaisha, watoto wa mjini wanasema "Uzee mwisho Chalinze". Sasa wewe endelea kutafuta Six pack,utaishia kuwaita watoto wazuri Shemeji.
 
View attachment 1634263


My take;Vijana tafuteni pesa kwa nguvu zote,ukishakuwa na fedha,Uzee inaisha,watoto wa mjini wanasema "Uzee mwisho Chalinze".Sasa wewe endelea kutafuta Six pack,utaishia kuwaita watoto wazuri Shemeji.
Binti anatafuta matunzo, kurithi, hakuna love hapo, pumbavu wote kabisa. Jizee lmebakiza siku ngapi kufa? Linaoa ili iweje?
 
72 Reactions
Reply
Back
Top Bottom