Mzee Butiku awaita wazee kujadili amani, haki na maendeleo

Mzee Butiku awaita wazee kujadili amani, haki na maendeleo

Mazungumzo hayajawahi kuwa nyenzo ya upatanishi na ujenzi wa amani popote pale. Mazungumzo yanachelewesha amani na kuimarisha uovu. Amani inaletwa na kurekebishwa kwa kile ambacho kinamakosa kisiporekebishwa lazima industrial action itumike.
Hiyo njia ya "MAZUNGUMZO", ni mbinu tu ya kuendeleza maovu, bila ya kufanya marekebisho popote.

Huyu mzee Butiku, sijui imekuwaje wamemgeuza kuwa mpuuzi kiasi hiki.
 
Eti "Washiriki katika mkutano huu ni wazee katika maana pana ya watu wenye hekima na busara kutoka kwenye makundi mbalimbali ya kijamii wakiwemo viongozi wa Dini, wasomi, wazee wastaafu, wanawake, vijana, vyama vya siasa, Tasnia ya Habari na Taasisi za Kiraia (AZAKI)"

Hekima na busara inapimwaje ili kuwatambua hao "wazee"?
 
asubuhi, unalenga kutoa nafasi kwa wazee kujadili na kutoa maoni kuhusu misingi iliyoundwa na kudumisha Taifa la Tanzania kuwa nchi ya amani, umoja, haki na yenye matumaini ya maendeleo endelevu ya watu
Katika maneno haya yaliyonukuliwa hapa, sioni mahali popote panapomhusisha Samia Suluhu Hassan kuwa miongoni mwa viongozi waliolenga kuyatimiza hayo maneno kwa mmmanufaa ya taifa letu.
 
Butiku ni anachekesha sana, badala ya kuita wanaopigania haki na wale waliondoa haki anaita wazee. Wazee watasaidia nini? Rubbish
Huyu yumo kwenye mipango tu ya kutumika kusafisha uchafu wa Samia, hana heshima tena huyu.

"Sijui alipo Polepole, ila niliongeanae", huo ni ujumbe maalum uliopenyezwa humo kiaina katika mwendelezo wa ulaghai wa anayemtumia huyu mzee.
 
Back
Top Bottom