Mzee baba, pakacha limeanza kuvuja ujue...

Acheni Masihara jamani.
Kumbe ni kweli Mkuu anamtafuna mama Kairu.....
Msukuma anapenda sana vitu vyeupe.

Namwonea huruma sana Mama Janetth.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Mzee baba mshana jr niko banana maeneo ya kujidai java executive lounge,njoo ijumaa nikununulie monde kwa bluetooth hata tusionane sawa tu ukija na chawa wako itapendeza ila nna mengi yanayohitaji msaada wako. tiba ya chumvi ni nyokoo! nimejionea!
 
PAKIKUCHA NDO NAANZA KUSOMA NYUZI ZA MSHANA JR, MAANA ANAZIPOST MIDA YA KILINGENI! NIKIZISOMA KWA MUDA HUO INAKUWA HEKAHEKA SITAKWASITA HUWA SILALI!
 
[emoji15] [emoji123] [emoji123] [emoji109] ntakuja na jichawa hybrid jeupee... Malazi vepee?
 
PAKIKUCHA NDO NAANZA KUSOMA NYUZI ZA MSHANA JR, MAANA ANAZIPOST MIDA YA KILINGENI! NIKIZISOMA KWA MUDA HUO INAKUWA HEKAHEKA SITAKWASITA HUWA SILALI!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom