Practically nini yeye ndiye anasema kifanyike nini paleSi naibu kateuliwa kusaidia pale
Baada ya kusoma hii point nikarud juu kusoma vizuri kuhusu cheupe ndio nikaelewaUjumbe umefika mkuu, cheupe dawa amefanya makubwa. Kule Gemstones mzee baba ameshikilia mwenyewe, cheupe akitekeleza majukumu ya kulea kichanga.
Na maudhui ya tamthilia ile ndiyo yanayoishi leo! Asifiwe mtunzi yule na wewe uliyeiamsha kwa wakati muafaka!![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
maudhui ya ile tamthilia ya Ngoswe yanahitimishwa na huu wimbo wa MATEMBELE.. Tafadhali utafute au wajuzi wa video watatusaidia
Andika kiswahili wala sijakuelewa umepoteza muda mpare
Kauli mbiu ya Chama la Wana Ujinga ni MtajiAndika kiswahili wala sijakuelewa umepoteza muda mpare
Mkee 100 anasemaje na vina7Ushamba ni mzigo mkuu...mtoto wa town awezi kuuza mechi kwa zilipendwa tena maji ya jioni kama vile
Daaaahhhh,mwanangu una vina zaidi ya Solo Thang!Eti..!
Ngoswe kaona cheupe?
Ofisini hali tete?
Kila kitu tepetete?
Chama lina kitete?
Wana wanavua pete?
Mshana utapewa msulupwete.
Kuna mtu alikuwa anapenda totoz kama mr handsome? Lakini ha kufika to this extent.Ushamba ni mzigo mkuu...mtoto wa town awezi kuuza mechi kwa zilipendwa tena maji ya jioni kama vile
Mmh fasihi simulizi mmenikumbusha vitabu vya zamani .Ushamba ni mzigo mkuu...mtoto wa town awezi kuuza mechi kwa zilipendwa tena maji ya jioni kama vile
Kwa id hiyo unahisi unaweza elewa jambo la maana? Ok ni kuwa mshana kakusifia kama hujaelewa dudeAndika kiswahili wala sijakuelewa umepoteza muda mpare
Umesema ukweli mtupu kama hukusoma vitabu kama shamba la wanyama,vitabu vya shabani Robert kama kufikirika na vingine kama vya akina Chachage huwezi elewa hii fasihiKama hujaelewa kilichoandikwa.. Unakaa kimya... Kukaa kimya ni bora kwakuwa kunaficha upuuzi mwingi
Faida ya kuwa born town hizo dodo mbonyezo unakuwa umeshapita nazo wima sana huko mashaban ropert, al muntazir, mr handsome hizo vitu amekutana nazo sana kitambo that y status ilivyokuwa alikuwa anaweza kupiga kisera asubhui km akijatokea kitu..yanii ile fasta mzuka mzuka watu wanaSignKuna mtu alikuwa anapenda toros kama mr handsome? Lakini ha kufika to this extent.