Mafikizolo
JF-Expert Member
- May 8, 2014
- 3,487
- 1,626
Sijui mkuuTapata wapi Vitabu vya fasihi ili niweze elewa nyuzi hizi,Vitabu vyenye fahihi zifuatazo karumekenge,mfalme ****,Kibanga ampiga mkoloni, ngoswe,wagagagigikoko,adili na nduguze nk
Sijui mkuuTapata wapi Vitabu vya fasihi ili niweze elewa nyuzi hizi,Vitabu vyenye fahihi zifuatazo karumekenge,mfalme ****,Kibanga ampiga mkoloni, ngoswe,wagagagigikoko,adili na nduguze nk
A name or username or user ID can mean a lot in our life.. And it can affect us in a very strange way... Just like word crippled... Direct Swahili translation is kilema... If in any case this word appears in your name or username it may lead to a crippled mind....
Alimaanisha hivi; kwakua ID yako ina neno kilema, vile vile Mind yako itakua na ka ulemavu (kilema ) fulani hivi coz Bashite (au sijui Makonda) uliyemzungumzia humu hakutajwa na mtoa mada, ( hata kama ID yako ya kilemakyaaro = kilimanjaro) na kilimanjaro hatuna mazwazwa kama wewe wasiojua kupambanua mamboAndika kiswahili wala sijakuelewa umepoteza muda mpare
Huyo Mshana yeye anawazaga matunguke yake ya upareni tuAlimaanisha hivi; kwakua ID yako ina neno kilema, vile vile Mind yako itakua na ka ulemavu (kilema ) fulani hivi coz Bashite (au sijui Makonda) uliyemzungumzia humu hakutajwa na mtoa mada, ( hata kama ID yako ya kilemakyaraaro = kilimanjaro)
vyovyote iwavyo haina uhusiano na neno kilema au upungufu wowote kama ulivyotaka kutanabaisha!!tafuta namna nyingine za kumponda huyo jamaa lakini sio kudhalilisha lugha za watu za heshima za mababu na mababu zaoIweke kama user ID, na sio jina la mahali.. Pia naomba rudia mstari kwa mstari nilichoandika
Tatizo mzee baba anatumikia upande usio na mwangaza, halafu ahadi alizotoa akapewa ufalme ndo zinamtesa saivi.Tuhuma ni tuhuma tuu... Lakini kwangu tuhuma zisizothibitika wala kuthibitishwa zinabaki kuwa uzushi.... Na mimi sina kaliba na uzushi.... Sijui nini kilinipelekea kukumbuka riwaya ya Ngoswe... PENZI KITOVU CHA UZEMBE... Dah nikayakumbuka ya kudamka alfajiri na mapema kwenda kule kilimani kumuona cheupe dawa... Si adhabu hii jamani... Mateso bila chuki... Kiroho safi kabisa... Hongera mzee baba... Hongera cheupe....
Kuna wale wazee na kawimbo kao kalikokosa udhamini wa kuingia studio... Naambiwa singo yao ile haikidhi vigezo... Kale kawimbo ka MATEMBELE NI MATAMU.... Kweli Ngoswe aliona mbali... Na mtunzi wa MATEMBELE aliona karibu....
mzee baba huku kwenye chama la wana hali si shwari... Wanachonga waziwazi sasa hivi... Hawana shukrani na hawana upendo kwa wageni.. Kwao wao mgeni ni siku ya kwanza tuu... Sasa wnalalamikia uwingi wa wageni... Wenyewe wanawaita wakuja.. Wanawaita mizigo... Wanawaita wadekaji.... Hali si shwari sana pakacha limeanza kuvuja....
Mkubwa mpya wa usalama wetu Barabarani naye kaharibu... Japo ndio kutenda kwa weledi... Anapingana na dhana ya kukusanya mapato yetu ili kibubu kitune... Wanakaya wamemfurahia sana... Hakuna tena kutoza faini za kijinga... Kwahiyo hapa hakuna tena viwango elekezi vya kukusanya kwa siku wiki hata mwezi... Wanakaya wamepata mkombozi hatimaye... Mungu naye hujibu maombi kwa wakati wake....!!!!... Ila zile mbwembwe za jeshi la polisi kujivunia kuwa mwezi huu wamekusanya billion ngapi zitakoma.. Wao sio kitengo cha mamlaka ya mapato.. Faini za uonevu kwishney....
Mzee baba pakacha limeanza kuvuja... Wameanza kupambana na wewe... Mbwa anataka kula mbwa... Filamu ya half ray imedoda... Ile ya viongozi 20... Filamu ya nabii Tito imechacha.. Wanakung'ong'a.. Kikulacho ki nguoni mwako... Wasikupake mafuta kwa mgongo wa chupa..... Ni wanafique
Uliyasikia ya Benedict ? Yule mtia nia?
Uliyasikia ya Nnauye Jr?
Uliyasikia ya bwana Ole ?
Umeyasikia ya Riz moko?
Wote wametoa ya moyoni halafu wakakana lakini neno likitoka limetoka ni kama risasi haina rivasi.... Basi ndio hivyo mzee baba... Hao wote ni kiwakilishi cha wengi ndani ya chama la wana...pakacha limeanza kuvuja... Naamini halijasababishwa na Ngoswe.... Inatosha tu kusema.... MATEMBELE ni MATAMU....!!!!
Mkuu username yako ndo ule mlima kwa kichaga?Andika kiswahili wala sijakuelewa umepoteza muda mpare
Kuna mtu alikuwa anapenda totoz kama mr handsome? Lakini ha kufika to this extent.
Watanzania ni wapole lakini ni wabaya sana. Unafikiria ni nini kilimpa upofu komandoo kule Zenj?Sky Eclat pale alipofika yule babu sidhani kama ataondoka kwenye kile kiti, kama yanayosemwa ni kweli
Asante mkuu lakini nitashtakiwa kwa kosa gani kwa mfano?Wewe Eclat kuwa makini
daaah wazee kwa fasihi hahaha eti maji ya jioniUshamba ni mzigo mkuu...mtoto wa town awezi kuuza mechi kwa zilipendwa tena maji ya jioni kama vile
Acheni Masihara jamani.
Kumbe ni kweli Mkuu anamtafuna mama Kairu.....
Msukuma anapenda sana vitu vyeupe.
Namwonea huruma sana Mama Janetth.
aaaahg mkuu watu wameongea kwa fasihi umemwaga kuku kwenye mchele wengi

Atubu atakua na hasira kama za mbogoJiwe limerushwa kwenye msitu wa simba akikurupuka huko tusije paramia mpunga tukadhani ni mti.
Tunasubiri DNA results zitoke.Ujumbe umefika mkuu, cheupe dawa amefanya makubwa. Kule Gemstones mzee baba ameshikilia mwenyewe, cheupe akitekeleza majukumu ya kulea kichanga.
kwa hiyo ngoswe kadhalilishwa?hahahaha Bavicha mnajua kujifurahisha leo hii hata huyu mchawi eti naye ana aminika kwa story za vijiweni hahahaha
Bado nashangaa kwa na kujiuliza kwa JF wameanza kuruhusu taka taka kama hizi za kudhalilisha watu kwa uzushi.....