Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,000
- 828,766
- Thread starter
- #41
Kama tu watakuelewa wale wa upande ule
CC Mshana jr:
Pokea gwala kwanza!
Kisha nikuombe jambo. Nalo ni " tafadhali punguza hekima katika mabandiko yako kwani lumumba fc huwa haambulii hata chembe!".
Sababu unaijua kuwa wengi wa upande ule ama ni wale tuliowaita wasaka nyoka kwa maana ya kujichimbia vichakani wakati sisi wengine tukiisaka elimu! Pole yao lakini!
Sasa nikuulize swali: hivi, ngoswe alilewa nini kati ya pombe, kazi yake au mvuto wa yule muuza pombe?
maudhui ya ile tamthilia ya Ngoswe yanahitimishwa na huu wimbo wa MATEMBELE.. Tafadhali utafute au wajuzi wa video watatusaidia