Mzee baba, pakacha limeanza kuvuja ujue...

Ni mwendo wa kufyatua tuu...
... Neno linasema.. Basi zaaneni mkaongezeke muijaze dunia.... Ilikuwa ni pale bustani ya Eden

Kwa zile trip za kwenda kumuona mama kichanga nadhani akimaliza maternity leave basi na mimba changa itakuwamo alfajiri ile ya kwenda kuzibua mtoto masikio shubhamiiiiti zao.

Matembele ni matamu eeh oyaaaee matembelezi ni matamu kama muke wa ba*l*zi
 
Ni mwendo wa kufyatua tuu...
... Neno linasema.. Basi zaaneni mkaongezeke muijaze dunia.... Ilikuwa ni pale bustani ya Eden
Kwa sisi wafugaji kuna aina fulani ya mbegu iwe mbuzi, ng'ombe au kondoo lazima zihasiwe na kama ni jogoo kama si sikukuu basi akija mgeni lazima awe kitoweo
 
ina maana ukimind ni mwendo wa ngeli mzee baba..???..
muibukie nyte kali akuelewe... mzee baba....
 
Asante sana mshana jr kweli umeweza kunikosha kwa huu uzi.............. Nimeelewa kituo kwa kituo nukta kwa nukta....... asante .. kweli kila nikisoma uzi wako huwa nafurahi na kupata jipya...... Ngoswe : PENZI KITOVU CHA UZEMBE
 
Nasikia mzee baba yuko wazohill anamsaidia cheupe kulea mtoto, unaambiwaje kule hadi njia imechongwa vizuri ili mtoto asiumie wakienda clinic
tafsida muhimu
 
Asante sana mshana jr kweli umeweza kunikosha kwa huu uzi.............. Nimeelewa kituo kwa kituo nukta kwa nukta....... asante .. kweli kila nikisoma uzi wako huwa nafurahi na kupata jipya...... Ngoswe : PENZI KITOVU CHA UZEMBE
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…