Mzee baba, pakacha limeanza kuvuja ujue...

[emoji2] [emoji2]
 
mshana umeyaskia ya wale wanaitwa TBA (expansion joint), tuliaminishwa private sector in wezi, sasa wameshindwa kudeliver, tuliyajua haya, miradi mingi ya ujenzi imesimama,
 
hahahaha! jiwe limelushwa gizani ukisikia "yalaaaa! nafwaaa" ujua limempata.
 

Mtani "Cheupe Dawa" ni hatari .Halafu Mtani mnachombo kweli kweli hongereni bwana
 

Duh!Mtani umeshuka na KLM?Maana umechana kwa KImalkia zaidi sijui kakuelewa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji106]
 
Ujumbe umefika mkuu, cheupe dawa amefanya makubwa. Kule Gemstones mzee baba ameshikilia mwenyewe, cheupe akitekeleza majukumu ya kulea kichanga.
[emoji134] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nimeipenda fasihi yako,sijui umeandikiwa.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji106]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…