My Wife wa rafiki yangu anataka nimchakachue

mpotezee huyo mwanamke,usiwe cheap kihivyo.....heshimu uhusiano wako na rafiki yako,ilinde roho yako na mateso ya baada ya wewe kufanya hivyo kama hofu na woga na zaidi utumwa.....ukimwi bado upo......Mungu akusaidie najua mwanamke akidhamiria ni mtihani.....be strong!:hand:
Hakuna shaka nitamtanguliza muumba ktk hili
 
kama vp na ww mchakachue. Ila sasa kumbuka kuna ck nawe waja kuchakachuliwa demu wako. Think critical then argue with reasoning.
Demu wangu naye watamchakachua? Jamani mbona mie ananiambia niko peke yangu.
 
chukua line ya simu mpya mtumie msela wake sms umchane ila usijitambulishe mpe ukweli na umwambie afuatilie na ushauri kuwa amuache make sure asijue kama ni wewe ili msije kukosana pale watakapo elewana cz mapenzi co kitu cha mchezo na wewe usitembee naye ni dhambi kutoka na mke wa mtu ukimgonga na wewe watakugongea je siku ukijua utalia au utacheka? Ndyo ushauri
Hakuna tatizo nitafanya hivyo
 
Achana nae huyo msichana, sababu niwa rafiki yako pia anao wengi ambayo inaweza kuwa hatari na maradhi haya yalivyo. embu fikiri umchukue then rafiki yako ajue itakuwaje?
Itakuwa noma 2pu
 
kaka kama unamuheshmu jamaa bac ingekuwa flesh ukamtell juu ya hao wengne unaowajua ili kama liwalo na liwe na kama unahofia huyo demu atakuona wewe hufanykaz kunako nivzur ujarbu kumkwepa au ujalibu kuomba uamishwe department ili uish kwa raha lakn inaonyesha wewe mwenyewe umeshaanza kuingia mtegon na hvyo umeamua kuomba ushaur huku unamtaka mke wa m2 shaur yako kuwa makin cha m2 hakiliw hv hv kaka kuwa makin
Asante in advansi,nitayaangalia kwa makini haya maangalizo
 
Mkuu ili kulinda heshima kaa naye mbali..
Ila hawa viumbe sometimes hawatabiriki, usije kushangaa siku akikata tamaa akamwambia mshikaji kuwa umemwomba tunda..
Na heshima unayolinda ikawa hatarini vile vile, kwa hiyo jiandae kwa yote.
Ikiwezekana jihifadhie ushaidi wowote utakaoweza kuja kuutumia in case mambo yakiwa kinyume...
Hapa atanipa wakati mgumu au nimtongoze halafu mie na mumewe 2mtege?
 
Mie nakupa mtazamo wa kidini, kwa mujibu wa dini ya Islam.

1. Ukitembea na mke wa mtu, kama wewe ni Muislam, na mwanamke huyo awe ameolewa, awe Muislam au asiye Muislam, HUTAUONA MLANGO WA PEPO.

2. Kama ulishawahi kutembea na mke wa mtu, mtafute mumewe, omba radhi kwamba ulipitiwa na shetani. Ukitaka kujisafisha na dhambi hiyo, jitambulishe kwa mumewe, mweleze yote, kisha mwombe akusamehe au akupe adhabu yoyote ile aitakayo, asuuzike, ili akusamehe. La sivyo, mwanawane, pepo huioni. So, iwapo utaamua kutembea na huyo mke wa mtu, elewa kwamba raha za duniani zitaishia duniani. Pepo hutaiona.

MJUMBE HAUWAWI.
 
Mkuu Washawasha sasa jina lako mbona unalishushia hadhi? Washa washa tu mkuu kama msela akija juu mwambie mbona kila mtu kala mzee? au mie unaona nafaidi zaidi? Demu wako malaya na unajua,ni jamvi la wageni na wenyeji na mimi ni mwenyeji....Maliza kaka halafu njoo tupe how she is kunako mechi za ugenini....washa tu mtu wangu...usipomwasha atamwambia Bwana ake wewe unamtaka sasa hapo ndo wewe utakoma jamaa atakapokuwashia moto, usiulete hapa...maliza liwalo na liwe ila umeweka nyavuni...tumia Kakifanyilo ketu..
Samahani sana kwa kuwalet down,ni kweli eh! itanibidi Nimdondokee halafu nimuwashe kunako utamu
 
Kuitwa Washawasha haina maana unawasha kweli. Mlipe fadhira jamaa yako kwa kutomgusa demu wake. Hiyo itakuwa mbaya sana siyo kwamba kwa sababu wengine wanachakachua basi na ww uingie tamaa ya kufanya hivyo. Pia tafuta mbinu mbadala za kumfahamisha jamaa yako. Ukiacha hivyo iko siku utakuja kujilaumu kwa nini hukusema wakati jamaa hayupo duniani kwa HIV/AIDS.
nitajitahidi kuufikisha ujumbe
 
K**a bwana haiilimwi shambani condomize chakachua kama kawa, maana ukimwacha atakudharau siku ya siku atamwambia jamaa yake kuwa ulishamwomba na akakupiga kibuti. Hivyo kula hata mara moja uachane naye.
kumbe dawa yake ni condom
 
Upupu huo na unatafuta wa kumuwasha ila sasa kwa bahati mbaya wewe ni washawasha sasa huo upupu ushindwe na ulegee! achana nae huyo huwezi jua yule rafiki yako ana plans gani na wote wanaomuibia mkewe, siku zote ogopa sana watu wa hivyo maana kama anajua watu wanamuibia sasa anafanya machunguzi yake na ukijiingiza tu umeliwa!
basi itabidi nisimtende
 
Mimi cha kukushauri tu ni kwamba huyo jamaa alikufundisha kuiba na wewe ukafuata, hilo kwanza ni tatizo kubwa sana.
Kwa nini watz tuko vidokozi kiasi hicho? ndio maana makamouni yetu siku zote hayadumu yanaishia kufa mikononi mwetu tu
Tunaona makampuni mengi yanapochukua wakenya na foerigner wengine sisi ndio wakwanza tena kulaumu
wito wangu: TUACHE WIZI NA UDOKOZI MAKAZINI.

Back to the topic:
Rafiki yapo alipokuwa anakueleza matatizo yake kuhusu huyo mwanamke maana yake alikuwa anafurahishwa au alikuwa anachukizwa??
wewe si umesema amemtishia huyo jamaa mwingine kumuua?? na wewe sio kwamba atakumalizia kabisa?
wewe si umesema wanaotembea na mke wake karibu wote anawajua? je wewe hatakujua?

Tafakari:Heshima ya mtu ni utu wake na huyo mke wake ndio utu wake, wewe kitendo cha kutenmdea naye ni sawa na kumvua nguo rafiki yako.
Naapa ninaahidi mbele ya Jf,kazini ctoiba tena mpaka kufa.bac cntomgusa huyu demu.
 
Mie nakupa mtazamo wa kidini, kwa mujibu wa dini ya Islam.

1. Ukitembea na mke wa mtu, kama wewe ni Muislam, na mwanamke huyo awe ameolewa, awe Muislam au asiye Muislam, HUTAUONA MLANGO WA PEPO.

2. Kama ulishawahi kutembea na mke wa mtu, mtafute mumewe, omba radhi kwamba ulipitiwa na shetani. Ukitaka kujisafisha na dhambi hiyo, jitambulishe kwa mumewe, mweleze yote, kisha mwombe akusamehe au akupe adhabu yoyote ile aitakayo, asuuzike, ili akusamehe. La sivyo, mwanawane, pepo huioni. So, iwapo utaamua kutembea na huyo mke wa mtu, elewa kwamba raha za duniani zitaishia duniani. Pepo hutaiona.

MJUMBE HAUWAWI.

Mkuu hii mbona ni hatari!!!!
 
Nashukuru yaa ustadh,ila nitaku PM kuhusu hili nina maswali magumu sana jiandae.
 
Hiyo post kidogo imenichanganya, ni wife wa rafiki yako au demu tu ambae hawajafunga ndoa kisheria?

Kama ni wife wa ndoa, wewe mkanyage tu, itakuwa unamsaidia huyi rafiki yako, kwani kama dada hapati inavyotakiwa kwa mumewe, afanye nini? si bora umsaidie wewe kuliko kwenda hovyo na kila mtu.

Na kama ni demu tu na si wife wa ndoa, basi kula tu, hana mwenyewe huyo.
 
Hawajafunga ndoa mkuu ila wanakaa pamoja
 
Habari zenu wanajamvi,ni hivi mimi nafanyakazi na jamaa ambaye mkewe naye anafanya kazi ktk kampuni hiyo hiyo,tatizo ni kwamba huyo mkewe mwenyewe hajatulia hata kidogo ktk watu ambao niko nao kitengo kimoja ni watu wawili tu ambao hatujamchakachua huyu shemu we2.
Ktk hao ambao wamemchakachua/wanamchakachua,rafiki yangu huyu anajua live kuwa demu wake katendwa na mshikaji,ikafikia hatua ya kuanza kutishana kuuana.lkn hao wengine wanamega kisela ni mwendo wa kimyakimya ila mie nafahamu kuwa wanamtenda maana hawanifichi.
Kuanzia Ijumaa mpaka J2 huyu demu anaenda kujirusha na kurudi nyumbani kwa J3 str8 kazini.
Binafsi nashindwa kumshauri huyu jamaa kuwa demu wake ni kicheche si mnajua tena mambo ya mapenzi na yeye kakolea ile mbaya.ila huwa najiuliza hivi huyu jamaa alimkuta huyu demu anauza ngozi au vp mbona hachukui hatua zozote?
Sasa hivi ananisumbua mie mara anikumbatie mara anishike something yangu mara anishikishe naniliyu yake yaani tukibaki wawili inakuwa ni vtuko kwa kwenda mbele binafsi namuheshimu jamaa maana nimemkuta pale kazini na pia ndiye aliyenifundisha jinsi ya kuiba hapo kiwandani
Sasa ndugu zangu mnanishauri nini,nimdinye huyu demu liwalo na liwe au niendelee kumuheshimu msela wangu?
maana naanza kuona huyu demu ataweza kufikiria kuwa something yangu haifanyi kazi
Natanguliza shukrani zangu.

Pwambafu, unamchelewesha nini, si umdinye tu upate ukimwi uondoke zako!
 
Back
Top Bottom