My Wife wa rafiki yangu anataka nimchakachue

Washawasha

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
16,652
13,077
Habari zenu wanajamvi,ni hivi mimi nafanyakazi na jamaa ambaye mkewe naye anafanya kazi ktk kampuni hiyo hiyo,tatizo ni kwamba huyo mkewe mwenyewe hajatulia hata kidogo ktk watu ambao niko nao kitengo kimoja ni watu wawili tu ambao hatujamchakachua huyu shemu we2.
Ktk hao ambao wamemchakachua/wanamchakachua,rafiki yangu huyu anajua live kuwa demu wake katendwa na mshikaji,ikafikia hatua ya kuanza kutishana kuuana.lkn hao wengine wanamega kisela ni mwendo wa kimyakimya ila mie nafahamu kuwa wanamtenda maana hawanifichi.
Kuanzia Ijumaa mpaka J2 huyu demu anaenda kujirusha na kurudi nyumbani kwa J3 str8 kazini.
Binafsi nashindwa kumshauri huyu jamaa kuwa demu wake ni kicheche si mnajua tena mambo ya mapenzi na yeye kakolea ile mbaya.ila huwa najiuliza hivi huyu jamaa alimkuta huyu demu anauza ngozi au vp mbona hachukui hatua zozote?
Sasa hivi ananisumbua mie mara anikumbatie mara anishike something yangu mara anishikishe naniliyu yake yaani tukibaki wawili inakuwa ni vtuko kwa kwenda mbele binafsi namuheshimu jamaa maana nimemkuta pale kazini na pia ndiye aliyenifundisha jinsi ya kuiba hapo kiwandani
Sasa ndugu zangu mnanishauri nini,nimdinye huyu demu liwalo na liwe au niendelee kumuheshimu msela wangu?
maana naanza kuona huyu demu ataweza kufikiria kuwa something yangu haifanyi kazi
Natanguliza shukrani zangu.
 
Kaa mbali kabisa usithubutu! Mke wa mtu noma na mbaya zaidi unajua ni kicheche! Kwani akisema niniliu yako haifanyi kazi we una shida gani. Anataka kukupa hongo ili usimwambie jamaa maana mwisho wa siku na wewe utakuwa kwenye list. Kaa naye mbali kabisa.
 
Nashukuru kwa majibu yako mkuu,nitaendelea kuwa mgumu hivi hivi
 
Simple and clear! Heshima ni kitu cha bure! kwa taarifa na kama ulivyosema huyo jamaa yake anawajua wote wanotembea na mkewe. Hivyo kaa mbali na huyo mwanamke. Kitendo cha kutembea naye utakuwa umejidhalilisha kupita maelezo. Huyu mwanamke analifahamu hilo na ndio maana analazimisha kutembea nawe ili kukushusia heshima yako. Please resist her!
 
Duuu mkuu hapo mtego unao... demu akishakuweka kichwani kwamba anataka umdinye ni vigumu sana kukata tamaa na akiwa kicheche ndio mbaya zaidi, lakini inavoonekana huyo demu anataka umdinye ili either utunze siri or ashakanyaga sasa anataka kukuunganisha kwenye gridi kuwa mwangalifu sana:A S 13:.. Epuka huo mtego mkuu, weka heshima mbele kwa mwanamume mwenzio!!!
 
Nashukuru sana mkuu kwa majibu yenye busara
 
Simple and clear! Heshima ni kitu cha bure! kwa taarifa na kama ulivyosema huyo jamaa yake anawajua wote wanotembea na mkewe. Hivyo kaa mbali na huyo mwanamke. Kitendo cha kutembea naye utakuwa umejidhalilisha kupita maelezo. Huyu mwanamke analifahamu hilo na ndio maana analazimisha kutembea nawe ili kukushusia heshima yako. Please resist her!
Sir,yes sir i will resist her,nitakaa hatua 70 kuwa mbali mbali naye
 
tehe........mapenzi ya wawili acha tu mpaka msela ateme mwenyewe
Habari zenu wanajamvi,ni hivi mimi nafanyakazi na jamaa ambaye mkewe naye anafanya kazi ktk kampuni hiyo hiyo,tatizo ni kwamba huyo mkewe mwenyewe hajatulia hata kidogo ktk watu ambao niko nao kitengo kimoja ni watu wawili tu ambao hatujamchakachua huyu shemu we2.
Ktk hao ambao wamemchakachua/wanamchakachua,rafiki yangu huyu anajua live kuwa demu wake katendwa na mshikaji,ikafikia hatua ya kuanza kutishana kuuana.lkn hao wengine wanamega kisela ni mwendo wa kimyakimya ila mie nafahamu kuwa wanamtenda maana hawanifichi.
Kuanzia Ijumaa mpaka J2 huyu demu anaenda kujirusha na kurudi nyumbani kwa J3 str8 kazini.
Binafsi nashindwa kumshauri huyu jamaa kuwa demu wake ni kicheche si mnajua tena mambo ya mapenzi na yeye kakolea ile mbaya.ila huwa najiuliza hivi huyu jamaa alimkuta huyu demu anauza ngozi au vp mbona hachukui hatua zozote?
Sasa hivi ananisumbua mie mara anikumbatie mara anishike something yangu mara anishikishe naniliyu yake yaani tukibaki wawili inakuwa ni vtuko kwa kwenda mbele binafsi namuheshimu jamaa maana nimemkuta pale kazini na pia ndiye aliyenifundisha jinsi ya kuiba hapo kiwandani
Sasa ndugu zangu mnanishauri nini,nimdinye huyu demu liwalo na liwe au niendelee kumuheshimu msela wangu?
maana naanza kuona huyu demu ataweza kufikiria kuwa something yangu haifanyi kazi
Natanguliza shukrani zangu.
 
ahhh wanawake wengine ooooovyo,anapata raha gani jamani,zaidi ya kujishushia heshima.huyo mwanamke baadae atajuta
 
Achana nae huyo msichana, sababu niwa rafiki yako pia anao wengi ambayo inaweza kuwa hatari na maradhi haya yalivyo. embu fikiri umchukue then rafiki yako ajue itakuwaje?
 
kaka kama unamuheshmu jamaa bac ingekuwa flesh ukamtell juu ya hao wengne unaowajua ili kama liwalo na liwe na kama unahofia huyo demu atakuona wewe hufanykaz kunako nivzur ujarbu kumkwepa au ujalibu kuomba uamishwe department ili uish kwa raha lakn inaonyesha wewe mwenyewe umeshaanza kuingia mtegon na hvyo umeamua kuomba ushaur huku unamtaka mke wa m2 shaur yako kuwa makin cha m2 hakiliw hv hv kaka kuwa makin
 
Mkuu ili kulinda heshima kaa naye mbali..
Ila hawa viumbe sometimes hawatabiriki, usije kushangaa siku akikata tamaa akamwambia mshikaji kuwa umemwomba tunda..
Na heshima unayolinda ikawa hatarini vile vile, kwa hiyo jiandae kwa yote.
Ikiwezekana jihifadhie ushaidi wowote utakaoweza kuja kuutumia in case mambo yakiwa kinyume...
 
Kaka kama kweli unampenda rafiki yako mwambie ukweli, usikubali kujiingiza ktk lawama baadae. Ukimwi bado upo jamani, unajuaje kama hao aliotembea nao hawana mdudu?? Hata soksi zenyewe sio kinga ya 100%

Huyo mdada ana pepo la ngono, anahitaji maombezi ya nguvu.
 
Mkuu Washawasha sasa jina lako mbona unalishushia hadhi? Washa washa tu mkuu kama msela akija juu mwambie mbona kila mtu kala mzee? au mie unaona nafaidi zaidi? Demu wako malaya na unajua,ni jamvi la wageni na wenyeji na mimi ni mwenyeji....Maliza kaka halafu njoo tupe how she is kunako mechi za ugenini....washa tu mtu wangu...usipomwasha atamwambia Bwana ake wewe unamtaka sasa hapo ndo wewe utakoma jamaa atakapokuwashia moto, usiulete hapa...maliza liwalo na liwe ila umeweka nyavuni...tumia Kakifanyilo ketu..
 
K**a bwana haiilimwi shambani condomize chakachua kama kawa, maana ukimwacha atakudharau siku ya siku atamwambia jamaa yake kuwa ulishamwomba na akakupiga kibuti. Hivyo kula hata mara moja uachane naye.
 
Kuitwa Washawasha haina maana unawasha kweli. Mlipe fadhira jamaa yako kwa kutomgusa demu wake. Hiyo itakuwa mbaya sana siyo kwamba kwa sababu wengine wanachakachua basi na ww uingie tamaa ya kufanya hivyo. Pia tafuta mbinu mbadala za kumfahamisha jamaa yako. Ukiacha hivyo iko siku utakuja kujilaumu kwa nini hukusema wakati jamaa hayupo duniani kwa HIV/AIDS.
 
Back
Top Bottom