My Wife wa rafiki yangu anataka nimchakachue

Mpotezeee huyo ni shetwaiiin mkubwa.
Ashindwe na apalalaizi.
Kutembea nae na wewe utajishusha hadhi vile vile.
Heshima haipandi kwa kuendekeza ngono. Khaa!
 
Hawajafunga ndoa mkuu ila wanakaa pamoja

Sasa kukaa pamoja ndio kisha kuwa wife? Wewe kula tu, na kama hujamla huyo demu atakutangazia kuwa hufai. Hata kama wa ndoa we kula tu, si anataka mwenyewe! Kwani unambaka?
 
Sikiliza, kuna kabila hapa Tanzania kuchakachuliana ni kitu cha kawaida kabisa. Kwa hiyo hilo lisikustuwe, we lamba tu.

Halafu, kuna mambo ya kisaikolojia, pengine huyo rafiki yako anapenda huyu demu achakachuliwe halafu ampe laivu ndio jamaa ashki zake, kwani utaona anamuachia wikiendi nzima akajirushe bila wasiwasi, wewe ushajiuliza kwa nini?

Jibu ni simpo tu, huyo jamaa anapenda demu wake achakachuliwe aje kumpa laivu, si unajuwa kila mtu na raha zake!
 
Sasa kukaa pamoja ndio kisha kuwa wife? Wewe kula tu, na kama hujamla huyo demu atakutangazia kuwa hufai. Hata kama wa ndoa we kula tu, si anataka mwenyewe! Kwani unambaka?
Poa ngoja nipange mikakati ya kumdinya
 
Sikiliza, kuna kabila hapa Tanzania kuchakachuliana ni kitu cha kawaida kabisa. Kwa hiyo hilo lisikustuwe, we lamba tu.

Halafu, kuna mambo ya kisaikolojia, pengine huyo rafiki yako anapenda huyu demu achakachuliwe halafu ampe laivu ndio jamaa ashki zake, kwani utaona anamuachia wikiendi nzima akajirushe bila wasiwasi, wewe ushajiuliza kwa nini?

Jibu ni simpo tu, huyo jamaa anapenda demu wake achakachuliwe aje kumpa laivu, si unajuwa kila mtu na raha zake!
Inaweza kuwa hivyo labda jamaa mpaka ahadithiwe ndio am do huyo my wife wake.bac itabidi nimchakachue kumuokoa jamaa.
 
uamuzi unao mwenyewe mpendwa maana kila kitu kiko wazi hapo,nilidhanio wewe ndo wa kwanza kumbe wako wanaochakachua hapohapo na hajaridhika nao,hicho ni zaidi ya kicheche:rain:
 
chukua line ya simu mpya mtumie msela wake sms umchane ila usijitambulishe mpe ukweli na umwambie afuatilie na ushauri kuwa amuache make sure asijue kama ni wewe ili msije kukosana pale watakapo elewana cz mapenzi co kitu cha mchezo na wewe usitembee naye ni dhambi kutoka na mke wa mtu ukimgonga na wewe watakugongea je siku ukijua utalia au utacheka? Ndyo ushauri

Those who live in glass houses should not throw stones...!
 
Mie nakupa mtazamo wa kidini, kwa mujibu wa dini ya Islam.

1. Ukitembea na mke wa mtu, kama wewe ni Muislam, na mwanamke huyo awe ameolewa, awe Muislam au asiye Muislam, HUTAUONA MLANGO WA PEPO.

2. Kama ulishawahi kutembea na mke wa mtu, mtafute mumewe, omba radhi kwamba ulipitiwa na shetani. Ukitaka kujisafisha na dhambi hiyo, jitambulishe kwa mumewe, mweleze yote, kisha mwombe akusamehe au akupe adhabu yoyote ile aitakayo, asuuzike, ili akusamehe. La sivyo, mwanawane, pepo huioni. So, iwapo utaamua kutembea na huyo mke wa mtu, elewa kwamba raha za duniani zitaishia duniani. Pepo hutaiona.

MJUMBE HAUWAWI.

Hapo penye red ndo kwenye mtihani sasa, hasa kama adhabu yenyewe ni kuliwa naniliu...! :wink2:
 
habari zenu wanajamvi,ni hivi mimi nafanyakazi na jamaa ambaye mkewe naye anafanya kazi ktk kampuni hiyo hiyo,tatizo ni kwamba huyo mkewe mwenyewe hajatulia hata kidogo ktk watu ambao niko nao kitengo kimoja ni watu wawili tu ambao hatujamchakachua huyu shemu we2.
Ktk hao ambao wamemchakachua/wanamchakachua,rafiki yangu huyu anajua live kuwa demu wake katendwa na mshikaji,ikafikia hatua ya kuanza kutishana kuuana.lkn hao wengine wanamega kisela ni mwendo wa kimyakimya ila mie nafahamu kuwa wanamtenda maana hawanifichi.
Kuanzia ijumaa mpaka j2 huyu demu anaenda kujirusha na kurudi nyumbani kwa j3 str8 kazini.
Binafsi nashindwa kumshauri huyu jamaa kuwa demu wake ni kicheche si mnajua tena mambo ya mapenzi na yeye kakolea ile mbaya.ila huwa najiuliza hivi huyu jamaa alimkuta huyu demu anauza ngozi au vp mbona hachukui hatua zozote?
Sasa hivi ananisumbua mie mara anikumbatie mara anishike something yangu mara anishikishe naniliyu yake yaani tukibaki wawili inakuwa ni vtuko kwa kwenda mbele binafsi namuheshimu jamaa maana nimemkuta pale kazini na pia ndiye aliyenifundisha jinsi ya kuiba hapo kiwandani
sasa ndugu zangu mnanishauri nini,nimdinye huyu demu liwalo na liwe au niendelee kumuheshimu msela wangu?
Maana naanza kuona huyu demu ataweza kufikiria kuwa something yangu haifanyi kazi
natanguliza shukrani zangu.
mkuu nimekupata vilivyo
nafiki sio busara kutembea na mke wa rafiki yako.na ni hatari pia kama huyo rafiki yako atagundua huo uovu,
nakushauri kaa nae mbali kabisa ndugu,usiwe mwepesi kiasi hicho,mbona madem wamejaa mtaani ndugu,
mheshimu sana huyo shem wako kama unavyomheshimu mke wako
chao!
 
da namwonea huruma huyo jamaa ila ndugu yangu kumchakachua haifai japo kashakua jamvi la wote.
 
Hahahahaha hafi mtu hapa,wote 2ko macho

Hiyo overconfidence yako ndiyo itakumaliza rafiki.

Jee condom ikipasuka au ikichomoka wakati wa hiyo shughuli utasema nini? Na kama anajijua yuko kwenye mtandao anaweza kukufanyia mission ya makusudi na wewe ukafikiria ni bahati mbaya.

Au ikiwa wanashirikiana na huyo jamaa halafu wakaja kukublackmail?

Kijana huyo Ibilisi atakuja kukuruka na kukwambia "mimi simo" wakati mambo yakishaharibika.
 
Back
Top Bottom