My Wedding Anniversary

Mashallah! Mwenyezi Mungu akuzidishieni mapenzi ya dhati baina yenu na akuepushieni kila shari na husda. Muendelee kuwa mfano kwa watoto wenu, majirani na jumuiya kwa ujumla. Hongereni sana.
Nashukuru Akthoo, hii dua iwe makboor kwetu sote Insha'Allah.

Jazakallah Khair
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hongera sana mkuu, Mungu aendelee kuwapa kila lililojema ktk maisha yenu
 
Hongera sana mkuu, mwakani Mungu akijalia ntakuwa nimefuata nyayo zako.
 
Wish you both all the good things in life. May the love and friendship that you share grow deeper with each passing day. Happy belated wedding anniversary.

(I am very sorry that I did not see this message early....better late than never)
 
Last edited by a moderator:
X-PASTER Mkuu!
Nimechelewa kuiona hii, lakini sikuchelewa kukupeni HONGERA!
Mungu awajaalieni kila la heri, baraka, furaha na mafanikio.
Hatua inayofuata ni kungalia
miaka 13 ijayo ili mtimize robo karne
miaka 35 ijayo ili mtimize nusu karne
Muda wowote Mungu atakaowajaalia, muendelee kuwa pamoja kama mke na mume, mama na baba, bibi na babu wa vizazi vyenu - AMIN, AMIN, AMIN!
 
Hongera sana mkuu, Mungu aendelee kuwapa kila lililojema ktk maisha yenu
Nashukuru sana mkuu Ram.

Hongera sana mkuu, mwakani Mungu akijalia ntakuwa nimefuata nyayo zako.
Mkuu, nimefurahi kusikia unataka kujiunga na club ya maraha na uwajibikaji. Karibu sana ndugu yangu.

Wish you both all the good things in life. May the love and friendship that you share grow deeper with each passing day. Happy belated wedding anniversary.

(I am very sorry that I did not see this message early....better late than never)
Mkuu, BAK, Thank you very much kaka, na wala ujachelewa ndugu yangu, I appreciate this very much mkuu.
 
mabruuk........mungu awazidishieni mapenzi na furaha tele maishani mwenu.
Afuan kaka, nashukuru kwa dua yako ndugu yangu, iwe yetu sote mkuu

X-PASTER Mkuu!
Nimechelewa kuiona hii, lakini sikuchelewa kukupeni HONGERA!
Mungu awajaalieni kila la heri, baraka, furaha na mafanikio.
Hatua inayofuata ni kungalia
miaka 13 ijayo ili mtimize robo karne
miaka 35 ijayo ili mtimize nusu karne
Muda wowote Mungu atakaowajaalia, muendelee kuwa pamoja kama mke na mume, mama na baba, bibi na babu wa vizazi vyenu - AMIN, AMIN, AMIN!
MAMMAMIA, nashukuru sana sana kwa kujali kwako na dua yako njema, siku sote mimi napenda kushare mazuri na wenzangu, na hii dua uliotuombea hapo ni moja ya dua nzuri na njema basi nami napenda kushare na wewe Insha'Allah Mwenyezi Mungu atuwafikishe tuwe katika waja wema.

Amin.
 
X paster hongera sana tena sana, andiko lako hili limeonyesha upendo wa dhati. Big up, pia umenipa nami mauthui mazuri na mabo ya msingi ktk ndoa. Niko nyuma yako kaka. God bless u
 
X paster hongera sana tena sana, andiko lako hili limeonyesha upendo wa dhati. Big up, pia umenipa nami mauthui mazuri na mabo ya msingi ktk ndoa. Niko nyuma yako kaka. God bless u
Poa mkuu, ila uko nyuma yangu kaka hakufahi, tunatakiwa bega kwa bega mkuu.
 
Back
Top Bottom