Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,801
- 43,177
Ukiwa unaelekea airport. Please tell me where are you flying to??
By the way ahsante kwa kuusikiliza
Nooh sio kwamba sasa hivi ndo naelekea airport hapana bali huwa nasikiliza ule wimbo wa wizi kid kipindi nna safari na nikiwa natoka nyumbani kuelekea airport na wakati wa kurudi nikiwa natoka hoteli kuelekea airport huwa nausikiliza huo wimbo. Pia nikifika salama nilikokuwa naenda (hotelini huwa nausikiliza huo wimbpo na kucheza, sasa nilipousikiliza huu wa Konde Boy ndo nikasema asante kwa kuniongezea playlist kwenye nyimbo zangu nikiwa anelekea airport.
Safari bado hazijaanza, ntakuja kuweka hapa kuelezea uzoefu wangu kwa vacation nilizoenda kipindi cha nyuma.

