My upcoming trip to Jordan

My upcoming trip to Jordan

Ukitaka historia za dini na uone live nenda Lebanon Yesu alipiga misele sana kile kipande,utaona alipogeuza maji kuwa ulabu ,utaona makazi ya Samson na Delaila, utaona njia aliyopita akielekea Jerusalem
Mkuu hii ni nchi ipo katika list yangu. Lebanon wana historia moja matata sana. Tuombe mungu tu kaka, one day yes!
 
Wengine tuwe wapenzi wasomaji maana hata hapo Kenya tuu sijui nitaenda lini?

Safari za ndani zenyewe ni shida tuu
Huko nje tutaweza kweli

H o n g e r a yako mkuu πŸ‘
 
Back
Top Bottom