My upcoming trip to Jordan

My upcoming trip to Jordan

Woow, you've just waken my enzymes....

I've jist check my travel pack, its full intact waiting for the next boarding pass...

Well can't reveal where I'll be in my next vacay but we are on the same lane of travellers bin passangers on air, on water bodies, on train and the list goes on.

Cheers.

K' Matata.
 
Kasie,
images.jpeg.jpg


You are the lady....

Inabidi uje ufanye sharing hizo mambo tuzidi kushajihishika aisee.
 
Daah shukrani sana, keep on inspiring me bro nakuonea wivu ila ndiyo hivyo picha linaanza tu mimi passport sina na ninasikia ni ishu kupata kwa nchi yetu hii kwahiyo huwa naishia kufanya utalii wa ndani tu kwenye some national parks na historical sites na kutembelea bahari na milima ila Inshaallah Mungu akijalia I will work on my dreams.
Andaa documents zote muhimu. Next week zikiwa tayari nitafute nikuunganishe na mtu atakayehakikisha unapata passport ASAP. Gharama zote za pale uhamiaji zipo juu yangu. This is serious.
 
Aibu sana unaishi Tanzania majirani zako hujawahi watembelea.
Belgium nataka enda Antwep kuona soko la Diamond
Qatar naenda angalia fursa
Uganda na Rwanda historia
Duh! Mkuu kama ni issue ya ujirani basi hakikisha huwasahau Malawi, Mozambique, Burundi na wengine.
 
View attachment 1243676

You are the lady....

Inabidi uje ufanye sharing hizo mambo tuzidi kushajihishika aisee.

Hapana shaka, wanasema sharing is caring ila wengine wasijesema tunajimwambafy na JF kila mtu anapanda ngege, kila mtu ana gari kila mtu ana life nzuri....

Ofcourse hata usiposhea travel experiences hawataacha kusema, ila iwe angalizo tuu. Ukiona mtu amefanya jambo ambalo sio la lazima na limegharimu hela ujue amelipa kipaumbele au kwake lina umuhimu mkubwa kuliko kuchangia harusi za watu mwaka mzima halafu kati ya ndoa 40 ulizochangia kila moja minimum ni laki moja ambayo kwa uchache inakuja milioni 4 kwa mwaka unakuta ndoa 36 zimevunjika kwa sababu ya kuchepuka 3 mmoja wa wana ndoa kauwawa na mwenzie sababu ya wivu wa mapenzi moja ndo iko kwenye mazungumzo na kasisi na familia.

Sisemi watu wasichangie harusi au ndoa si muhimu ila kila mtu ana kipaumbele chake. Ukiona nimewekeza au natupa hela nyingi kwenye safari sio kuwa najitapa au najisifia, ni kuwa nimeipa ari ya kusafiri kipaumbele kuliko kukaa sehemu za starehe na kununulia marafiki pombe ( again mie sio mnywaji na simaanishi wanaofanya hivi wanakosea) bali hela yangu naitumia kwingine sawa na wao wanaotumia kwenye mavazi, urembo, wengine kusoma (elimu) wengine kuhonga, wengine kusaidia wahitaji n.k.
Kwangu kuvaa sio kipaumbele, sivai mitumba ila kuvaa nguo za elf 10 au 20 sio issue mradi niwe smart. Kwanza huwa nanunua nguo wakati wa sale tena 75% sale hehehheee. Na mshiko wangu kwa asilimia kubwa ni kula bata nikiwa likizo sehemu mbali mbali....

Kibibi Mpenda Kusafiri

K' Matata.
 
Back
Top Bottom