My thoughts, what are yours?

Oooooopppssssss ngoja nipake mafuta kidogo
BHT huyu TF anafaa kabisa kuwa mkwe wako si unaona busara zinavyomwagika hapa

halafu huyu huyu TF ni mkwe wa mama wa kwanza...sasa sijui ana nia gani na mabinti zetu huyu!!

Rocky hayo maswali umeuliza ni ya msingi saaana... na ni maswali ambayo kama kila mmoja anaeolewa/oa angekua anajiuliza basi walau kungekua na nidhamu katika maamuzi yanayohusiana na maswala ya ndoa.. hivo kuwepo busara fulani pia...

I wish wale woote walooa na kuolewa wawe wanapitia thread kama hii... very constructive ushauri if one kweli yuko interested na anazaingatia... BHT i second maneno yako for ni kweli kabisa....

Najaribu kuikumbuka lakini bado sijaipata

PA Nitaitafuta...

aiisee kweli wana JF leo MNAHASIRA na ndoa zinazopuzwa... Mara hii mko page ngapi vilee??

hii taasisi inapoteza maana kwa kweli...

bht... naona imefika wakati turudishe maana yake... Sio kazi ndogo but yawezekana with time na energy...

Reactions: bht
lol...
afu mama wa kwanza (FL1) ni bestiledi wangu...utajiju!!
unataka kutuchangyia madesa eeh?
are those also your thoughts???
Hahaha!!! Unataka kuiniumbua lol!! Isije ikawa mambo ya I LOVED YOU NOW I HATE YOU na dedication juu lol!!!

Reactions: bht
nakusifia hapo na uwe tayari kuthibitisha hilo utakapoingia kwenye taasisi hii
Afu sijui unasubiri nini maana naona uzee unakaribia utaitwa babu sasa hivi na watoto wako mwenyewe
Usijali mkuu kwenye taasisi hiyo nami nitajiunga

Usijali mkuu kwenye taasisi hiyo nami nitajiunga

karibu sana ila uje na wazo moja tuu kuwa ndoa sio mwisho wa kila kitu ila ndio mwanzo wa mambo mengi mapya katika maisha yako
Ndo unaanza kujifunza kama mtoto anayejifunza kutembea
Usije ukafikiri yale uliyokuwa unayafanya ukiwa single utaendelea nayo ila yapo unayoweza kufanya na yapo ambayo itabidi uyape kisogo japo kw amakubaliano na wife unaweza kuendeela nayo

. It is sad some people tend to take their careers more seriously than their marriage

What are u trying to insinuate here
Kwa maana naamini kuwa marriage ni marriage na carrier ni carrier
Ukiwa ofcn mambo ya huko yanaishia huko huko na ukishafika nyumbani another institution inatake place
Au mi nimeelewa kivinngine

Kuna watu wanashindwa tofautisha hilo... Kila siku yuko busy...
akirudi jiioni.. weekend na holidays pia... Hio tabia inaboa saaana.

One of the marriage Breakers for inavunja kabisa intimacy...

Ashadii ni wengi na hilo ni tatizo maana unakuta akirudi nyumbani anaingia kwenye laptop kufanya kazi wakati huo muda alipaswa awe na wife wake wakijadiliana
Hii ipo sana

Thanks for your thoughts and analysis. The major difference between home and house is basically grounded in the nature of their occurrence. Home is an internally built trait which is not limited by space,while house must be something physical outside you that keeps your body. The basic foundation of a home is love, home is where your heart rests. If I were myself a pastor; I would conclude by saying that a hom e is founded the simple, immutable, indivisible being ( God ),while a house is just a product of your own creation.

Ashadii ni wengi na hilo ni tatizo maana unakuta akirudi nyumbani anaingia kwenye laptop kufanya kazi wakati huo muda alipaswa awe na wife wake wakijadiliana
Hii ipo sana

Bora sasa awe anafanya kazi... akiingia kanuna na kujifanya yupo busy na L-top kumbe yupo JF...

QUOTE=AshaDii;2443988]Bora sasa awe anafanya kazi... akiingia kanuna na kujifanya yupo busy na L-top kumbe yupo JF...[/QUOTE]

Yaani hapo unatamani umtwange maana hajajua thamani ya uwepo wake nyumbani na nini anapaswa kufanya kwa wakati huo. y

QUOTE=AshaDii;2443988]Bora sasa awe anafanya kazi... akiingia kanuna na kujifanya yupo busy na L-top kumbe yupo JF...

Yaani hapo unatamani umtwange maana hajajua thamani ya uwepo wake nyumbani na nini anapaswa kufanya kwa wakati huo. y[/QUOTE]

Rocky... hizi ndoa hizi... wee acha tu... watu wanaishi ndani kama majirani.... Unakuta sometimes unaona ni bora agande hapo hapo kwenye PC maana hamna jipya na mkiwa idle hamjui hata to say to each other.... Sad.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…