My thoughts, what are yours?

Natamani kujua kingledha....... nami labda ningechangia.

Kiinglish is not richabo aisee....!
 
Most times, people knew they couldn't live with certain things but they said maybe they could

Do u think in marriage kuna kujaribu
I don think so
Marriage ni kitu kingine na hakuna kujaribu au kuhisi kuwa hii inaweza kuwa hivi
Kama umeamua kujitumbukiza just do it and never make hypothesis that hiki kinaweza kuwa hivi au kikiwa hivi kinaweza kuwa vile
Jitayarishe kuvaa uhusika haswa na kuwa halisia wa kile unachokiamini
 
Wakati tunasoma kiingereza wewe ulikuwa busy unatongoza wajukuu, hela ya ada uliyopewa ukalipie British Council ukawa unahonga
 
Babu kuna secondary school ya shule ya sekondari ya kata inatoa english course ya kiingereza hapa mtaa wa kaloleni street karibu sana
 
Na wale wanaosema kabla ya kuoa/kunioa ulinikuta hivi kwanini unataka kunibadilisha hao unasemaje??
 
Dah! nilikuwa najihisi najua kiingereza balaa, baada kusoma hii sredi nimegundua kumbe najua alphabeti tu, Kulaleki! acha nisepe nisije kuazirika mbele ya Keren Happuch
 
Nyie vijana wawili hapo juu, kama mlifikiri ni mimi pekee umombo unanipiga chenga, hebu msomeni na mai fellow tablet hapa chini ambaye ndo alikuwa kichwa darasani kwenye somo la kiinglish wakati tunasomea filosofia ya uchanganyaji wa madawa...
 
Na wale wanaosema kabla ya kuoa/kunioa ulinikuta hivi kwanini unataka kunibadilisha hao unasemaje??

Mkuu unapooa au kuolewa na mtu unajikuta katika new family ambayo ina taratibu na mambo yake
U can not change the world in one day
Mambo ya kusema ulinikuta nalala kuelekea kaskazini siwezi kubadilika na kulala kuangalia kusini hayo ni mambo ya ajabu
Uko kwenye himaya mpya and new family and u have to follow kile ulichokuta kule
Ndo maana tunaoana ili mimi na wewe tutengeneze familia na hiyo familia ije ituone sisi ni wamoja
Usitegemee baba aende kaskazini na mama aende kusini then useme hapo kuna familia
 
Nyie vijana wawili hapo juu, kama mlifikiri ni mimi pekee umombo unanipiga chenga, hebu msomeni na mai fellow tablet hapa chini ambaye ndo alikuwa kichwa darasani kwenye somo la kiinglish wakati tunasomea filosofia ya uchanganyaji wa madawa...
Fellow tablet huu mjadala usiuendeleze sana, CV yangu ya PM anytime inaweza ikaasirika na huu mjadala.
ee Mungu twakuomba na utusikie!
 
Na haya mambo ya kuoana mi naona ni kamari,pata potea,ukimpata ambaye mtaelewana you will be very happy indeed ,ukikumbana na mkorofi itakula kwako maana utajuta maisha yako yote.Kwa wanaotaka kuoana just take your chance, kama uko ndani ya ndoa ngumu just grind your teeth and take the punches your marriage is throwing at you maana utafanyaje sasa?
 
Nyie vijana wawili hapo juu, kama mlifikiri ni mimi pekee umombo unanipiga chenga, hebu msomeni na mai fellow tablet hapa chini ambaye ndo alikuwa kichwa darasani kwenye somo la kiinglish wakati tunasomea filosofia ya uchanganyaji wa madawa...

Sasa babu kuchanganya madawa na kiinglish wapi na wapi
wewe shika formula ya kutengeneza panadol na qloroquine achana na kiinglish bana
 
In a successful marriage home is your favorite place to be

True that and there is no place to be and be happy than home
But who is responsible to make that home be nice and best place ever to leave
Who is responsible to make that sweet place a husband or a wife
As there is a say that a wiser woman build her sweet home but a foolish one destroy her own home
 
Nyie vijana wawili hapo juu, kama mlifikiri ni mimi pekee umombo unanipiga chenga, hebu msomeni na mai fellow tablet hapa chini ambaye ndo alikuwa kichwa darasani kwenye somo la kiinglish wakati tunasomea filosofia ya uchanganyaji wa madawa...
Nimecheka mpka machozi yamenitoka lol!!! Kuna watu wamepinda
 
Sasa babu kuchanganya madawa na kiinglish wapi na wapi
wewe shika formula ya kutengeneza panadol na qloroquine achana na kiinglish bana
Unajua uchanganyaji wa madaw lazima uendane na lugha za kimombo vinginevyo unawzea kusababisha sumu...... sasa hiki kiinglishi mnachokiweka hapa bado hakijafika kwenye silabasi zetu....Tuoneeni huruma watu wa madawa....

Fellow tablet huu mjadala usiuendeleze sana, CV yangu ya PM anytime inaweza ikaasirika na huu mjadala.
ee Mungu twakuomba na utusikie!
Fainest Utuhurumie, keren Hapuch Utusikie. Fellow tablet kama hatujasikilizwa tuhamie Tripoli kwa waasi.... Maandamano ya chadema hayatatusaidia katika kudai haki yetu ya kukienzi kilugha chetu cha kinyerere.
 
Unajua uchanganyaji wa madaw lazima uendane na lugha za kimombo vinginevyo unawzea kusababisha sumu...... sasa hiki kiinglishi mnachokiweka hapa bado hakijafika kwenye silabasi zetu....Tuoneeni huruma watu wa madawa....

Fainest Utuhurumie, keren Hapuch Utusikie. Fellow tablet kama hatujasikilizwa tuhamie Tripoli kwa waasi.... Maandamano ya chadema hayatatusaidia katika kudai haki yetu ya kukienzi kilugha chetu cha kinyerere.

Nyie watu nyie acheni vituko bana mnatufanya tucheke bila kupenda
 
Back
Top Bottom