My thoughts, what are yours?

My thoughts, what are yours?

Hata mpaka hapo Princess wangu muhesabu kabisa hutompata...kumbe kuna Petition for divorce huko kwa court? Afu inaelekea ww ndo umesababisha ndoa ikavunjika irreparably.....
My Princess is too good for you, mm na babaake hatutoa consent!
Heri sijasema hapo
Aise Bht mlinde sana Princess wako maana TF ana ndoa kama tatu zinaexist moja huko kijijini kwao na mbili mjini hapa

bwan Rocky, umdunde mtumishi wa Mungu? Laana yake unaijua? Kesho utashangaa unamgongea asuluhishe mgogoro wa ndoa yako.....lol!
Akileta za kuleta anadundwa tuu
Wengine siku hizi watumishi jina tuu ila tunagongana nao vijiweni

Most marriages are not successful ones kwa sababu, wengi tunaingia kwenye ndoa bila kujiuliza kabla kwanini uoe/uolewe! Ni mkumbo, fashion, fulfilling dreams, kuonyesha kitaa (marafiki hususani wanawake - they value pete za ndoa kuliko NDOA yenyewe). Researches reveal that walio ktk ndoa ni viwembe kuliko wasio ktk ndoa...... Tht answers my qn kwamba wengi tunaingia ktk ndoa bila kujiuliza je nina sababu ya kuoa / kuolewa sasa hv, kwanini nimuoe / olewa huyu na si yule etc......
for the very little of my understanding,marriage means forever commitment in love to a specific person for the rest of your life in this passing by world,usijiulizetu kwann unamuoa flani,pia jiulize kwann mtu fulani amekubari na amesema yuko tayari kuolewa na ww?jalibu kuainisha maitaji yako ktk ndoa then angalia ujumla wa kua na ndoa (yani ugumu wake),ukiona unamudu basi jiunge...honestly ndoa nijambo jema if and only if umempata mtu sahihi kwako.mtazamo tu lkn

Orayt, hebu mwambieni ODM mmeafikiana nini kwenye swala zima la ndoa, kabla hajarusha maeksipiriensi yake ndani ya ndoa takatifu.

Angalizo: Mnifahamishe kwa kinyerere........ODM ana allergy na Tony Blair's mother tongue....
ODM hebu mwaga utirio wako hapa twende kinyerere language lol!!!

for the very little of my understanding,marriage means forever commitment in love to a specific person for the rest of your life in this passing by world,usijiulizetu kwann unamuoa flani,pia jiulize kwann mtu fulani amekubari na amesema yuko tayari kuolewa na ww?jalibu kuainisha maitaji yako ktk ndoa then angalia ujumla wa kua na ndoa (yani ugumu wake),ukiona unamudu basi jiunge...honestly ndoa nijambo jema if and only if umempata mtu sahihi kwako.mtazamo tu lkn

Babu anagoma kumwaha utirio bana anasingizia Tonny Blair language
Lol b

Hommi baba, mbona unazeeka kabla hujawa kijana?.........Hebu soma haya mabandiko ya wajukuu wa Davie Cameron hapa chini......
Hahaha!!! ODM banaa tokea jana unapiga chenga za mwili ujue tunakusuburia hivyo

Hata mpaka hapo Princess wangu muhesabu kabisa hutompata...kumbe kuna Petition for divorce huko kwa court? Afu inaelekea ww ndo umesababisha ndoa ikavunjika irreparably.....
My Princess is too good for you, mm na babaake hatutoa consent!
Dah!!! Rocky hafai kabisa jana alikuwa rafiki yangu leo kanigeuka, bht usisikilize maneno ya waswahili lol

QUOTE=afrodenzi;2455032]duuhhh hivi kumbe basi mi nnajua stori nyingine kuhusu ndoa yake..
na yenyewe ni hii sex anapata, kwa sasa wanaishi kwa mkataba tu TF
ame fall in love na mtu mwingine kamwambia mkewe na mkewe akamkubalia
divorce sasa wanasubiri huyo lawyer apitishe kalimu kila mtu acheza zake lakini kwa sasa
ni wanatimiziana mahitaji tu (no strings attached)...lol

Hiyo ni story nyingine alikupa
Hivi kumbe kila akikutana na mtu anatoa another version of story
Na unajua nyumba anayokaa ni ya yule mwanamke sasa
So siku talaka ikitoka TF anafukuzwa na kifuko chake cha rambo na zile jeans zake mbili mpauko[/QUOTE]

Heri sijasema hapo
Aise Bht mlinde sana Princess wako maana TF ana ndoa kama tatu zinaexist moja huko kijijini kwao na mbili mjini hapa
Duh!! Duh!! Duh!! Ngoja nitafakari kwanza haiwezekani hii

Dah!!! Rocky hafai kabisa jana alikuwa rafiki yangu leo kanigeuka, bht usisikilize maneno ya waswahili lol

Ndo uamini kuwa rafiki mkia wa mbuzi

Ila TF si nasema kweli bana kwani kuna sehem nimeenda mchomo

Hiyo ni story nyingine alikupa

Hivi kumbe kila akikutana na mtu anatoa another version of story

Na unajua nyumba anayokaa ni ya yule mwanamke sasa

So siku talaka ikitoka TF anafukuzwa na kifuko chake cha rambo na zile jeans zake mbili mpauko

Duh!! Duh!! Duh!! Ngoja nitafakari kwanza haiwezekani hii[/QUOTE]

Ndo ujue na wake zako wote hao hujawapa talaka.
Kama wa kule kijijini anapata shida kweli hata pesa za matumizi humtumii
Na nina picha zako hapa ulipiga nae wakati mnalima shambani huko
s

QUOTE=bht;2455178]You will have to prove him wrong...kazi kwako.[/QUOTE]

Aise mlinde sana sana binti yako TF ana nia mbaya na unaweza shangaa anakuwa mke wa nne hapo lol
a

QUOTE=Asprin;2455300]Kama alivyosema GY, huyu dogo haya maandishi kayanyonya kwenye majournals....... Nikiangalia si mwandiko wake kabisa. Amekopi na kupesti.

Ikifika saa nane kamili mchana kwa saa za JK mnikumbushe niwamwagie mauzoefu yangu ya miaka kumi ya ndoa takatifu ya mke mmoja mzuri na mabinti zetu wawili wazuri kama mama yao.[/QUOTE]

Si unaona eehh mwandiko sio wake kabisa huyu mwandiko wake ni kama bata kaharisha sasa hapa anapotuandikia mwandiko mzuri hivi napatwa wasiwsi nae s

Halafu babu Asprin ulisema ikifika saa nane utatoa au kumwaga utirio hapa. Uko wapi ambako saa nane haijafika

Orayt, hebu mwambieni ODM mmeafikiana nini kwenye swala zima la ndoa, kabla hajarusha maeksipiriensi yake ndani ya ndoa takatifu.

Angalizo: Mnifahamishe kwa kinyerere........ODM ana allergy na Tony Blair's mother tongue....

daaaaamn ODM.....hapo umesema una mzio?

Asa we Kaiser mbona ushauri wako hatuuoni au na wewe hujaingia kwenye hii taasisi ya ndoa banaa

Back
Top Bottom