<br />Hahaha!!! Wee kwa fitina sikuwezi hivi yule mshikaji alitokomea kule alikoenda hakurudi?? Sisi vijana banaa lol!!!
<br />
Hakurudi bana
Vijana tuna matatizo mbaya kabisa. Yaani hii kitu hii kitu hii ni balaa
<br />Hahaha!!! Wee kwa fitina sikuwezi hivi yule mshikaji alitokomea kule alikoenda hakurudi?? Sisi vijana banaa lol!!!
Duh!!! Nimekoma umeniumbua hadharani lol!!!!
Mhhh TF ana ndoa ya lini hiyo ndoa yake au ya mkeka
Khaa ndo mshkaji wenu alikotokomea?Bht ile kitu ambayo haina macho wala miguu ila inaona na kusimama dede
Ad alitokomea kusikojulikana tena club zile zenye wale wadada poa kabisaKhaa ndo mshkaji wenu alikotokomea?
Namtafuta malaika wa Mungu, Roho mpatanishi klorokwini aje achakachue hii sred, imedumu mno
TF ndoa mbona tayari, hajakwambia? hata mi hakunialika though
Ad kwani jamaa ananiamini tena. Anaona akiniambia kuhusu hayo nitamuumbua
Ndoa yake kila siku wanagombana na talaka imekataliwa na unajua kashanyimwa unyumba toka mwaka jana
Hahaha!!! bhtkitu ipi we bwan Rocky?
TF habari za ndoa?
TF ana ndoa ya kanisa ila kwa sasa
anashughulikia divorce mpaka apate basi hiyo ndoa
ndo itakuwa imekufa ama sivyo basi bado yumo kwenye uzi..
Khaa ndo mshkaji wenu alikotokomea?
Namtafuta malaika wa Mungu, Roho mpatanishi klorokwini aje achakachue hii sred, imedumu mno!
TF ndoa mbona tayari, hajakwambia? hata mi hakunialika though
Duh!!! Aisee Rocky na AD hizi fitina zenu hizi hapa sijui hata kama bht atanipa binti yake lol!!!duuhhh hivi kumbe basi mi nnajua stori nyingine kuhusu ndoa yake..
na yenyewe ni hii sex anapata, kwa sasa wanaishi kwa mkataba tu TF
ame fall in love na mtu mwingine kamwambia mkewe na mkewe akamkubalia
divorce sasa wanasubiri huyo lawyer apitishe kalimu kila mtu acheza zake lakini kwa sasa
ni wanatimiziana mahitaji tu (no strings attached)...lol
Aisee inabidi kukaa nao karibu kuwapa ushauri banaaHakurudi bana
Vijana tuna matatizo mbaya kabisa. Yaani hii kitu hii kitu hii ni balaa
Kabisa mkuu maana wanakoelekea hawa vijana siku kabisaAisee inabidi kukaa nao karibu kuwapa ushauri banaa
Duh!!! Aisee Rocky na AD hizi fitina zenu hizi hapa sijui hata kama bht atanipa binti yake lol!!!
Hommi baba, mbona unazeeka kabla hujawa kijana?.........Hebu soma haya mabandiko ya wajukuu wa Davie Cameron hapa chini......hivi hommie kumbe masharti hapa ni kuchangia kwa ki english? daaamn
In a successful marriage home is your favorite place to be. Not that "home" here is not the same thing as house', house is where you live; home is what you live in. A house is built by sand, cement and water while a home is built by Love, peace and joy. So, how do we go from having 'manages' to have 'marriages'? Its just not the capacity to get people to stay together that is the important thing, but also the capacity of get people to love being together. And so if we can build strong marriages, we will build strong families. It is sad some people tend to take their careers more seriously than their marriage, but the truth be told; there can hardly be any true career success if your marriage has failed. Marital changes have be know to ruin the best career opportunities
I think that in the course of marriage, there is nothing that cannot change. But to bet that something will change may be asking for much. Always ask yourself , what if it doesn't change? If the situation remains the same, what are you going to do? People after marriage they usually say, 'He/She saw me the way I was and he/she married me that way, now he/she is demanding that I change'.
This is the most critical time to stand in integrity and ask, 'Can I really live with this?'. Marriages do not fail because of the things you can live with, marriages fail because of the things you can't live with. Most times, people knew they couldn't live with certain things but they said maybe they could.
Mariage is when u take your vow to be with each other till death,your love should grow stronger by the day an not weaker ,love in a mariag e should be pure at all times an the only way to have that is to be honest to your partner an solve any problem u have to face . Your partn er should be your best friend in life an have faith an trust in your partner ,an u will see your life will be filled with joy an happines s .love is beautiful when there is honesty in the relationship. U will no when its true love its to good to be true