My thoughts, what are yours?

hahahah Dogo si usubiri mambo yajibu.....lol mzima lakini? Waifu kwen sekta hiyo hanaga uchoyo kabisaaa[/QUOTE]

Kaizer mambo ni vipi
Kwani nimefanya nini hapa tena maana nimeshangilia tuu

Source pliz

Kwani mtoa mada haelekei kuwa na busara za kutoa maneno kama hayo
Atakushtaki aise daa

Lazima aapreciate source maana maneno haya Finest lazima kayatoa kwenye majournal tu....

aaaiisee! Your time compared to my time at JF... I Bliv you know better.. Naona tumsubiri Finest ajibu mashtaka....

Naona GY hakwepeshagi....lol

Mbona hapa ka-aapreciate source.....maneno ya Finest tunayajua jamani, haya si yake kabisa...labda kama kaandikiwa na Kiranga
For I will be with you to rescue and deliver you, says the LORD.- Jeremiah 15:20-21

My thinking Marriage is something based on traditions, taboos and religious teachings. One thing which today's marriage cant afford is supersonic and material based kind of life. At many times we(to be honest) our marital life are more or less like comedy movies. You could easily find the so called strong, well established marriage are always enshrined for the detriment of one of the couples. We need both a house and home, though its extremely hard if not impossible to have both! My take don't take life so serious, ups and down are part of the game bearing in mind that all human beings inclusive you reading this we are INCOMPLETE.

Mbona hapa ka-aapreciate source.....maneno ya Finest tunayajua jamani, haya si yake kabisa...labda kama kaandikiwa na Kiranga
For I will be with you to rescue and deliver you, says the LORD.- Jeremiah 15:20-21

hate to love......shikilia bukta ishafika magotini!

Lazima aapreciate source maana maneno haya Finest lazima kayatoa kwenye majournal tu....
Hahaha!!! GY banaa source waulize CCM wao ndio huwa wanaenda kutoa kwenye majournal

Hili sredi limenishinda kuchangia kwa sababu kinglish is not pandaring. Hebu niitien Kaizer aje anisaidie kuchangia,... Source? ODM

Asprin jongea upande huu bana utoe uzoefu wako
Tf anasema je ndoa yako bado ni kama wakati ule wa uchumba bado mnatoana outing na kupeana malavidavi

Mariage is when u take your vow to be with each other till death,your love should grow stronger by the day an not weaker ,love in a mariag e should be pure at all times an the only way to have that is to be honest to your partner an solve any problem u have to face . Your partn er should be your best friend in life an have faith an trust in your partner ,an u will see your life will be filled with joy an happines s .love is beautiful when there is honesty in the relationship. U will no when its true love its to good to be true

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…