Said kapanda
New Member
- Sep 19, 2009
- 3
- 0
Katabazi what the hell is this! kazi unayo but think bigger!
Kama Hujaelewa kitu uliza!!!!!!!!!
Its a very sad story!
Soma vizuri bestina, si msichana ni mvulana mwenzao.Mama ndiye tatizo kubwa. kuchanganya watoto wa kike na wakiume wenye umuri huo kwa nyakati hizi za utandawazi kweli hakufikiria. She is the one 2b blamed.
Mahakama na jela za watoto zipo. hatua kali zichukuliwe kwa vijana hawa ili iwe fundisho kwa wengine wenye tabia za kihivyo.