My sons raped my sisters son | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

My sons raped my sisters son

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Katabazi, Aug 11, 2009.

 1. K

  Katabazi JF-Expert Member

  #1
  Aug 11, 2009
  Joined: Feb 18, 2007
  Messages: 355
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ndio Dunia.
  Huyu dada alifiwa na dada yake ambaye alikuwa na mtoto 1(7 yrs) tu na mume wake aliishafariki.
  Ikabidi huyu dada amchukue huyo mtoto akae nae na akamuweka chumba kimoja na watoto wake wa kiume(12 and 15 yrs).
  Hawa watoto baada ya muda wakamvamia huyu mtoto kwa vitisho kuwa sasa huna baba na mama yako tumeisha mzika na kuanzia leo lazima tukufanye nyuma(tigo) na ukisema tutakuzika kama mama yak.
  Mttot kwa kuogopa akawa akiwapa kila siku wakitaka usiku.
  Siku 1 mama akagndua lakini bada ya kumuuliza mtoto kwanini uko down mtoto akakataa,basi mama akajua labda ni kwa sababu ya kufiwa na wazazi.
  Wale watoto baada ya kusimuliana shuleni,akatokea mtoto ambaye amekubuhu(15Yrs) akawauliza anatembeaje-wakasema anatembea vizuri,huyo mtoto akasema basi mleteni kwangu nimuonyeshe kazi.
  Wakamdanganya na kumpeleka,siku hiyo akarudi nyumbani damu zinamtoka na amezibwa na mapamba na vitambaa.
  Mama kumuona vile ndio baada ya maswali mengi kila kitu kikajulikana.
  Mama akaenda polisi akidai kuwa watoto wake lazima wawekwe jela kwa sababu hawafai kuishi kwenye society,baba akadai kuwa haiwezekani kwa sababu wakipelekwa Keko nao watafanyiwa vibaya zaidi.
  Hayo yote 9,ninalouliza je kesi kama hii inahitaji ushahidi gani zaidi?Na watoto kama hawa wanafungwa wapi jela za watoto au za wakubwa?
   
 2. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #2
  Aug 11, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Hili inabidi kuvutiwa pumzi kwanza.

  Labda ungetueleza hao watoto historia yao, uliwaleaje mpaka wakaweza kuwa wanyama hivi.
   
 3. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #3
  Aug 11, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  WHAT a damn!
  what a stupid desicion!
   
 4. K

  Katabazi JF-Expert Member

  #4
  Aug 12, 2009
  Joined: Feb 18, 2007
  Messages: 355
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Thank you for your good comment,but what was she supposed to do-taking into consideration that she had only 3 rooms,one for herself,one for laddies and 1 for boys?
   
 5. M

  Mama Joe JF-Expert Member

  #5
  Aug 12, 2009
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,507
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  She took it for grant maybe coz its not her child, je hamuogeshi kila siku? and besides wazazi inabidi hata kama utaona ni ujinga mara kwa mara jaribu kukaa na mtoto ukamuuliza maswali: leo hivi, vile ni rahisi mtoto kuropoka siri kama utamuuliza swali kama unaumwa? wapi nk, really tuna kazi nyingi, tunarudi late, but still she should have noticed this at least within one week. The child is sad yes, but try to be close.
  Mhh its so sad! na hao watoto wake wanaonyesha taswira ya wazazi wao: they really don't care for their relative, bullying is common but to call an outsider! this family is really not a safe place for children, they parents should go to jail also coz they will keep on reproducing without caring.
   
 6. Kilbark

  Kilbark JF-Expert Member

  #6
  Aug 12, 2009
  Joined: Feb 25, 2008
  Messages: 558
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Kill those kids and cut their pricks put them in their mouth plus hot rod in their asses. That's a judgement. The system is also corrupt and there are many victims like those mentioned. I think we need some kind of mob justice on this.
   
 7. C

  Chupaku JF-Expert Member

  #7
  Aug 12, 2009
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 1,045
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Kitendo hiki cha hawa watoto ni taswira ya maisha wanayoishi na wazazi wao. Hao watoto wameharibikiwa tena bila baba na mama yao kujua, kwa sababu ya uzembe wao. Watoto wanahitaji ufuatiliaji wa hali ya juu kuanzia shuleni, marafiki zao. Hao wazazi wangekuwa wanakaa na watoto kuongea nao, kupekua mabegi yao, kuwafuatilia marafiki zao wange notice tu kitu kinachohusiana na ubazazi wao. Nakwambia hao ni balaa, aombe Mungu asipate mtoto msichana kwa sababu watambaka.
  Nasemaga hizo shilingi mnazofukuzia na kusahau watoto wenu kisa mnataka kujenga magorofa shauri yenu.
   
 8. C

  Chupaku JF-Expert Member

  #8
  Aug 12, 2009
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 1,045
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
   
 9. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #9
  Aug 12, 2009
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Haya mambo yanafanyika sana hasa kwa zile famili ambazo wazazi wako busy kutafuta note at the expense of their love to the family!!!!Na kawaida kama watoto wamefundishwa upendo utaona tu hata kama ni mfanyakazi anaumwa au hana raha basi huwa wanamuuliza dada/kaka unaumwa?? Pole dada/kaka!!!! Watoto wangu wakati wakikua dada/hg kama hata akiangusha kijiko au sufuria wakisikia utasikia pole dada. Akiumwa dada wote walikuwa wanajikusanya karibu yake na kila mmoja anauliza amletee nini na wazazi tukirudi tu salamu ya kwanza ni kuwa dada anaumwa, unajua tena enzi hizo hakuna cha mobile na ttcl walikuwa hawakamatiki.

  Kwa pande wa ndugu zao ni hivyo hivyo, akija mgeni alikuwa anapata hospitality ya hali ya juu toka kwa watoto , nakumbuka siku moja baba yangu mzazi alifika kutusalimu toka kijijini na watoto wote waligombania kumvua viatu. Babuu yao alishangaa sana. Na hii ni kwa hata sisi wazazi tulikuwa tukifika tu, kamba za viatu wameshafungua, umeletewa sandals, n.k na hawakuwa wamejifunza kwa mtu yoyote wala mama au baba. Ni upendo tu na wanaamua kufanya. Na tuliishi na ndugu na hakuna tatizo la kupigana wala kufanya unyama kama huu.

  Tuwe karibu na watoto wetu na kila siri utaifahamu. Akipata girl/boy friend atakushirikisha, etc. Na ni kwa sababu from the beginging unaweka wazi kuhusu mahusiano na kuwa utapenda uone rafiki yake wa kike/kiume kabla ya kuzoea sana na ueleze sababu za msingi na akija nyumbani entertain them vizuri na we karibu nao ili ujifunze mengi toka katika mahusiano yao.

  Malezi hayana shule ila Muombe Mungu akupe busara na hekima ya kulea watoto wako. Malezi si mchezo.
   
 10. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #10
  Aug 12, 2009
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  hawa watoto wanahitaji kifungo cha miaka isiyopungua 30...
  Kesi hii ikishakuwa reported, basi sio kazi ya huyo dada kukusanya evidence. Inageuka kuwa kazi ya polisi kwa sababu hili ni kosa la jinai - criminal offence. Sasa ni wao wenyewe wataamua washtakiwe kama watoto au watu wazima. Na wao ndio watahusika katika ukusanyaji wa evidence ya kujenga kesi.
   
 11. J

  Joyceline JF-Expert Member

  #11
  Aug 12, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 1,010
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Kwanza ni kosa kuwalaza watoto wa kike na wakiume wenye umri mkubwa pamoja , hata kama ni ndugu.

  Halafu haiingii akilini kwanza ndo wameanza kwa huyo dada yao tu, lazima ulikuwa ni mchezo wao kwa hiyo hapo wanaendeleza au huwa wanaangalia kanda za ngono, inatakiwa awachunguze hata watoto hao ukute hata wenyewe wanafanyiana.

  Halafu inaonyesha wazazi hawako karibu na watoto na hawamjui Mungu, wangekuwa wanamjua Mungu wangewafundisha watoto wao maadili na upendo kwa hiyo wangekuwa na hofu ya Mungu wasingeweza kumfanyia hivyo ndugu yao.

  Huyo binti ameshaathirika kisaikologia, na uhusiano wake na ndugu zake umeishavurugika, namshangaa huyo baba ingekuwa ni mtoto wake kafanyiwa hivyo angewaaacha, kwa hiyo damu nzito anaona wa kwake ni bora kuliko wa mwenzie.
  sheria zipo zichukue mkondo wake.
   
 12. M

  MzeePunch JF-Expert Member

  #12
  Aug 12, 2009
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 1,412
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135

  Lakini kwa mujibu wa maelezo ya mwanzisha thread hii hao watoto wote ni wavulana. ina maana hao walikuwa wanamlawiti mdogo wao wa kiume na sio wa kike.
   
 13. b

  bnhai JF-Expert Member

  #13
  Aug 12, 2009
  Joined: Jul 12, 2009
  Messages: 2,208
  Likes Received: 1,373
  Trophy Points: 280
  Ukiitazama thread vizuri haionyeshi ni jinsia gani ya huyo aliebaka kwa sababu kuu mbili. Katabazi anasema mtoto alikuwa na umri wa miaka 7 (hapo hakuna jinsia, mbeleni akasema wakamwambia lazima tukufanye nyuma (Inawezekana pia alikuwa anafanyika na mbele). Kwahiyo jinsia ni kitendawili.
  Sasa kama jinsia ilikuwa ni yakike ambapo uwezekano ni mkubwa kwa sababu mbele katabazi anataja idadi ya vyumba (ingekuwa jinsia moja asingetoa hoja hiyo) hao wazazi ndio visababishi hata bila ya kufikiria malezi maana hivyo vidume ndio vinabaleghe. lakini pia na suala la malezi halitenganishwi.
  Nini cha kufanya; Wazazi wa huyo mtoto wangekuwa hai wangechukua hatua gani? (hii ndo sahihi) au watoto wao wangefanywa hivyo wangeanywaje?
  Waachwe kwa kweli waende nani hakuna anyependa kuona yatima wakiteswa, sheria ifanye tu kazi yake
   
 14. Mr Kiroboto

  Mr Kiroboto JF-Expert Member

  #14
  Aug 13, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 321
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35

  soma heading mkuu
   
 15. E

  Exaud Minja Member

  #15
  Aug 13, 2009
  Joined: Mar 13, 2009
  Messages: 84
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15

  Kuwachanganya watoto wakubwa wa kiume na mtoto mdogo wa kike?, Wewe ni mshitakiwa namba moja hakuna utetezi wowote utakaoweza kukutoa kwenye kosa hilo labda kwa hakimu mla rushwa, nyie wazazi mnastahili kwenda jela.
  Kabla ya kesi kuendelea watoto wote wakapimwe afya zao sina sababu ya kuuliza wazazi walikufa kwa ugonjwa gani.
  Inaonekana kabisa watoto hawana uangalizi wowote na ni wanyama kupindukia nafikiri wamerithi tabia kwa wazazi wao wanastahili kwenda jela.
  Inaonekana kabisa hii nyumba ni ya wapagani, watoto hawajui kama kuna dhambi wala nini.
  KAMA NIMEPEWA KUTOA HUKUMU YA HII KESI WAZAZI NA WATOTO WOTE WANGEKWENDA JELA NA KUAMURU WACHAPWE VIBOKO HADHARANI.
   
 16. b

  bnhai JF-Expert Member

  #16
  Aug 13, 2009
  Joined: Jul 12, 2009
  Messages: 2,208
  Likes Received: 1,373
  Trophy Points: 280
  Do very sorry nilikimbilia kwenye content nikapotea njia baada ya discussion ya hapo juu. Nakiri udhaifu
   
 17. b

  bnhai JF-Expert Member

  #17
  Aug 13, 2009
  Joined: Jul 12, 2009
  Messages: 2,208
  Likes Received: 1,373
  Trophy Points: 280
  Hizo jazba sasa, unajua siku hizi kuna shule nyingi saana. Kuanzia magazeti ya udaku, internet, tv nk. Katika age hiyo inawezekana watoto ndio walikuwa wanataka kujaribu so wnastahili adhabu. Wazazi wao wanastahili adhabu kwa sababu hawakumprotect yule mtoto vya kutosha.
  Tuache sheria ichukue mkondo
   
 18. S

  SSB New Member

  #18
  Aug 13, 2009
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pole yake huyo dada na familia yake.., kweli huu ni uzembe wa kutowajari watoto iliyopelekea wakajifunza tabia mbaya toka kwa marafiki zao bila ya wazazi kujua.

  La kushangaza, baba anatetea wasipelekwe Segerea!!.., ingekuwa ni mtoto wake wa kuzaa amefanyiwa na watoto wa ndugu yake angejisikiaje?

  Hii waiachie mikono ya sheria ifanye kazi yake, though system nayo iko corrupt, lakini hili ni swala la jamii na hao watoto kwa kuwa wazazi wao wamewashinda kulea vizuri, basi wakalelewe na dunia nyingine. Na huyo rafiki yao aliyeenda kuwaonyesha kazi inavyofanyika awe mshitakiwa namba moja.

  Kama mzazi lazima usikie roho ya huruma linapokuwa swara la watoto wa huo umri, lakini inapokuwa issue ya kinya kama hili, inabidi kuiachia mikono ya sheria ifanye kazi yake na hao watoto wakajifunze wajue kwamba walivyokuwa wakifanya siyo. Hata wakiachwa, hao tena basi.., watakuja kufanya kingine kikubwa zaidi.., wanaweza kumbaka hata mzazi wao wakimlia timing..,

  Pole sana dada.., ndo watoto wa 21st century..,
   
 19. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #19
  Aug 13, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,519
  Likes Received: 19,944
  Trophy Points: 280
  Sad story........siwezi kuendelea kusoma hata maoni hapa..God 4 give them
   
 20. L

  Ledwin JF-Expert Member

  #20
  Aug 13, 2009
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 227
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  sad story,mimi sijasoma sheria,ila hao watuhumiwa wanahitaji adhabu,maana wataendelea kwa watoto wengine,pili mtoto aliyefanyiwa anahitaji kusaidiwa kimawazo pl.
   
Loading...