Ohoooo!! Kumbe CCM si ya Wakweli bali wale wanafiki? (Kwenye red)
[QUOTE=Pasco;8615687]Mkuu Le Mutus, with due respect, Lowassa, haihitaji kabisa kura yako!, nashukuru at least this time umekuwa mkweli kuwa "humchukii!", hilo la kumuunga mkono sio issue sana kwa sababu ndani ya CCM, kwa sababu, kwa maoni yako, nadhani ndani ya CCM, wewe utakuwa huna impact yoyote ya maana kufikia kiwango cha kuitishia kasi yake au hata kuipunguza kasi!, kama aliyewahi kuwa Makamo Mwenyekiti amelonga na kapuuzwa, itakuwa wewe?!, nakushauri endelea tuu ku symphasize na Mzee wako ili angalau mmalize salama!.
Tena nakupa ushauri wa bure, ukiwa mwana CCM, usijifanye kuwa mkweli saana kivile!. CCM haiwapendi wakweli wa type yako!. Kama kuanzia Mwenyekiti wako, JK, Katibu wako Mkuu, Kinana, mabosi wenu wa jumuiya za Chama, Wazazi, Wanawake na Vijana, wenyeviti wa CCM karibu wote ni watu wa Lowassa, who are you, hata usipomuunga mkono?!, Mwenzio Nape keshaujua ukweli, hebu mfuatilie kama anaendelea kupayuka lolote kumhusu mtu huyu!.
Nakushauri just keep on the good job you do kwenye blog yako, I think as of now, that is the best you can do, and make a lot money!, please make them more and more, ilihata 2015 ukiamua kujaribu tena, angalau utakuwa nazo za kutosha kuchagulika, kwa sara, EL achana nae kabisa!.
Pasco.[/QUOTE]