My life with grown married men

My life with grown married men

Huyu ameruhusu udhaifu wake umuelemee..Anajiendekeza tu...Siku akifumaniwa zen apate kipigo cha haja sijui kama atasubiri kupewa ushauri ili abadilike
Hili nalo neno...ukibahatika kipigo na viwembe vya uso, mwenyewe unasurrender tu!
 
We dada sio kabisa unajiskia raha kutoka na wanaume za watu watu wa aina kama yako wanaopenda kushea kwa asilimia kubwa huwa mnamaambukizi ya virusi vya ukimwi na staili zenu huwa mnapenda wazee coz ndio wenye kuhonga kiurahisi huku wanatelekeza familia tafuta wako acha tabia zako chafu
 
Wivu na kufuatiliana ndio mapenzi yenyewe hayo, ukiona huyo kijana ambaye humtaki kisa ana wivu na wewe na anakufuatilia jua anakupenda na kukuthamini. Hao married men ambao unaona wako vizuri na hawana hayo mambo ya ajabu ajabu (Jealousy, caring) kama uitavyo wewe wana watu ambao wanawafanyia hayo mambo ya ajabu ajabu kila siku ambao ni wake zao.
Get back to your sense na ujue what's good and what's not good before its too late.
 
Habari zenu wote..
Nataka kushare na nyinyi story ya maisha yangu ya kimahusiano tangu naanza issue nzima za mapenzi,. Honestly hiki ni kitu kinanisumbua sana.

Nahisi kama sijui nina bahati mbaya gani, sababu tangu naanza kujihusisha na mapenzi sijawai kuwa na mwanaume ambae ni wa pekeangu yani hana mke na familia kwa Muda , mara ya kwanza kabisa nilikua na uhusiano na mwanaume mtu mzima kabisa ila hakuwahi kunambia kwamba ameoa na wala sikuwahi ku doubt sababu hajawai kunipa sababu za mm kumtilia mashaka, mara zote nilipokua namhitaji hata usiku alikua na uwezo wa kuja na hata simu tulikua tunaongea mpk usiku mnene sana kwhyo sikuwahi kuwaza kama pengine angekua na mke. Labda kitu kimoja tu ambacho kwa wakati huo sikuwahi kukiwaza ni kwamba hakuwahi kunipeleka kwake, mara nyingi tulikua tukikutana hoteli au kusafiri pamoja, issue ilikuja kusanuka baada ya mkewe kunifatilia kwa Muda mref na ndo nikajua kwamba jamaa ameoa the guy aliniomba msamaha sana sana akadai at first hakuwa na mpango wa kulast na mimi ndo mana hakuona sababu ya kunambia and hata alipojaribu kunambia alihisi ningekasirika nikamuacha... Kulitokea misunderstanding nyingi sana ila at last nikaamua kuachana nae. The man alikua na mapenzi sana na mm, he was an amazing man and of course na mm nilikua tyr nimefall kwake sasa pamoja na kuachana, nimekua kama psychologically affected maana wakaka yani nawaona kama hawatanipenda the way that man used to love me.,

Tangu kipnd hiko am only dating grown men ambao bahati mbaya inatokea wote wanakua wameoa na familia zao na ndio hao wanaokua na mapenzi ninayoyataka mimi... I feel really guilty lakini sijui nifanye nn ,nimejaribu kujihusisha na vijana wenzangu kama mara mbili hivi lakni naona kabisa sipo comfortable wala sina upendo nao kbsa, Wana mambo ya ajabu wivu kufuatiliana sana na mambo mengne nisoyapenda mimi. I want to change niachane na wababa jamani, just advice me what can I do? Nitashuru.

:mtu asinitukane, I took my time writing this and ni kitu ambacho kinaumiza sana sasa ukizidi kuniumiza haitakuwa vizuri if you don't have anything to say better unyamaze tu.
mi mwenyewe nahisi unaweza kuwa good kwangu maana mi kufuatiliana sipendi af ndio hivo watotowadogo sana wanasumbua ...wakubwa sana siwezi maana sitaki kulelewa ....
 
Kwani sahivi wameacha kusumbua hao wababa....bado vitombi, waulize wake zao
Ukiangalia maelezo yake kawasifia sana wababa wanampa mapenzi anayoyataka ukilinganisha na vijana
 
Kashindwa kusema tu ukweli wababa wanatoa mpunga mrefu kuliko vijana
 
Jiulize Kwanza ww ni wife material au mchunaji material sbb kijana ambaye hajaoa huwa anapima vingi kabla ya kuendeleza uhusiano na ww na kufikia ndoa.
Sasa mtu mmeanza uhusiano tu unaleta yale ya wazee wako naomba kodi naomba hela ya saloon na vyote umezoeshwa vya bei ghali nyumba mizee imekupangia ya gharama kubwa vijana watagonga na kusepa tu
 
Ungeanza kwa kutumia una umri gani!? Dini yako? unapoishi iwe rahisi kukushauri

Am 24 years, Christian,. Naishi Iringa for now ila nyumbani kwetu ni arusha.
Kumbe bado mdogo tu. Kwani siku hizi mtu akiolewa kabla ya 30 yrs ajue atapata shida ndani ya ndoa maana hajatulia na mwanamume awe ni angalau 35 yrs
 
Alafu unakuaje na furaha na mtu mwenye mahusiano mengine?kama hutaki kufuatiliwa huta olewa itabidi ubaki na hao wameza watu wanaolala na kukuacha,kama unataka kua mke jifunze unyenyekevu
 
Alafu unakuaje na furaha na mtu mwenye mahusiano mengine?kama hutaki kufuatiliwa huta olewa itabidi ubaki na hao wameza watu wanaolala na kukuacha,kama unataka kua mke jifunze unyenyekevu
Hapo kwenye unyenyekevu hapo. Hataki kiufuatiliwa huyo, anataka uhuru wake ndio maana anafurahi kuwa na wanaume wasiomfatilia.
Lakini Mungu ni mwaminifu, kwa vile ameshajitambua na kuona tatizo liko wapi, huenda akabadilika.
Kuna mmoja yeye aliwahi kusema kuwa haoni ubaya kuliwa na mume wa mtu, proudly being screwed by a married man, upumbavu mtupu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom