My life with grown married men

My life with grown married men

Pole mama chanja, Mungu wetu yeye sio kisiwi asisikie, wala sii muongo akasema uongo, amesikia kilio chako naye atakutendea sawa sawa na hitaji la moyo wako, endelea kumsihi Mungu akuepushe na majaribu hayo yote, naye akujalie tumaini jipya.
 
Laana ya kuumiza family za watu. Si ujanja ila malipizi yake ndo sasa no stable relationship. Wengi wanaopenda waume za watu ni wale wapendao mitelemko. Jibidiishe na acha kupenda vya mtelemko
 
Married men!
Hivi Kuna mwanamke hajawahi kutokewa na a married guy! I wonder how their wives feel. Au ndo wamekubaliana na hali ili mradi wao ndo wanajulikana, the guy Could go anywhere!!
Ningejitoa JF usingechangia namna hii
 
Laana ya kuumiza family za watu. Si ujanja ila malipizi yake ndo sasa no stable relationship. Wengi wanaopenda waume za watu ni wale wapendao mitelemko. Jibidiishe na acha kupenda vya mtelemko
Sasa vipi na hao wanaume wasiojali familia zao? Kama wewe hujali familia yako unategemea mwanamke uliemkuta barabarani aijali?!
 
Tafuta mwanamaombi wa kanisani kwenu mueleze tatizo lako mliweke katika maombi.Hakikisha kanisa lenu sio la manabii wa uongo.Hili suala ni la kiroho na kwa kuwa ushajitambua ni rahisi sana kutoka mamii.Mungu akusaidie.
 
Sasa vipi na hao wanaume wasiojali familia zao? Kama wewe hujali familia yako unategemea mwanamke uliemkuta barabarani aijali?!
Rafiki zangu mimi wengi wameoa lakini they are worse than me!
Me nashangaa mtu umejua mwanaume anaCheat we unaenda kumfuata dada wa watu.

The idea that a man is with me because he has no way out disgusts me. Kama umenichoka jiendee, we'll separate peacefully when kids are involved. Ndomana wengine idea ya kuSign papers hatutaki. Nataka uwe huru kabisa.
 
mm nashauri, wewe uanze kuchange mind yako kwanza. maana ujue kama unamipango ya kuja kuoelewa, hakuna muoaji kati ya hao.
 
Ningejitoa JF usingechangia namna hii
Unasubiri ferry and this hot guy makes you laugh so much and you start thinking "I don't do black guys but I'd do this one". Then he takes his phone out to get your number and you see his ring!!! PHUUK!!
 
After 10 you will have a clear picture of what really matters in life....
 
Unasubiri ferry and this hot guy makes you laugh so much and you start thinking "I don't do black guys but I'd do this one". Then he takes his phone out to get your number and you see his ring!!! PHUUK!!
this is where you annoy me!!!!
 
I can feel you my dear. Guilt inaweza kukuua kwa mawazo. Yuda na Petro wote walimkosea Yesu, but Petro alichagua toba akaishi ila Yuda kwa ajili ya guilt alijiua. Unakosa amani Kabisa na Kila wakati unapopitia magumu utaanza kujihukumu "ni kwa sababu nilifanya kosa fulani. Ni kwa sababu nilitembea na waume za watu. Unahitaji toba kwa Mungu ma pia Jisamehe wewe mwenyewe ili usije ukajihukumu huko mbeleni. Hata ikitokea unapata shida kuolewa au umepata mume anayekusumbua, amini ni mapito tu kama mapito mengine, na sio kwa sababu ulitembea na waume za mtu. Shetani ni muongo, everytime unataka kupiga hatua mbele, atakuwa anakukumbusha uliyoyafanya nyuma ili tu uvunjike moyo, wewe usimpe nafasi.. Mungu wetu ni wa neema na rehema, anafuta mashtaka yako yote (hati ya mashtaka ilifutwa pale msalabani) na atafanya mabadiliko ndani yako kwa kuzigeuza fikra zako na maisha yako kwa ujumla

Mtafute kiongozi wa dini unayemuamini, ungama then please please "JISAMEHE na omba Mungu asamehe na kizazi chako. Baada ya hapo Mpende Mungu zaidi ( when the guilt is gone, love the Lord more). Mungu atakupitisha katika hili. Sio kitu chepesi kuondoa guilt, ila utayaweza yote katika Mungu. Tutakuponda mawe sana but usitusikilize. Uzuri wewe umeshagundua nini unachotaka, basi Ziba masikio, concentrate na Mungu wako, ya kale yamepita. . Yote yamekuwa mapya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom