My life with grown married men

My life with grown married men

I can feel you my dear. Guilt inaweza kukuua kwa mawazo. Yuda na Petro wote walimkosea Yesu, but Petro alichagua toba akaishi ila Yuda kwa ajili ya guilt alijiua. Unakosa amani Kabisa na Kila wakati unapopitia magumu utaanza kujihukumu "ni kwa sababu nilifanya kosa fulani. Ni kwa sababu nilitembea na waume za watu. Unahitaji toba kwa Mungu ma pia Jisamehe wewe mwenyewe ili usije ukajihukumu huko mbeleni. Hata ikitokea unapata shida kuolewa au umepata mume anayekusumbua, amini ni mapito tu kama mapito mengine, na sio kwa sababu ulitembea na waume za mtu. Shetani ni muongo, everytime unataka kupiga hatua mbele, atakuwa anakukumbusha uliyoyafanya nyuma ili tu uvunjike moyo, wewe usimpe nafasi.. Mungu wetu ni wa neema na rehema, anafuta mashtaka yako yote (hati ya mashtaka ilifutwa pale msalabani) na atafanya mabadiliko ndani yako kwa kuzigeuza file zako

Mtafute kiongozi wa dini unayemuamini, ungama then please please "JISAMEHE na omba Mungu asamehe na kizazi chako. Baada ya hapo Mpende Mungu zaidi ( when the guilt is gone, love the Lord more). Mungu atakupitisha katika hili. Sio kitu chepesi kuondoa guilt, ila utayaweza yote katika Mungu. Tutakuponda mawe sana but usitusikilize, Kila mtu hapa ana lake moyoni anahangaika nalo. Uzuri wewe umeshagundua nini unachotaka, basi Ziba masikio, concentrate na Mungu wako, ya kale yamepita. . Yote yamekuwa mapya

Nimelia...
 
Pole mwaya...... Ni kweli vijana wanazingua ila kumbuka hata hao wababa walikuwa vijana enzi zao walisumbua......
Kwani sahivi wameacha kusumbua hao wababa....bado vitombi, waulize wake zao
 
njoo kwangu mie mume wa mtu afu nipo single mama chanja
 
Married men!
Hivi Kuna mwanamke hajawahi kutokewa na a married guy! I wonder how their wives feel. Au ndo wamekubaliana na hali ili mradi wao ndo wanajulikana, the guy Could go anywhere!!
Tena ving'ang'anizi haoooo!! Yaani ni balaa tupu.
 
Habari zenu wote..
Nataka kushare na nyinyi story ya maisha yangu ya kimahusiano tangu naanza issue nzima za mapenzi,. Honestly hiki ni kitu kinanisumbua sana.

Nahisi kama sijui nina bahati mbaya gani, sababu tangu naanza kujihusisha na mapenzi sijawai kuwa na mwanaume ambae ni wa pekeangu yani hana mke na familia kwa Muda , mara ya kwanza kabisa nilikua na uhusiano na mwanaume mtu mzima kabisa ila hakuwahi kunambia kwamba ameoa na wala sikuwahi ku doubt sababu hajawai kunipa sababu za mm kumtilia mashaka, mara zote nilipokua namhitaji hata usiku alikua na uwezo wa kuja na hata simu tulikua tunaongea mpk usiku mnene sana kwhyo sikuwahi kuwaza kama pengine angekua na mke. Labda kitu kimoja tu ambacho kwa wakati huo sikuwahi kukiwaza ni kwamba hakuwahi kunipeleka kwake, mara nyingi tulikua tukikutana hoteli au kusafiri pamoja, issue ilikuja kusanuka baada ya mkewe kunifatilia kwa Muda mref na ndo nikajua kwamba jamaa ameoa the guy aliniomba msamaha sana sana akadai at first hakuwa na mpango wa kulast na mimi ndo mana hakuona sababu ya kunambia and hata alipojaribu kunambia alihisi ningekasirika nikamuacha... Kulitokea misunderstanding nyingi sana ila at last nikaamua kuachana nae. The man alikua na mapenzi sana na mm, he was an amazing man and of course na mm nilikua tyr nimefall kwake sasa pamoja na kuachana, nimekua kama psychologically affected maana wakaka yani nawaona kama hawatanipenda the way that man used to love me.,

Tangu kipnd hiko am only dating grown men ambao bahati mbaya inatokea wote wanakua wameoa na familia zao na ndio hao wanaokua na mapenzi ninayoyataka mimi... I feel really guilty lakini sijui nifanye nn ,nimejaribu kujihusisha na vijana wenzangu kama mara mbili hivi lakni naona kabisa sipo comfortable wala sina upendo nao kbsa, Wana mambo ya ajabu wivu kufuatiliana sana na mambo mengne nisoyapenda mimi. I want to change niachane na wababa jamani, just advice me what can I do? Nitashuru.

:mtu asinitukane, I took my time writing this and ni kitu ambacho kinaumiza sana sasa ukizidi kuniumiza haitakuwa vizuri if you don't have anything to say better unyamaze tu.

Ungeanza kwa kutumia una umri gani!? Dini yako? unapoishi iwe rahisi kukushauri
 
Ungeanza kwa kutumia una umri gani!? Dini yako? unapoishi iwe rahisi kukushauri

Am 24 years, Christian,. Naishi Iringa for now ila nyumbani kwetu ni arusha.
 
Eti nataka nichange niwe na vijana huku unadai uwapendi wana mambo ya ajabu ...!

Shida ni umasikini wako na kupenda vya bure wazee pesa hawajui pakuzitumia siye mayanki mipango matumizi siyo priority...!
 
sema hela sababu maana vijana wengi chepe alolo na watu wazima wako vizuri financially
ila ukiamua mwenyewe unaweza fanya maamuzi magumu usiangalie nyuma wala usijifananishe na mtu ukikutana na umpendaye mpende usilinganishe mapenzi sababu hayana formular hayo na pia watu hawafanani
 
Chris Rock said women can't ever go backwards in lifestyle. If a mama dates a brotha who drives, she'll never feel one who walks. The next one gotta top whatever the former had to offer. So it's not her fault.
Exactly it's not her fault, but rather her "CHOICE" (acha wale wanaodate waume za watu bila kujua). We are in no position to judge her, but I hope you have learnt something from the choice she made.
 
Habari zenu wote..
Nataka kushare na nyinyi story ya maisha yangu ya kimahusiano tangu naanza issue nzima za mapenzi,. Honestly hiki ni kitu kinanisumbua sana.

Nahisi kama sijui nina bahati mbaya gani, sababu tangu naanza kujihusisha na mapenzi sijawai kuwa na mwanaume ambae ni wa pekeangu yani hana mke na familia kwa Muda , mara ya kwanza kabisa nilikua na uhusiano na mwanaume mtu mzima kabisa ila hakuwahi kunambia kwamba ameoa na wala sikuwahi ku doubt sababu hajawai kunipa sababu za mm kumtilia mashaka, mara zote nilipokua namhitaji hata usiku alikua na uwezo wa kuja na hata simu tulikua tunaongea mpk usiku mnene sana kwhyo sikuwahi kuwaza kama pengine angekua na mke. Labda kitu kimoja tu ambacho kwa wakati huo sikuwahi kukiwaza ni kwamba hakuwahi kunipeleka kwake, mara nyingi tulikua tukikutana hoteli au kusafiri pamoja, issue ilikuja kusanuka baada ya mkewe kunifatilia kwa Muda mref na ndo nikajua kwamba jamaa ameoa the guy aliniomba msamaha sana sana akadai at first hakuwa na mpango wa kulast na mimi ndo mana hakuona sababu ya kunambia and hata alipojaribu kunambia alihisi ningekasirika nikamuacha... Kulitokea misunderstanding nyingi sana ila at last nikaamua kuachana nae. The man alikua na mapenzi sana na mm, he was an amazing man and of course na mm nilikua tyr nimefall kwake sasa pamoja na kuachana, nimekua kama psychologically affected maana wakaka yani nawaona kama hawatanipenda the way that man used to love me.,

Tangu kipnd hiko am only dating grown men ambao bahati mbaya inatokea wote wanakua wameoa na familia zao na ndio hao wanaokua na mapenzi ninayoyataka mimi... I feel really guilty lakini sijui nifanye nn ,nimejaribu kujihusisha na vijana wenzangu kama mara mbili hivi lakni naona kabisa sipo comfortable wala sina upendo nao kbsa, Wana mambo ya ajabu wivu kufuatiliana sana na mambo mengne nisoyapenda mimi. I want to change niachane na wababa jamani, just advice me what can I do? Nitashuru.

:mtu asinitukane, I took my time writing this and ni kitu ambacho kinaumiza sana sasa ukizidi kuniumiza haitakuwa vizuri if you don't have anything to say better unyamaze tu.
yan i hv a frnd ambae ashawah kuwa dem wngu na ako na same story km yako asee,,km co ww cjuiii..
 
Unafurahia kuwa na mume wa mtu. Unajua ni jins gan unaumiza familia yake? Tafuta wako dada km ushajua kuwa ni tatizo la kisaikolojia bas na uji udjust. Km ungekuwa hujui tatizo ndo ingekuwa rahis kukusaidia wewe ushajua tatizo lako. Acha waume za watu dada

Sio kwamba nafurahia, I feel so bad.. Am trying lkn, thank you kwa ushauri
Ni pm pls
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom