My life with grown married men

My life with grown married men

Pole sana dadaangu hayo ni mambo ya kawaida ktk mapenz ninachoweza kukushauri ni lazma ujue kila binadamu anamapungufu yake sasa ukitaka kumtafuta mr perfect hadi unaingia kaburini hutompata ila nakushauri tafuta truth man hao utawapata pia kuhusu hao wazee ni kawaida kwa wazee au wenye ndoa kutake care mtu wa nje kwani nyinyi hamuishi pamoja sasa kuna hali ya kumisiana fulani ukitaka upate ukweli wa hlo jaribu kumjua mke wake wa ndoa na ufanye upelelezi utagundua mateso anayotapata kwa huyo unayedhani anakucare vzur
 
Iv can u date "a grown man" alafu utegemee kua yuko single!,,,iyo mindset itakutesa sana na ukiendelea kuamin ivyo utazeeka na grown man wako ao,,,,wake up and see the reality
 
kila siku kuna watu wanataka wapenzi humu, wapo single, kwann usiwatafutee??
 
duuuuh tafuta wazeee tu vijana acha tuendelee na rika letu mama
 
Unafurahia kuwa na mume wa mtu. Unajua ni jins gan unaumiza familia yake? Tafuta wako dada km ushajua kuwa ni tatizo la kisaikolojia bas na uji udjust. Km ungekuwa hujui tatizo ndo ingekuwa rahis kukusaidia wewe ushajua tatizo lako. Acha waume za watu dada
Umemuelewa vizuri lakini?

Hapendi kuendelea na hiyo hali anahitaji ushauri wa kuweza kuacha.
 
Kupata mwanamme wa kwako pekee ni majaliwa kama ilivyo kwako kuwa mume atakayekuoa hatakukuta bikra. Hata hivyo siri kubwa ni kumrudia mungu...tubu madhambi yako, tuliza boli na ujisitiri....waoaji watajitokezaa tu..ila halahala usiwe na nyodo za kuchagua saaana...utaula wa chuya!
 
wewe wafaaa kuolewa mke wa2, au na kicheche

seems unapenda sana free time, it comes with a cost! u should choose wisely
 
Tatizo hujajua kuwa tatizo ni wewe mwenyewe hayo unayoyachukia kwa hao unaoita rika lako ni kwa sababu hawajapata mtu wakuwatengeneza....hao waume wa watu wanakuvutia kwa sababu kuna mtu anaumia huko na ww ndio unamuona kapendeza ana hekima na hana wivu....wewe tafuta kijana mwenzako ukae nae umjenge utakavyo
Vilivyotengenezwa vitamu bwana.
 
Endelea na grown men my dear,don't feel guilty we only live once what matters is your happiness
Hata ukitafuta kijana mkaoana mnaweza divorce huko mbele and you will still end lonely
Hawa watu wazima know the meaning of love vijana wanasumbua sana
 
Endelea na grown men my dear,don't feel guilty we only live once what matters is your happiness
Hata ukitafuta kijana mkaoana mnaweza divorce huko mbele and you will still end lonely
Hawa watu wazima know the meaning of love vijana wanasumbua sana
Watu wazima nao walikuwa vijana. Asitake vya kunyonga. Atulie apate wake amtengeneze na atajua meaning of love that she wants.
 
Kuna nyimbo ya njeje wanaimba 'mama chanja mama chanja'....
naona huyo jamaa alikupeleka sana njenje..

au una mtoto umezaa nae mkamuita chanja?
 
Kuna nyimbo ya njeje wanaimba 'mama chanja mama chanja'....
naona huyo jamaa alikupeleka sana njenje..

au una mtoto umezaa nae mkamuita chanja?

Hahahaa hapana, it's my favorite part kwenye huo wimbo wa njenje
 
Habari zenu wote,

Nataka kushare na nyinyi story ya maisha yangu ya kimahusiano tangu naanza issue nzima za mapenzi, honestly hiki ni kitu kinanisumbua sana.

Nahisi kama sijui nina bahati mbaya gani, sababu tangu naanza kujihusisha na mapenzi sijawai kuwa na mwanaume ambae ni wa pekeangu yani hana mke na familia kwa muda, mara ya kwanza kabisa nilikua na uhusiano na mwanaume mtu mzima kabisa ila hakuwahi kuniambia kwamba ameoa na wala sikuwahi ku doubt sababu hajawai kunipa sababu za mimi kumtilia mashaka, mara zote nilipokua namhitaji hata usiku alikua na uwezo wa kuja na hata simu tulikua tunaongea mpaka usiku mnene sana kwahiyo sikuwahi kuwaza kama pengine angekua na mke.

Labda kitu kimoja tu ambacho kwa wakati huo sikuwahi kukiwaza ni kwamba hakuwahi kunipeleka kwake, mara nyingi tulikua tukikutana hoteli au kusafiri pamoja, issue ilikuja kusanuka baada ya mkewe kunifatilia kwa Muda mrefu na ndo nikajua kwamba jamaa ameoa the guy aliniomba msamaha sana sana akadai at first hakuwa na mpango wa kulast na mimi ndo mana hakuona sababu ya kunambia and hata alipojaribu kunambia alihisi ningekasirika nikamuacha.

Kulitokea misunderstanding nyingi sana ila at last nikaamua kuachana nae. The man alikua na mapenzi sana na mimi, he was an amazing man and of course na mimi nilikua tayari nimefall kwake sasa pamoja na kuachana, nimekua kama psychologically affected maana wakaka yani nawaona kama hawatanipenda the way that man used to love me.

Tangu kipindi hiko am only dating grown men ambao bahati mbaya inatokea wote wanakua wameoa na familia zao na ndio hao wanaokua na mapenzi ninayoyataka mimi.I feel really guilty lakini sijui nifanye nini, nimejaribu kujihusisha na vijana wenzangu kama mara mbili hivi lakni naona kabisa sipo comfortable wala sina upendo nao kabisa, wana mambo ya ajabu wivu kufuatiliana sana na mambo mengne nisoyapenda mimi. I want to change niachane na wababa jamani, just advice me what can I do?

Nitashukuru mtu asinitukane, I took my time writing this and ni kitu ambacho kinaumiza sana sasa ukizidi kuniumiza haitakuwa vizuri if you don't have anything to say better unyamaze tu.
I feel for you like Shaka khan. Pole ni yako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom