My Letter to FP

Baby FP skiza vizuri, wateme wote uje kwangu, wala hutojuta kabisa. Just think twice ulipokuwa unaitwa FIXED POINT walikuangalia tu. Sasa umependeza watt wanakugombania? ACHANA NA LAWAMA

Arifu hebu jiheshimu aisee,, FP is mine, topic........:closed_2:
 
uuuuuuuuuuuuwwwwwwwwwwwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!


  1. I love your smile and the way you make me smile.
  2. I love the way you walk, talk and laugh.
  3. You just make me feel so good.
  4. I will call you honey, darling, sweetheart...
  5. You are the best, you are amazing!
  6. I can’t get enough of you...You drive me wild!
  7. I love you with my heart and soul.
  8. I love everything about you, inward and outward
 
i see, we mkaleeeeeeee! sasa hiyo nyumba itakuwa balaa, wote wasanii................... mimi mistari yangu nimeihifadhi kwanza, lol!
 
ha ha ha ha

yaani wewe una hatari?
Mtu kamlegeza mamba mtoni afu wewe unataka umpokonye??

Anakupiga hata kama mdogo kama Joti.

Baby FP skiza vizuri, wateme wote uje kwangu, wala hutojuta kabisa. Just think twice ulipokuwa unaitwa FIXED POINT walikuangalia tu. Sasa umependeza watt wanakugombania? ACHANA NA LAWAMA
 
Last edited by a moderator:
Baby FP skiza vizuri, wateme wote uje kwangu, wala hutojuta kabisa. Just think twice ulipokuwa unaitwa FIXED POINT walikuangalia tu. Sasa umependeza watt wanakugombania? ACHANA NA LAWAMA

hahahahahah! ulinipiga LIKES nyiiiingi, kumbe wamtaka Dadangu!!! Nawaogopeni sana nyie, usije ukamlisha dadangu UGALI NA PICHA YA SAMAKI. Kwani kale kautamaduni ka kuoa mwanamke kumwacha shamba halafu mwenyewe unakuja mjini kula maisha bado kapo??. Dadangu si wa kukaa kijijini kufuga kuku!!
 
i see, we mkaleeeeeeee! sasa hiyo nyumba itakuwa balaa, wote wasanii................... mimi mistari yangu nimeihifadhi kwanza, lol!
FP,
When I fell in love my heart was on fire
To be with you was my one desire
And if you love me I'll give you everything you need
A lifetime of promises and a world full of dreams
For only my heart knows what it means
And I promise you it won't be wrong
Have a sweetest Day Ever..

​
 
Hata my son Ruhazwe JR anatafuta mchumba,
hebu mtumie cv yako pengine utaambulia utajiri wake.

mmppppphhhhhhhhuuuuuuuuuuuuu, afadhari rafiki yangu AshaDii umekuja labda utanisaidia, si unaona hawa watu wanavyogombana? sasa sijui nifanyeje, mimi nimewaachia wajomba na mashangazi waamue. ila wewe kama rafiki unaweza kunishauri, please
 
Nimekuja mara moja, niko porini na Asprin, amenipa tenda ya kuwa namwandalia kifungua kinywa kila siku kwa malipo ya dolari nyingi kidogo,

TANMO hebu onyesha nia ya kumtaka huyo mtoto,
mambo ya mashairi ni ya kizamani sana wakati baba yako ananichumbia mimi,
onyesha nia man.

Afadhali Shangazi yangu umekuja..
Hebu naomba ulonge na huyu Mkweo ili akubali kuja Mndenyi aisee...
 
Mamndenyi mi naona huyu chaguo letu anajizungusha kutoa jibu sasa mi naona nikiendelea kuwa humu kwenye huu mjadala naweza kufumaniwa na Amyner halafu iwe noma!
Ngoja nitulie kwanza then FP yakimshinda atakuja tena. Asprin naomba umwambie Katavi anichekie kule mapokezi kama kuna mgeni wa kukagua ili atulize mtima wangu.
Kwa wote mloniletea fitna na majungu naomba mjijue.... platozoom ,
Kongosho , moto2012 ,
cacico , charminglady , The secretary , Remmy , Filipo , sweetlady mathematics nawaambia jiandaeni kumjua b52 ni nani ntawalamba ban hadi muhame chitchat
Nawashukuru sana Judgement Dark City beibe nasty Mamndenyi kwa kuwa fair kumshauri FP
Niko zangu naenda kwa Amyner kupetiwapetiwa kwa raha zangu nimegundua Tuko Wangapi inafanya kazi!
 
Last edited by a moderator:

Nasubiri ban yako!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…