umeona eeh?hapo tumeenda rhythm inayoendana kabisa.....HIYO NI ARRANGED MARRIAGE!Kuna kuwa na ''msukumo'' wa k ifamilia zaidi.na katika mazingira ya ndoa kama hiyo kuna makubwa zaidi ya hilo:KWA MFANO:mimi hapa katika maisha yangu NASEMA ULE UKWELI KABISA nimewahi kushuhudia arranged marriage ambayo SIKU YA SENDOFF yule binti alitoroka saluni kwa kusaidiwa na mpambe akaenda geto kwa mshkaji wangu kabisa ambae ndo mtu aliyempenda kwenda ''KUMUAGA''.....kumbe? haiwezeakni ikawa tu mkaka ka mkinai tu., mie ndio mana nahic labda huyu kaka alitafutiwa mchumba na wazazi, yeye akiwa na wake sasa akaona icwe tabu, sas ahivi karudi kwa wake.
Hivi anaweza kuondoka bila kupewa Talaka au Notice ya maandishi akikaa huko akapata mwenza mpya wa kumchakachua jamaaa si atarudi fasta kama yule aliyefungua kesi mahakamani anadai mke?:tape:
sawa baba G...lakini kama kuna kitu amefanya huyu mkaka anahinda kumpa hata dk 10 za maongezi mke wake waongee? sasa watatatuaje tatizo?
yaani ni shughuli kubwa sana, imefika saa 5 mtu hajatuma sms/call unajiuliza mara mbili mbili na kumcal mfululizo kujua kama kapata tatizo, ijekuwa cku 5 nje?
HAHAHA!Sasa kama tatizo ni sugu jamaa afanyaje?
Ndo kaamua kufanya kweli sasa anaweza potea hata mwezi mzima
sasa Luv kama ndo ivo basi hapa kimsingi HAKUNA NDOA>.....hiyo tunaideclare kwamba ni null and void....kama 'amevunja mkataba' so grossly (kulala 'nje' siku tano bila maelezo) nadhani inatosha kumfanya bi dada achape mwendo akaangalie usawa mwingine
by the way quality ya unyumbe ikoje? anafurahia hiyo huduma ama?
Hivi anaweza kuondoka bila kupewa Talaka au Notice ya maandishi akikaa huko akapata mwenza mpya wa kumchakachua jamaaa si atarudi fasta kama yule aliyefungua kesi mahakamani anadai mke?:tape:
Hatu ya kwanza ni kuondoka kwake kwa ajili ya usalama wake. Mambo ya papers yatafanyika taratibu..Siyo emergency kama uhai wake.
umeona eeh?hapo tumeenda rhythm inayoendana kabisa.....HIYO NI ARRANGED MARRIAGE!Kuna kuwa na ''msukumo'' wa k ifamilia zaidi.na katika mazingira ya ndoa kama hiyo kuna makubwa zaidi ya hilo:KWA MFANO:mimi hapa katika maisha yangu NASEMA ULE UKWELI KABISA nimewahi kushuhudia arranged marriage ambayo SIKU YA SENDOFF yule binti alitoroka saluni kwa kusaidiwa na mpambe akaenda geto kwa mshkaji wangu kabisa ambae ndo mtu aliyempenda kwenda ''KUMUAGA''.....
Good day all,
Nimejaribu kuwa mwanamke mwema kwa mme wangu , but on every little row we have, he leaves home for 5 days without coming back, when i call he doesnt pik up,neither does he calls. i dont knw whr he sleeps nor eats. & he coms bk later on,no apology, no explanations,even wen i try to probe, he says he doesnt want to talk abt it. we dnt have a kid yet. & we ar not a yr old in marriage yet!!! pls wives, wot have i done wrg? dont u guys also have rows , i feel like gettin away from him, i cant trust him anymore.i think he doesnt lov me again. pls your advise..
na huyu mtu hakika tena mi najua ANAUKIMBIA UNYUMBA!ndo maana nasema kuna some more CLARIFICATIONS behind the scene ambayo festilediwani anatakiwa ayadadavue ''IN A DETAILED MANNER'' kwa sababu ninachokiona hapa ni ''kuna matatizo kwa huyo binti mlalamikaji''My luv....unyumba utaupatia wapi wakati cku 5 mtu kalal nje, akija huko atakuwa hakuguc hata kwa pesa, mie ctak kabia aisee, huyu dada anajitesa sana.
Hivi Krolokwin yuko wapi?
lakini huyu baba amezidisha, hata kama umepata mwingine kuna kuwa na utu tu. hawa ndio waswahili wanasema kalogwa na aliemloga amesha fariki. natamani awe member huku au mpitaji tu aone ulimwengu unavyomshangaa.
kwa sasa naweza sema WANANYANYASANA!...until i hear from ''malalamikiwaji''......!Vyo vyote vile arranged or accident, inahalalisha kumnyanyasa mke kiasi hicho?
Vyo vyote vile arranged or accident, inahalalisha kumnyanyasa mke kiasi hicho?
ha ha ha!........Hapa magriit thinkaz mnajadili siku za wagoni kutokurudi nyumbani siyo? Orait...
Mi si mwanachama wa hiyo kitu bana.
Pamoja na kukamata mahela ya ISC, na pamoja na kuwa na umati wa mainfidelees, sijawahi kurudi home zaidi ya saa sita usiku. Imani yangu ni kuwa nikiingia saa sita na dakika moja, tayari nimeshalala nje. Hiyo babu hapendi, na MALARIA HAIKUBALIKI!
FL1, hapo unasubiri talaka ya nini? huyo mtu anaonekana hana hata muda wa kuzungumza lolote n huyo dada, ndo watazungumzia talaka?
hivi hilo karatac ni mtaji?