My Husband Is Acting Funny ..msaada pls

that is what we call faking... and many end up drunkards, killers, sick etc

i dont think i support that one darling

FP hapa sasa unajua faking leads to sickness actually huwa naona ni kama vile psychological torture

siyo faking.................... nimemaanisha mnayamalizia chumbani, yaani kila mtu anatoka akiwa na roho nyeupe, na amani................ siyo bado hamjayamaliza mnatabasamu tu for sake ya kutabasamu.
 
kile kipindi changu cha matatizo, nilikuwa namuombea pia, akija home yupo vema, ana pilsner zake za kumtosha, nilisema kila mmoja ajiombee nafc yake kwa kweli.....

Hapo jamaa atakuwa alikuwa anakusanifu kweli...Kwamba haaaa..nimepata mke lofa wa nguvu ...na kwamba wajinga ndio waliwao. Kuomba ombeni lakini mimi sitaki kuwa kichaa kwa matatizo ya ndoa. If it doesn't work ..tunamaliza uzia na kuanza maisha upya. Kwani tutakuwa sisi ndo wa kwanza?
 
Siku tano bila maelezo ya wapi aliko? No way! Anabadilisha nguo au ni ile ile for 5 days? Ameajiriwa au amejiajiri?
 
sasa hayo ya kushina makanisani full time sijui kama huwa yanajenga familia bora au bora familia... anyway tuko sensitive sana na dini, i better end up here

Tuliambiwa tujisaidie atusaidie, sio we whin and cry

Na ndipo hapo mtu unaanza kujitia uchizi kwa kitu amabcho you can make decision and move ahead mara sijui kwa kakobe, mara kwa mwingira, mara kwa mama lwakatare unazunguka kote huko kumbe the solution to the problem its there
 
wajameni vipi wajameni mbona siwaelewi elewi?:doh::doh:

mnajadili gani?

Mhhh,

Siku hizi hata sijui unaumwa nini? Hebu wasiliana na FL1 ukatoe msaada wa kumsindikiza huyo dada casuaity ward.. Hujasikia mdada wa watu anakwidwa na mumewe utadhani kibaka kaiba cheni?

Hii dunia imejaa vichaa wa kutosha...Katoe msaada basi.
 
Na ndipo hapo mtu unaanza kujitia uchizi kwa kitu amabcho you can make decision and move ahead mara sijui kwa kakobe, mara kwa mwingira, mara kwa mama lwakatare unazunguka kote huko kumbe the solution to the problem its there

Mwisho wa siku unakuwa msukule wao...

Haya bwana, mie simo!
 
Siku tano bila maelezo ya wapi aliko? No way! Anabadilisha nguo au ni ile ile for 5 days? Ameajiriwa au amejiajiri?
umeona eeeeh!?!
hapo mimindo nilikuwa nahoji though sijajibiwa....NI AINA GANI YA NDOA HIYO?
1)ARRANGED MARRIAGES?
2)LOVE MARRIAGES?

MIMI FESTILEDI USIPONIJIBU HILI SWALI NINASHINDWA KUKOMMENT!nitakuwa nakurupuka
 
Hi firstlady,
tell that swithat she is not alone. it happened to me too. atleast yy hana mtoto wala ujauzito. mimi ilinitokea nikiwa chuo,just imagine. unampigia cm hapokei meseji hajibu. i was about to be crazy kama c kuacha chuo. but you know what i did? i gave him time and thougt maybe he would change but haikuwa hivyo. then i decided to LET HIM GO FOR GOOD. sasa yupo speed anadai eti nimsamehe alipitiwa na shetani. mi nikamwambia SILI MATAPISHI. Am now very with my BABY BOY.
Najua utaumia sana but i swear your wound will heal. endelea na maisha dada wala ucjichoshe na mawazo. huyo hana mapenzi ya dhati na ww.

Pole sana Brandon lakini thanx to god sasa uko ok na mtoto wako.....

naamini ni kweli hana penzi laz dhati kwa mkewe
 
Mkuu naomba mwongozo kidogo hapo

afanye nini sasa hapo, akae asali, afunge na asihoji wala nini au vipi?? sasa kujitoa mzimamzima ndio vipi kusali kutwa, kushinda kanisani au vipi??? is it that simple?
Ninaposema ajitoe mzima mzima kwa Mungu nina maana kama ameamua kumuamini Mungu basi amuamini yeye tu! Asichanganye na imani nyingine kwa mfano kwa kishirikina. Mungu ameweka wazi kwamba ama tuwe wa'moto' au wa'baridi' katu si vuguvugu! Kuhusu swala la kuhoji, huyu mtu haojiki! Pepo kishampanda kichwani hata mwenyewe ameweka wazi hataki kuzungumzia hayo mambo! Bila shaka kutumia akili ya ki'binadamu' pekee ktk swala hii kunaweza zua tatizo lingine kubwa zaidi ya hili. Nasisitiza, jibu pekee ni Mungu.
 
Jamani jamanuni sikumoja ya matesoa ni mwezi, na wiki ni mwaka ndugu zangu, namshauri huyu dada, asichelewe, jamaa amemwaga mboga yeye ugali piga teke, mmekutana meno 32 kila mtu aachane nae atawapata wanao tafuta asijali.
Usikubali kufungwa
 
umeona eeeeh!?!
hapo mimindo nilikuwa nahoji though sijajibiwa....NI AINA GANI YA NDOA HIYO?
1)ARRANGED MARRIAGES?
2)LOVE MARRIAGES?

MIMI FESTILEDI USIPONIJIBU HILI SWALI NINASHINDWA KUKOMMENT!nitakuwa nakurupuka

Hivi wewe bado unaamini kwenye hayo mambo? It can be either or neither of the above. Ila hakuna garantii kwamba mtazikana...

Mambo yakigoma kama hapa...mnakaa tena kwenye drawaing table. Sasa huyo dada inaonekana ameshindwa kumbana mumewe. Ndo maana tunajaribu kumpelekea stadi za maisha (ya ndoa) kupitia kwa shosti wake FL1. Upo hapo?
 
Pole bi dada.
Nakushauri umbane mmeo hadi akwambie kwanini anafanya hivyo. Kama akigoma peleka suala kwa wakubwa mjadili kwa kina.
Kama ilikuwa ndoa ya vichochoroni ujue imekula kwako.
Wanaume sahivi hawaoni tabu kukuvisha pete ilimradi apate huko "downstairs" lol!
 
umeona eeeeh!?!
hapo mimindo nilikuwa nahoji though sijajibiwa....NI AINA GANI YA NDOA HIYO?
1)ARRANGED MARRIAGES?
2)LOVE MARRIAGES?

MIMI FESTILEDI USIPONIJIBU HILI SWALI NINASHINDWA KUKOMMENT!nitakuwa nakurupuka

Baba Gift hawa wanandoa wamekuwa B/F na G/F for 2 years ndipo kwa ridhaa yao bila kuladhimishwa na mtu yoyote wakaamua kufunga ndoa yao takatifu na sisi tukiwa mashaidi wa kiapo chao ..
Haya tatizo nini mpaka huyu jamaa nahisi kaamua kukaa nje ya house kwa siku mbili na kutoa maelezo hataki?
ama ndio ile unaoa unakutana na mrembo mwingine unadhani ni bora zaidi ya mkeo na kwa vile anajua unaiba anakufanyia mautundu kama mzee Yusuph anayoimba unachanganyikiwa na kuamua lolote na liwe kwenye ndoa yako.
Na kama ni hivyo baada ya kukaa hizo 5 days nje kwa nini usingeendelea kukaa huko forever and ever then unaamua kurudi home kumpa mke machungu? akiuliza hutaki kuongea na kushusha kipigo?????????????????????????????????????
 
Hapo jamaa atakuwa alikuwa anakusanifu kweli...Kwamba haaaa..nimepata mke lofa wa nguvu ...na kwamba wajinga ndio waliwao. Kuomba ombeni lakini mimi sitaki kuwa kichaa kwa matatizo ya ndoa. If it doesn't work ..tunamaliza uzia na kuanza maisha upya. Kwani tutakuwa sisi ndo wa kwanza?

unaiogopa jamii, jamii itakufikiriaje mkitengana, cjui familia yangu itanielewaje, watu wanaona ndoa kama vile adhabu ya milele kwa kuogopa jamii, kaka nampenda sana mr wangu, naipenda sana familia yangu lakini cpo tayari mtu kunitia uchizi na ndoa, cpo tayari kabisa.
 
Pole sana Brandon lakini thanx to god sasa uko ok na mtoto wako.....

naamini ni kweli hana penzi laz dhati kwa mkewe

Hebu basi printi hayo ma-ushauri wa Brandon umpelekee. Tena na tena nasema...Mungu wa huyu dada ni mkubwa sana kwani ndani ya mwezi mmoja jamaa atakuwa amesahaulika kama mtu aliyekojoa pembeni mwa njia..

Unajua mtoto anasababisha mtu aandikwe moyoni mwako kama vile tunavyoandikwa kwenye kitabu cha Mungu. Sasa huyu dada anangoja nini?
 
umeona eeeeh!?!
hapo mimindo nilikuwa nahoji though sijajibiwa....NI AINA GANI YA NDOA HIYO?
1)ARRANGED MARRIAGES?
2)LOVE MARRIAGES?

MIMI FESTILEDI USIPONIJIBU HILI SWALI NINASHINDWA KUKOMMENT!nitakuwa nakurupuka

Aisee mpwa kwenye black hapana ila kwenye red inawezekana, huyu jamaa atakuwa na ndoa myingine sijui kwanini nina suspect hivyo
 
Pole bi dada.
Nakushauri umbane mmeo hadi akwambie kwanini anafanya hivyo. Kama akigoma peleka suala kwa wakubwa mjadili kwa kina.
Kama ilikuwa ndoa ya vichochoroni ujue imekula kwako.
Wanaume sahivi hawaoni tabu kukuvisha pete ilimradi apate huko "downstairs" lol!

Muda wa kwenda kwa wakubwa atautoa wapi wakati jamaa anakaribia kumnyonga? Hapa dada anahitaji kuchukua hatua za dharura (real emergency steps) kuokoa maisha yake.
 
Back
Top Bottom