Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,682
Duh....tumuogopeni Mungu jameni!
Ni jambo la kawaida bora hayo madude kuliko yeye kuchepuka. Sasa asingekuambia ungejua anayatumia? Umepata msichana anayetaka kuwa huru kwako so mwambie sawa.
Na mkiwa kwa simu mtaweza fanya mapenzi kwa kuongea nae atajiliwaza hadi raha.
Naomba baadae nikirudi online unifundishe jinsi ya kufanya mapenzi kwa simu.
G.
Siku 19 hawezi kungoja, basi utakuwa unatmbewa sana....
Duh....tumuogopeni Mungu jameni!
Maongezi mmaongezi yenu ya kujipa maraha kama mnayo mtapata raha tu. Kila watu na lao kama mnaoneana aibu kuambiana, kuliliana, kutooneana aibu na kuambiana mnajisikiaje, mnapofika etc yaani kama vile mpo wote bila aibu hapo mapenzi muruwa. Safari njema
Updates:
Imenibidi nimkubalie atumie dildo na vibrator, kwa sababu ameniambia nisipomruhusu nisije kumlaumu nikisikia kwamba amechepuka. Nimeshampa dola 200 kwa ajili kununua hizo toys.
Naomba mnitakie safari njema, nategemea kurudi online baada ya masaa 16.
Asanteni sana
G.
Nitakuwa wa mwisho kuamini hii habari! Ametumia fumbo kukufikishia ujumbe kuwa ... ?????????????????
All I see here is MEN Vs DILDOS, kumbe dawa yenu ni hizoo!, ujanja wa bureee!, maneno mingiiii!,...oh! W'wake walalamishi, sijui wana vitambi, sijui ndo mana munachepuko, w'wake hivi!, w'wake vile!, jeez!, guyz GIVE US A FREAKING BREAK!,....and now we know what's going to zip your mouths and your pants, hihihiii!
DDDDDD'S ndo habari ya mujiini, hihihihiiiii!
Wanaume shurti mapovu yawatoka!,....oh!, usimruhusu atumie!, ataizoe akusahau!, sijui papuso itageuka rangi, sijui itabonyea!,...kama nawaona vile mnavo panic!, ;-)
Habari zenu wakuu.
Mimi ni yuleyule kijana wa miaka 25 niliyetahiriwa ukubwani, Demu wangu amenishangaza sana leo, nikaona bora niwashirikishe waungwana wenzangu munisaidie.
Leo gf wangu nilimtoa for lunch na pia kwa ajili ya kuagana kwani Leo usiku nasafiri hivyo nitakuwa mbali nae kwa siku kama 19 hivi na tangu juzi yupo kwenye siku zake hivyo sijapata game ya kuagia. Kawaida anapomaliza siku zake anakuwa na nyege Kali sana, sasa ameniomba nimruhusu atumie vibrator na dildo ili kujichua atakapomaliza siku zake.
Amesema kwamba ameiona vibrator kwa shoga yake ambae ameletewa kutoka USA na mjasiriamali wa kibongo anayeendesha maisha yake huko kwa kufanya biashara ya sex toys.
Hebu naombeni ushauri wenu wadau, maana bado anasubira jibu langu,
Nwashukuru sana
S02E01
G.
Kaka mruhusu haraka sana maana siku hizi dildo na vibrators ni kawaia sana kwa wanawake na wanaume,mie pia nauza sana hivo vitu na nawauzia wanawake na wanaume wengi tu na wanawake wengi nawo wauzia huja na wanaume zao.na dildo wanazonunua ni za kike na kiume which inaeleza wazi kuwa sasa wanaume na wanawake wanafanyana sana tu.Kitu kingine nilichogundua ni kwamba kwa sasa wanawake wengi zaidi ni malesbians kwani hununua double edged dildo amazo wanaingiziana wao kwa wao na wanaume wengi tu wanalijua hili