My Girlfriend anataka nimruhusu kutumia Vibrator na dildo

My Girlfriend anataka nimruhusu kutumia Vibrator na dildo

Habari zenu wakuu.

Mimi ni yuleyule kijana wa miaka 25 niliyetahiriwa ukubwani, Demu wangu amenishangaza sana leo, nikaona bora niwashirikishe waungwana wenzangu munisaidie.
Leo gf wangu nilimtoa for lunch na pia kwa ajili ya kuagana kwani Leo usiku nasafiri hivyo nitakuwa mbali nae kwa siku kama 19 hivi na tangu juzi yupo kwenye siku zake hivyo sijapata game ya kuagia. Kawaida anapomaliza siku zake anakuwa na nyege Kali sana, sasa ameniomba nimruhusu atumie vibrator na dildo ili kujichua atakapomaliza siku zake.
Amesema kwamba ameiona vibrator kwa shoga yake ambae ameletewa kutoka USA na mjasiriamali wa kibongo anayeendesha maisha yake huko kwa kufanya biashara ya sex toys.

Hebu naombeni ushauri wenu wadau, maana bado anasubira jibu langu,
Nwashukuru sana


G.




Mkuu kwanza nitofautiane na wenzagu kwa kuona kama kitendo cha uhayawani.mtu mzima ku abstain sex ni ngumu kwahiyo watu wasiotaka kukutana kimwili wanatumia njia mbali mbali kama punyeto na kwa kina mama kama mambo hayo.

Bact to the topic naona nyote na mpenzi wako bado watoto kwakua si kila jambo mtu umwambia mwenzie hasa kama hakina madhara katika mahusiano.mfano huwezi kumuomba mkeo au gf wako ruhusa ya kupiga punyeto au kujichua.hayo ni mambo binafsi ya mtu. ina maana angekeambia atajitia vidole unge lalama pia?
 
Shem Gogle alikufa na kuzikwa pale kisutu, mbona ID yake iko hewani? Kwani Invisible na wenzake hawazifungi ID za marehemu? Kwanini "mjomba" asifungue yakwake?

Mkuu, nimeshatoa maelezo yanayoeleweka kuhusu taarifa potofu ya kifo


G.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu, nimeshatoa maelezo yanayoeleweka kuhusu taarifa potofu ya kifo


G.

Naomba niunganishe na huo uzi Gogle, yule "mjomba" wako ulimpa hukumu gani?
 
Last edited by a moderator:
Naomba niunganishe na huo uzi Gogle, yule "mjomba" wako ulimpa hukumu gani?

Kwa device ninayotumia kwa sasa ni vigumu kukulink na hayo maelezo, Ila kwa ufupi ni kwamba niliisahau iPad yangu kwenye gari ya mshkaji wangu, mshkaji akatumia nafasi hiyo kutumia akaunti yangu kupost taarifa ile.


G.
 
Last edited by a moderator:
tayta njoo kuna mtu amefufuka huku
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom