mwalimumzalendo1
JF-Expert Member
- May 19, 2014
- 1,098
- 407
Mange kaleta mambo jaman
Watu wana visa humu
Habari zenu wakuu.
Mimi ni yuleyule kijana wa miaka 25 niliyetahiriwa ukubwani, Demu wangu amenishangaza sana leo, nikaona bora niwashirikishe waungwana wenzangu munisaidie.
Leo gf wangu nilimtoa for lunch na pia kwa ajili ya kuagana kwani Leo usiku nasafiri hivyo nitakuwa mbali nae kwa siku kama 19 hivi na tangu juzi yupo kwenye siku zake hivyo sijapata game ya kuagia. Kawaida anapomaliza siku zake anakuwa na nyege Kali sana, sasa ameniomba nimruhusu atumie vibrator na dildo ili kujichua atakapomaliza siku zake.
Amesema kwamba ameiona vibrator kwa shoga yake ambae ameletewa kutoka USA na mjasiriamali wa kibongo anayeendesha maisha yake huko kwa kufanya biashara ya sex toys.
Hebu naombeni ushauri wenu wadau, maana bado anasubira jibu langu,
Nwashukuru sana
G.
Siku 19 hawezi kungoja, basi utakuwa unatmbewa sana....