My girl is better than yours

My girl is better than yours

Nice couple,hakuna aliye na tatizo na heading?Me wangu ni bora kuliko huyo.
 
Kwa sifa hizi za malaika, kuna watu watakuja kujinyonga wakisalitiwa.
 
Nilete mada gani nisaidiwe, kwenye suala la mapenzi huwa sihitaji ushauri wowote cz nshajiwekea misingi yangu toka mwanzo, nilikuwa kwenye mahusiano mengi sana huko nyuma na hata mke wangu mtarajiwa anajua hili, jambo lililonifanya nilete mada hii hapa ni jinsi watu kila siku wanavolalamika kuumizwa na kuamini kuwa kwa sasa hakuna mapenzi ya dhati...mapenzi ya dhati yapo sana tu.
Wewe ndugu yangu wewe, hawa viumbe sio wa kuwaamin kiivyo kaka! Tena ni bora umnadi huku kwa kuwa wote hatuwajui, usije jigamba hivi mtaani kwenu, mwisho wa siku ukashindwa hata kutoka ndani zikitimia! Nyi ndo mnajinyongaga mwisho wa siku
 
Back
Top Bottom