My girl is better than yours

My girl is better than yours

Siredi za hivi zinanipa kichefuchefu, niliwahi msitiri mtu mzima 34+ hana kazi ndo anategemea boom sijui nikavumilia yote, nampa moyo, nampa mawazo ya namna yakufanya tuje tuishi vyema japo hatujawahibkuishi pamoja sifanyagi hizo, hakuna mtu alijua hana hela mimi ndo nnazo! Alichonifanyia hahaha Wanaume shikamooni wote. Mwanaume pekee wakumvumilia kumpa moyo ni aliyekuoa mpenzi muwe na kiasi wadada utacheza SEBENE LA KIBITI siku unaachwa na dharau.
 
nimeyapenda mapenzi yenu that is true love ambayo imekosekana kwa muda mrefu kwa watu wengi but dont trust her to the extent watu hubadlka mkuu ila always mwombe mungu mfikie malengo yenu big up
 
Watu kama nyie mwisho wa siku ndo mnakuaga wasaliti kwa wadada kama hao...Cha ajabu kbsa unaweza hata usimuoe., kwa wanaume tulivyo na akili za kupayuka
aaaaaahhhh jamaa mwana harakati nn hvi kuna ndgu yko amewah fanywa unyama mkuu
 
nmeona nyuzi zako nyingi ni za kuwatetea ladies mkuu


Lazima niwatetee bhn...!! Kabla hatujafika kwenye usawa wa 50% kwa 50% lazima tuhakikishe wanakua salama hawanyanyasiki kwa namna yeyote...!! Alafu walishawahi kuninyanyasia mtu wangu wa karibu sana ndo mana huwa nawakingia kifua kdr niwezavyo...!! Fanya vyote ila usimdhalilishe mwanamke mbele yangu bora ht unikate mkono kuliko kumfanya chochote yeye, yeyote yule
 
Back
Top Bottom