My fiancee who was HIV+ now tested HIV-

My fiancee who was HIV+ now tested HIV-

..nahitaji kufunguka akili ili nisiendelee kupotoshwa. Mkuu deception ukiweka paper zako nitazisoma then nitarudi kwa wakati mwingine. Ngoje niendelee na majukumu.

Thanks in advance
 
Wait.....you consciously hooked up with a HIV+ person wewe ukiwa HIV-? I need to know how!
Yes I'm consciously hooked-up to a lady who is HIV+ while am HIV- for someone years now. I keep tested HIV- whenever I go for medical checkup. Ilikuwaje kuwaje nikawa kwenye relationship ya namna hiyo it's a long story. Simply know "Love is blind"
 
Mkuu. Ushauri wangu kwako.. endelea kuchukua all precautions unazopewa na wataalam wako. Bz, ukianza kuifuatilia cohort ya discordant couples eg ya watu 1000.. baada ya miezi 6, 12, 24, 36, 48, 72.. proportion ya wenza ambao walikuwa HIV negative ku-turn kuwa positive inaongezeka. The more you get exposure the more the risk.
Ndiyo, kuna receptor factor but hii tunaassume haipo unless uwe umepimwa na kuconfirm kuwa hauna receptors. which is very rare

This is your life.

Mtu akuje akwambie hakuna HIV, ukaignore effort yako yote uliyoifanya.. then ukaja kuupata.. itakuwa siyo pouwa.

HIV virus is proved not to be very contagious and virulent kama virus wengine eg ebola au hepatitis. Ebola ukigusana na majimaji ya mtu mwenye nayo tayari umeukwaa.. HIV unaweza ukagusana nayo na ukachomoka salama. But unavyoendelea kugusana nayo mara kwa mara (exposure) ndivyo unavyoongeza risk.
Hizi ndizo tofauti za characteristics za microorganisms.

Tukisema hivyo tunaambiwa tunatafuta excuse.

Anyweiz.. akili za kuambiwa changanya na zako. #JK#
 
Unaweza kuwaona kupitia electronic microscope zenye nguvu sana
Especially.ka unataka kujua kama umepata kabla ya wiki
Unajua, kamuulize daktari yeyote kama amewahi kuwaona Virusi wa Ukimwi (Jibu ni HAPANA

Kwa hiyo wanajuaje kwamba huyu mtu ni HIV+, atakwambia wanapima ANTIBODIES.

Antibody ni sawa na walinzi/askari wa mwili ambao wanatengenezwa na mwili kama kuna VIRUSI ama BAKTERIA wameshambulia mwili.

Sasa Antibodies zikiwepo kwilini haimaanishi una HIV, Bali yaweza kuwa ni ugonjwa mwingine wa kawaida tu unaotibika kirahisi sana hata wakati mwingine Antibodies wanaweza maliza shughuli.

Ndio sababu utakuta mtu anaenda kupima Leo anaambia uko HIV+ akirudi baada ya muda Fulani anaambiwa uko HIV-.

Ni kwamba hakuna ugonjwa unaoitwa HIV wala Ukimwi.
 
No ..no...no...no... Big no kwanza hakuna kipimo cha determine kwa sasa , pili ukiona ni negative hautakiwi kutumia unigold , unigold inatumika tu kuthibitisha majibu yatapokuja positive

Halafu nina kitu cha kukubia ambacho ni very very important ila nitaruuud baadae i am on the way.....
 
Unaweza kuwaona kupitia electronic microscope zenye nguvu sana
Especially.ka unataka kujua kama umepata kabla ya wiki
Kwani hiyo electronic microscope ni shilingi ngapi kiasi cha kufanya iwe adimu sana na serikali yetu ishindwe kununua?
 
Asante sana mkuu.
Naomba niseme kwamba majukumu yangu yanayonifanya niishi yananibana. Siwezi kuandika hatua kwa hatua. Hata hivyo ulishaandika sana hizi hatua. Nakumbuka nimeshawahi kusoma mabandiko yako mengi sana sana hapa. Haina haja ya kuyarudia. nikitaka kujikumbusha nitayatafuta, nitapembua nielewe wapi mimi nimepotolewa.

Labda tu niseme kwamba

1. Naomba tafiti zako ulizofanya na kuchapisha wewe binafsi na kujihakikishia kuwa huyu mdudu hayupo. Na maabara ulizofanyia tafiti zako. Natumai zitakuwa details kuonesha methodology zote.
Kama haujafanya tafiti wewe binafsi, unategemea tafiti za wengine.. kwanini unanichukulia mimi kama nimepumbazwa na siyo wewe ndo umepumbazwa?

2. Hoja yako ya kuwa theory nilizoandika zinajulikana toka kitambo.. na kuwa hata hao wanaopinga wanazifahamu. Labda niseme kuwa, nilikuwa sitaki kudanganywa. Nilichokuwa nakiandika nilikuwa najaribu kupembua kilichoandikwa ambacho hakikuwa sawa. Nikwambie pia kwamba, huwa sisomi conspiracy theories kwasababu kama zinavyosimama.. ni theories. Wakati wenzao wanakaa maabara, wanafanya kazi, wanaandika findings.. Consipacists wanakaa na kutafuta negatives zilizopo kwa kazi za watu, wanaandika theories.
Nakuomba hapa: Naomba niwekee machapisho yaliyoandika findings za maabara za kuprove kuwa hakuna kirusi cha UKIMWI. Siyo yale machapisho ya kusema viral load siyo HIV bali ni kitu kingine kabisa. Naomba niwekee evidence from lab.

3. Kazi zangu zinajumuisha kukutana na majibu tofauti tofauti mengi.. mengi in terms of absolute numbers.. but in proportion ni % kidogo sana. Unakuta kati ya watu 200,000 ni 0.05% ndo wamereport dissimilarity result.. nao ukija kufanya PCR wote wanaenda kuwa Positive. Suala la kwenda field ahahahah kitu usichokijua ni vema kukaa kimya. Kazi zenu conspiracists ni kuchukua hii 0.005% kama kigezo cha kujaribu kuitaarifu dunia kuwa kinachosemwa ni uongo

Nashauri ni vema tukaachana na historia. Tupeane task. Wewe uniletee paper uliyofanya au waliyofanya hao unaowaamini ukaprove HIV hayupo au hahusiki na UKIMWI.. lab results

Nipe task mimi ya kufanya ila siyo kuandika step by step kuanzia 1983 cz haina mpya.

Asante sana.
[emoji106]
 
Mkuu. Ushauri wangu kwako.. endelea kuchukua all precautions unazopewa na wataalam wako. Bz, ukianza kuifuatilia cohort ya discordant couples eg ya watu 1000.. baada ya miezi 6, 12, 24, 36, 48, 72.. proportion ya wenza ambao walikuwa HIV negative ku-turn kuwa positive inaongezeka. The more you get exposure the more the risk.
Ndiyo, kuna receptor factor but hii tunaassume haipo unless uwe umepimwa na kuconfirm kuwa hauna receptors. which is very rare

This is your life.

Mtu akuje akwambie hakuna HIV, ukaignore effort yako yote uliyoifanya.. then ukaja kuupata.. itakuwa siyo pouwa.

HIV virus is proved not to be very contagious and virulent kama virus wengine eg ebola au hepatitis. Ebola ukigusana na majimaji ya mtu mwenye nayo tayari umeukwaa.. HIV unaweza ukagusana nayo na ukachomoka salama. But unavyoendelea kugusana nayo mara kwa mara (exposure) ndivyo unavyoongeza risk.
Hizi ndizo tofauti za characteristics za microorganisms.

Tukisema hivyo tunaambiwa tunatafuta excuse.

Anyweiz.. akili za kuambiwa changanya na zako. #JK#
Mnasema HIV anaambukizwa kwa njia ya ngono,jamaa ameishi na mpenzi wake for years wakishiriki tendo mpaka mpenzi wake amepata mimba,maana yake hakutumia kinga...halafu miaka yote hiyo hajapata kile mnachokiita maambukizi...yaani bado mnang'ang'ania tu mi theory yenu ya ajabu ajabu..au unataka kusema hakupata mchubuko?...au labda mpenzi wake anatumia ARVs ndio maana yeye hakuambukizwa?...au labda yeye hana receptors?....ha ha haaa nacheka sana nikifikiria aina za majibu mnayopendaga kuwaambia watu.
 
Unaongeleaje watu walio katk lishe bora na bado wana uo ugonjwa
Deception. Maada zako bwana.
Lkn ni kawaida ya conspiracists. Unawezaje kutumia sample size moja kusupport judgement zako?

Kwasababu, all people living with HIV (PLHIVs) wanakuwa reactive kwa antibody tests, viral load inakuwa detected na CD4 zinashuka.. with exceptions of very few. How do you ignore hii pool na kuchukulia hii sample moja kudraw conclusion HIV hayupo? Unaishia tu kusema viral load wanapima kitu kingine kabisa (Kuna limit ukweli lazima ujitenge na uongo)

Kwa mtoa mada:
1. Kuna a very rare condition but existing inaitwa sero-reversion. Naomba nisiielezee hapa but uisome.
2. Wangeweza kufanya PCR test kabla ya kupeleka sampuli Nairobi, kwanini hawakufanya? Cz if PCR is negative, 99.9% kuwa she is HIV negative. Tutaomba tupate mrejesho wa Enzyme-linked Immunosorbent Assay (ELISA) test itakaporudi
3. Kipimo cha viral load alipima lini mara ya mwisho kikaja na majibu >1000 copies? Ana majibu mangapi ya namna hiyo kwa spacing gani?
4. Kipimo cha determine? Hiki kipimo kimeondoka kwenye muongozo wa nchi yetu wa kupima HIV more than two yrs ago. (simaanishi kwamba siyo kipimo)
5. Tutakuja kujadili possible postulates za kwanini kumekuwa na dissimilarity ya majibu ya vipimo (reasons for false positives and negatives)

Nimeandika kidogo tu kwa post yangu hapo juu kuhusiana na aina za microorganisms.. Kila microorganism ana characteristic distiction yake.. Ni kama ilivyo kundi la wanyama.. kuna ng'ombe, nyani, simba, binadamu etc.. Ukichukua mfano binadamu; kuna weupe, weusi, wekundu.. Kwa weupe unaweza kuamua kusema kuna wazungu, wahindi, wachina.. kati ya wazungu kuna tofauti ya england, russia, portuguese etc.
Vivyo hivyo kwa bacteria, virus etc.

Your friends from developed countries' laboratories wana microscopes za kisasa kabisa, they observe in vitro every step ya huyu mdudu..
Na ukae ukijua, dedicate miaka yako minimum of 10 usome immunology. Utapata picha kidogooooo ya namna kila kiumbe kinavyoproduce response kwa mwili. Kuliko kutaja taja tu terminologies eti "antibody" sijui "antigen".. watu mnagoogle vijiheading then mnakuja kusumbua na kudanganya.

Acha kudanganya watu waruke ruke huko waje waukwae then waje walie lie hapa.
Umesoma bandiko langu LA kwanza na ukalielewa vizuri?

Kama hujalielewa, rudi tena ukasome...

Nachozungumzia hapa ni kwamba hiyo HIV/AIDs inatibika eidha kwa Antibodies kushughulikia nao, ama kutumia vyakula na matunda tena haya tulonayo na ndio sababu unakuta kesi miezi sita ilopita MTU alikuwa HIV+ Leo yuko Negative.

Kumbuka miili yetu inatofautiana jinsi inavyoitikia matumizi ya tiba fulani.

Kwani wewe huamini kwamba kuna watu wanaugua Malaria na wanapona bila kutumia dawa zozote?

Kesi ya kupima Malaria ni Kesi ya usahihi was vipimo, ni tofauti na ninachozungumza Mimi. Mtu hawezi pona Malaria ndani ya Massa mawili.

Ukweli ni kwamba, ARVs zinaua watu wengi sana kuliko hicho mnachodai kinaitwa HIV/AIDS.
 
Mnasema HIV anaambukizwa kwa njia ya ngono,jamaa ameishi na mpenzi wake for years wakishiriki tendo mpaka mpenzi wake amepata mimba,maana yake hakutumia kinga...halafu miaka yote hiyo hajapata kile mnachokiita maambukizi...yaani bado mnang'ang'ania tu mi theory yenu ya ajabu ajabu..au unataka kusema hakupata mchubuko?...au labda mpenzi wake anatumia ARVs ndio maana yeye hakuambukizwa?...au labda yeye hana receptors?....ha ha haaa nacheka sana nikifikiria aina za majibu mnayopendaga kuwaambia watu.
Nimelala na mwenye Hiv+ si chini ya mara 8 mwaka WA pili huu nipo hiv-.
 
Nimelala na mwenye Hiv+ si chini ya mara 8 mwaka WA pili huu nipo hiv-.
Watakwambia hujapata mchubuko,au huna receptors,au mpenzi wako anatumia ARVs...

Halafu mwisho wa siku watasema kwamba case yako ni exceptional,yaani watu kama wewe mko wachache sana.

Ha ha ha haaaa
 
Watakwambia hujapata mchubuko,au huna receptors,au mpenzi wako anatumia ARVs...

Halafu mwisho wa siku watasema kwamba case yako ni exceptional,yaani watu kama wewe mko wachache sana.

Ha ha ha haaaa
Alikuwa hatumii dawa.
 
Mkuu. Ushauri wangu kwako.. endelea kuchukua all precautions unazopewa na wataalam wako. Bz, ukianza kuifuatilia cohort ya discordant couples eg ya watu 1000.. baada ya miezi 6, 12, 24, 36, 48, 72.. proportion ya wenza ambao walikuwa HIV negative ku-turn kuwa positive inaongezeka. The more you get exposure the more the risk.
Ndiyo, kuna receptor factor but hii tunaassume haipo unless uwe umepimwa na kuconfirm kuwa hauna receptors. which is very rare

This is your life.

Mtu akuje akwambie hakuna HIV, ukaignore effort yako yote uliyoifanya.. then ukaja kuupata.. itakuwa siyo pouwa.

HIV virus is proved not to be very contagious and virulent kama virus wengine eg ebola au hepatitis. Ebola ukigusana na majimaji ya mtu mwenye nayo tayari umeukwaa.. HIV unaweza ukagusana nayo na ukachomoka salama. But unavyoendelea kugusana nayo mara kwa mara (exposure) ndivyo unavyoongeza risk.
Hizi ndizo tofauti za characteristics za microorganisms.

Tukisema hivyo tunaambiwa tunatafuta excuse.

Anyweiz.. akili za kuambiwa changanya na zako. #JK#
Thanks mkuu, nitachukua pia huu ushauri wako. Lengo langu lilikuwa ni nyie wataalamu mtutoe kwenye hii sintofahamu tuliyoiingia mimi na mwenzangu.
Naamini kadri huu mjadala unavyoendelea najifunza vitu vipya na hata wadau wengine wanafaidika na huu uzi kwa namna moja au nyingine, hivyo endeleeni kuijuza jamii.
 
No ..no...no...no... Big no kwanza hakuna kipimo cha determine kwa sasa , pili ukiona ni negative hautakiwi kutumia unigold , unigold inatumika tu kuthibitisha majibu yatapokuja positive

Halafu nina kitu cha kukubia ambacho ni very very important ila nitaruuud baadae i am on the way.....
Upo sawa mkuu ila jua case yetu ni tofauti kidogo. Sisi hatukuwa tunaenda kupima kwa mara ya kwanza, nurse ndio alitutaka tupime ili mchumba wangu apate kuanza clinic ya mama na mtoto, majibu yalipotoka kuwa yupo HIV- ndio tulipomwambia nurse kuwa labda kipimo chako ni kibovu sababu sote tunajua status yake kuwa ni HIV+ na anatumia dawa za ARV kwa miaka kadhaa sasa, nakumbuka nilimwambia nikipige picha kile kipimo akaniambia maadili yao ya kazi hayaruhusu, hivyo basi sekeseke letu ndilo lilimlazimu afanye na hiyo confirmatory test bado majibu yakatoka kuwa she is HIV-. Kuhusu kipimo gani kilitumika awali wadau wamesema ni Boiline na sio determinant sababu kwa hapa TZ nowdays hatutumii tena determinant so kwenye hilo ni mimi nilijikaririsha kuwa kipimo cha kwanza ni determinant, ila hicho cha confirmatory nina hakika kabisa ni Unigold sababu kilitumika kote Agakhan na Regency hospitals
 
Watakwambia hujapata mchubuko,au huna receptors,au mpenzi wako anatumia ARVs...

Halafu mwisho wa siku watasema kwamba case yako ni exceptional,yaani watu kama wewe mko wachache sana.

Ha ha ha haaaa
Nimefuata mabandiko ya paper zako na za watu wako nikajisomee mkuu wangu.
.
.
Japokuwa naanza kupata chembe chembe ya mashaka na unavyoshadadia comment kama hizi.
.
Hawa ndiyo unaowahesabu wewe kuwa wana wapenzi discordant. Hopeless.
.
.
Nasubiri citation zilizopo kwa paper zako nikazisome. siyo hizi chai.
.
.
Vinginevyo uje huku nikukutanishe na mwenye virusi, tupitie sheria.. then upewe miezi mitatu tu uwe unamchovya kama hivyo unavyoshauri wenzio. Kama haujaanza kuhara kabla hata ya incubation period.
.
.
Au ndo nyie wale mnatibu kwa kuwaambia clients wenu wanywe juisi ya majani ya papai lita 120 kwa week!???
 
Back
Top Bottom