My fiancee who was HIV+ now tested HIV-

My fiancee who was HIV+ now tested HIV-

Acha uongo.
Tofautisha aina za micro organisms na vipimo vinavyotumika kudetect.
1. Bacteria
2. Protozoa
3. Fungi
4. Virus
5.

Kamuulize huyo daktari wako fake ameshawahi kuwaona virusi wa mafua (influenza/flu) virus?
Kama hajawahi kuwaona, does it justify kuwa mafua hayapo?

Tatizo la kukua kwa nchi fukara.

Jaribu kutumia lugha ya kistaarabu asee...

We unanitajia Microorganisms unadhani siwajui?

Nimezungumzia Antibodies wanaotumika kujua kama huyu mtu ni HIV+ au LA, na nikaeleza antibodies wanaweza zalishwa kwa magonjwa mengi sana.

Kipi kimekuwa kigumu kwa kichwa chako kuelewa?

Niambie, kwanini Leo mtu akienda kupima anaambiwa ni HIV+ na baada ya muda anaambiwa ni HIV-?

Nina wasiwasi sana wewe ni mmoja was wahusika wa kuwauzia WaAfrika wenzangu KIFO kwa matakataka yenu mnayoita ARVs.

Aibu iwe juu yenu...!!!
 
Sasa kama viral load ni zaidi ya 1000,kwanini hao virus ambao viral load yao inapimwa hawaonekani?...ndio maana niliwahi kuwaambia watu humuhumu kwamba hata hiyo wanayoiita viral load haiwakilishi virusi vyovyote vile,bali ni kitu kingine kabisa ambacho hakina uhusiano na virusi,sitaki kwenda mbali sana nisije nikachanganya watu.

Kama hiyo viral load inawakilisha HIV,kwanini basi vipimo havimuoneshi huyo HIV?Hangaika nalo hilo swali,ukishindwa kamuulize Daktari unayemwamini na usiondoke kwake mpaka akupe jawabu.
Deception. Maada zako bwana.
Lkn ni kawaida ya conspiracists. Unawezaje kutumia sample size moja kusupport judgement zako?

Kwasababu, all people living with HIV (PLHIVs) wanakuwa reactive kwa antibody tests, viral load inakuwa detected na CD4 zinashuka.. with exceptions of very few. How do you ignore hii pool na kuchukulia hii sample moja kudraw conclusion HIV hayupo? Unaishia tu kusema viral load wanapima kitu kingine kabisa (Kuna limit ukweli lazima ujitenge na uongo)

Kwa mtoa mada:
1. Kuna a very rare condition but existing inaitwa sero-reversion. Naomba nisiielezee hapa but uisome.
2. Wangeweza kufanya PCR test kabla ya kupeleka sampuli Nairobi, kwanini hawakufanya? Cz if PCR is negative, 99.9% kuwa she is HIV negative. Tutaomba tupate mrejesho wa Enzyme-linked Immunosorbent Assay (ELISA) test itakaporudi
3. Kipimo cha viral load alipima lini mara ya mwisho kikaja na majibu >1000 copies? Ana majibu mangapi ya namna hiyo kwa spacing gani?
4. Kipimo cha determine? Hiki kipimo kimeondoka kwenye muongozo wa nchi yetu wa kupima HIV more than two yrs ago. (simaanishi kwamba siyo kipimo)
5. Tutakuja kujadili possible postulates za kwanini kumekuwa na dissimilarity ya majibu ya vipimo (reasons for false positives and negatives)

Nimeandika kidogo tu kwa post yangu hapo juu kuhusiana na aina za microorganisms.. Kila microorganism ana characteristic distiction yake.. Ni kama ilivyo kundi la wanyama.. kuna ng'ombe, nyani, simba, binadamu etc.. Ukichukua mfano binadamu; kuna weupe, weusi, wekundu.. Kwa weupe unaweza kuamua kusema kuna wazungu, wahindi, wachina.. kati ya wazungu kuna tofauti ya england, russia, portuguese etc.
Vivyo hivyo kwa bacteria, virus etc.

Your friends from developed countries' laboratories wana microscopes za kisasa kabisa, they observe in vitro every step ya huyu mdudu..
Na ukae ukijua, dedicate miaka yako minimum of 10 usome immunology. Utapata picha kidogooooo ya namna kila kiumbe kinavyoproduce response kwa mwili. Kuliko kutaja taja tu terminologies eti "antibody" sijui "antigen".. watu mnagoogle vijiheading then mnakuja kusumbua na kudanganya.

Acha kudanganya watu waruke ruke huko waje waukwae then waje walie lie hapa.
 
Jaribu kutumia lugha ya kistaarabu asee...

We unanitajia Microorganisms unadhani siwajui?

Nimezungumzia Antibodies wanaotumika kujua kama huyu mtu ni HIV+ au LA, na nikaeleza antibodies wanaweza zalishwa kwa magonjwa mengi sana.

Kipi kimekuwa kigumu kwa kichwa chako kuelewa?

Niambie, kwanini Leo mtu akienda kupima anaambiwa ni HIV+ na baada ya muda anaambiwa ni HIV-?

Nina wasiwasi sana wewe ni mmoja was wahusika wa kuwauzia WaAfrika wenzangu KIFO kwa matakataka yenu mnayoita ARVs.

Aibu iwe juu yenu...!!!
..unawaongeleaje wale wanaopima miaka na miaka na bado wapo HIV+?.. Au unaongeleaje umeenda kupima malaria hospitali A ukaambiwa hauna malaria, ukaamua kwenda kupima hospitali B within two hours kwasababu zako ukaambiwa una malaria?
 
Sasa nyie/wewe unaung'ang'ania huo ukimwi mnautakia nini?
Mm ningetosheka tu hapo kwa nurse wa kwanza hata regency huko nsige rudi.
 
Ha ha ha haaaaaaaaaaaa!....wanaonifahamu wanaelewa kwanini nacheka.

There is No way to test for HIV,kwasababu hakuna HIV duniani...kinachopimwa kwenye damu si HIV bali ni kitu kingine kabisa.

Tumepigwa changa la macho zaidi ya miaka 30 sasa.

HIV/AIDS is a MINDSET DISEASE.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji109][emoji122][emoji122][emoji1666][emoji1666]
 
Jaribu kutumia lugha ya kistaarabu asee...

We unanitajia Microorganisms unadhani siwajui?

Nimezungumzia Antibodies wanaotumika kujua kama huyu mtu ni HIV+ au LA, na nikaeleza antibodies wanaweza zalishwa kwa magonjwa mengi sana.

Kipi kimekuwa kigumu kwa kichwa chako kuelewa?

Niambie, kwanini Leo mtu akienda kupima anaambiwa ni HIV+ na baada ya muda anaambiwa ni HIV-?

Nina wasiwasi sana wewe ni mmoja was wahusika wa kuwauzia WaAfrika wenzangu KIFO kwa matakataka yenu mnayoita ARVs.

Aibu iwe juu yenu...!!!
Dah hizi mada ni ngumu sana kuzielewa kama kwa sisi tusiokuwa na uelewa mpana wa udaktari...ila nahs kuna ukweli ndani,pls elimisheni jamii nice comments
 
Kuna vitu vya kujifunza na kujaribu mzee lakini sio hiko.
(Siwanyanyapai waathirika) ila nimewahi kuona mtu mmoja hospitalin mwenye maradhi hayo aiseee ogopa sana aliteseka mno
Siyo kujaribu mzee.. maisha siku hizi yamebadilika sio kama zamani.. ukimpenda mtu utakua tayari kujifunza na kufuata tu masharti pamoja na kumhimiza proper dosage basi
 
Alikuwa anasoma st joseph nn
Huu ni upendo wa Agape aise..Ila pia nimeshuhudia jamaa mmoja hivi aliyeamua kujilipua kwa mwanamke mwenye maambukizi na anaishi nae mpaka tunavyoandika na yuko safi na amewahi pima mbele ya macho yangu ili kuniaminisha kuwa yuko safe..watu mna roho ngumu sana.
 
..unawaongeleaje wale wanaopima miaka na miaka na bado wapo HIV+?.. Au unaongeleaje umeenda kupima malaria hospitali A ukaambiwa hauna malaria, ukaamua kwenda kupima hospitali B within two hours kwasababu zako ukaambiwa una malaria?
Umesoma bandiko langu LA kwanza na ukalielewa vizuri?

Kama hujalielewa, rudi tena ukasome...

Nachozungumzia hapa ni kwamba hiyo HIV/AIDs inatibika eidha kwa Antibodies kushughulikia nao, ama kutumia vyakula na matunda tena haya tulonayo na ndio sababu unakuta kesi miezi sita ilopita MTU alikuwa HIV+ Leo yuko Negative.

Kumbuka miili yetu inatofautiana jinsi inavyoitikia matumizi ya tiba fulani.

Kwani wewe huamini kwamba kuna watu wanaugua Malaria na wanapona bila kutumia dawa zozote?

Kesi ya kupima Malaria ni Kesi ya usahihi was vipimo, ni tofauti na ninachozungumza Mimi. Mtu hawezi pona Malaria ndani ya Massa mawili.

Ukweli ni kwamba, ARVs zinaua watu wengi sana kuliko hicho mnachodai kinaitwa HIV/AIDS.
 
Hizo rapid test,sometimes zinaleta false results. Ila najiuliza Regency hawana ELISA test? Mimi nilipima HIV Regency mwaka 2008 and walitumia ELISA test.
 
Kupata ni ngumu ila akiendelea kula atapata siku
Ukimwi Upo Mazee,Watu wanaondoka na kilo mbili daily na maambukizi mapya kwa siku ni watu 200.....Kuna baadhi ya watu huwa na kinga kali hawapati virus hata wakipiga Dry kwa mtu mwenye HIV+,nishashuhudia jamaa alikuwa anakula demu mwenye ngoma lakini yeye hakupata kabisa na walizaa naye mtoto.
 
Jaribu kutumia lugha ya kistaarabu asee...

We unanitajia Microorganisms unadhani siwajui?

Nimezungumzia Antibodies wanaotumika kujua kama huyu mtu ni HIV+ au LA, na nikaeleza antibodies wanaweza zalishwa kwa magonjwa mengi sana.

Kipi kimekuwa kigumu kwa kichwa chako kuelewa?

Niambie, kwanini Leo mtu akienda kupima anaambiwa ni HIV+ na baada ya muda anaambiwa ni HIV-?

Nina wasiwasi sana wewe ni mmoja was wahusika wa kuwauzia WaAfrika wenzangu KIFO kwa matakataka yenu mnayoita ARVs.

Aibu iwe juu yenu...!!!
By the way, unachotaka kusema ni kwamba huko kwenu kuna aina moja tu ya kipimo kinachodetect antibodies? Acheni kudanganya watu.

Kuna vipimo tofautitofauti vya kudetect antibodies za magonjwa tofauti tofauti. Kila kipimo kina level ya sensitivity na specificity yake..
Kwa point unayotaka kujenga ni kwamba Malaria rapid test inaweza kutumika kuconfirm Syphilis? au TB?
Unajua, kamuulize daktari yeyote kama amewahi kuwaona Virusi wa Ukimwi (Jibu ni HAPANA

Kwa hiyo wanajuaje kwamba huyu mtu ni HIV+, atakwambia wanapima ANTIBODIES.

Antibody ni sawa na walinzi/askari wa mwili ambao wanatengenezwa na mwili kama kuna VIRUSI ama BAKTERIA wameshambulia mwili.

Sasa Antibodies zikiwepo kwilini haimaanishi una HIV, Bali yaweza kuwa ni ugonjwa mwingine wa kawaida tu unaotibika kirahisi sana hata wakati mwingine Antibodies wanaweza maliza shughuli.

Ndio sababu utakuta mtu anaenda kupima Leo anaambia uko HIV+ akirudi baada ya muda Fulani anaambiwa uko HIV-.

Ni kwamba hakuna ugonjwa unaoitwa HIV wala Ukimwi.
Hi post daaah ahahahahahah..
Ni vema ungeiedit kidogo au kuifuta kabisa. Umegeneralise kupita kiasi hadi inabore.. Afadhari uiongezee nyama nyepesi nyepesi kama wadudu tofauti tofauti wana produce antibodies tofauti tofauti.. Mfano wadudu wa Malaria wana antibodies zao zinazoweza kuwa detected kwa kipimo cha MRDT.. vivyo hivyo kwa syphilis RPR au VDRL. Kila kipimo kina sensitivity yake na specificity yake.
Kipimo kikiwa sensitive sana maana yake kina uwezo wa kucrossdetect wadudu wengine.. na kikiwa specific sana means uwezo wa kudetect wadudu wengine ni mdogo sana.
.
.
.
Kusema tu kwamba rapid test zinapima antibodies zozote.. sijui bacteria sijui virus. Then unaambiwa viral load ilisoma >1000copies.. Mwenzako anakuja anasema VL test inapima kitu kingine kabisa...
.
.
???????????
 
Umesoma bandiko langu LA kwanza na ukalielewa vizuri?

Kama hujalielewa, rudi tena ukasome...

Nachozungumzia hapa ni kwamba hiyo HIV/AIDs inatibika eidha kwa Antibodies kushughulikia nao, ama kutumia vyakula na matunda tena haya tulonayo na ndio sababu unakuta kesi miezi sita ilopita MTU alikuwa HIV+ Leo yuko Negative.

Kumbuka miili yetu inatofautiana jinsi inavyoitikia matumizi ya tiba fulani.

Kwani wewe huamini kwamba kuna watu wanaugua Malaria na wanapona bila kutumia dawa zozote?

Kesi ya kupima Malaria ni Kesi ya usahihi was vipimo, ni tofauti na ninachozungumza Mimi. Mtu hawezi pona Malaria ndani ya Massa mawili.

Ukweli ni kwamba, ARVs zinaua watu wengi sana kuliko hicho mnachodai kinaitwa HIV/AIDS.
Ngoja nirudi nikalisome hilo la kutibu kwa matunda. But antibodies ndo hao wameshashindwa kumtibu kirusi cha UKIMWI kama wanavyotibu bacteria na wadudu wengine. Ngoja nisome hilo bandiko lako nitarudi

Labda nikuache hivi; umejuaje kama antibodies wanatibu? wanameza (engulf) na kudigest microorganisms? Kama ulifahamu kwa kusoma, ni nini kinachokufanya usiamini kuwa hao hao antibodies wameshindwa kummeza HIV virus?
 
Mkuu, ngoja nikurahisishie.

Nenda kasome makala za Peter Duesberg kuhusiana na HIV/AIDS utaelewa vizuri zaidi.

Kuna Uzi uliletwa humu JF kuna jamaa alikuwa anatakiwa kwenda USA (alikuwa na afya imara) asa akatakiwa kwenda kupima HIV ili kukamilisha taratibu.

Akapima, akakutwa HIV+ (kumbuka alikuwa na afya nzuri tu!!) Baada ya kuambiwa wewe una HIV, jamaa akaanza kudhoofika kwa spidi kubwa sana... Jiulize nini tatizo?

Hii HIV ni uovu mkubwa sana uliopatwa kufanywa kwetu sisi WaAfrika, umepoteza na unaendelea kutupotezea watu.

Psychology + ARVs/Sumu lazima ufe tu, huku wachache wakiingiza matrillion ya pesa kwenye akaunti zao.

Fanya utafiti uone jinsi madaktari wanaoeleza ukweli kuhusu HIV wanavyopotezwa ndo utaelewa.

ARVs na vipimo vya HIV ni mradi tu kama mradi wa kufuga kuku ili upate faida, ni mradi kama wa duka huwezi kukubali upate hasara kizembe.
 
Kwanini unaamini makala za Peter Duesberg zimedisqualify makala na tafiti za watu wengine wote? Toka lini Herbalist akaitwa Dr? Nyie jamaa bwana. Eti madaktari wanaoongea ukweli kuhusu HIV wanauawa.. (akilini kwako unamuwaza Dr Sebi)..huyu aliyekuwa anajiita healer.. akashindwa kumponya MJ.

Mkuu, ungekuwa unatetea hoja yako kwa science pengine ungenishawishi niipembue hii hoja. Kuna mwenzio mmoja hapo juu ameandika neno retrovirus.. akaweka na maneno machache ambayo narudirudia kusoma hata sielewi amemaanidha nini.. huwa inatokea unapolazimisha hoja ya uongo kuwa ya ukweli..utaungaunga kutafutiza maneno, unaweza kuandika neno ambalo hata hujui undani wake.

Nisichopenda ni kutafutiza justification kwa hoja za mbali (outliers) au exceptionalities. Unasahau kuwa in every law there is a disturbing exceptional inayohitaji special attention.. Haimaanishi kuwa hiyo law ipo wrong.

Asante mkuu
 
Nataka kubadili mada au nahoji unachosema kuwa nimesema ni mada?

Wewe umeleta hoja ya kuona HIV. Ukanibandikia hoja hiyo mimi. Kimakosa. Kwa sababu mimi sijawahi kufanya hoja ya kuona kitu kama ya msingi katika kuthibitisha kitu.

Mimi kukuambia hiyo hoja unayonipa unanibambikia bure, kwa sababu si yangu, ni kubadili mada kivipi?

Kwani wapi nimesema kuona kitu ndiyo uthibitisho wa kwamba kipo?

Nimeshatoa mfano hapa, nikasema, kuona kitu si uthibitisho kwamba kipo.

Naweza kumuona Charlie Chaplin katika movie, hilo halimaanishi Charlie Chaplin yupo. Amefariki miaka mingi tu.

Ukienda jangwani au sehemu iliyo wazi na yenye kupigwa jua kali unapoweza kuona mbali, unaweza kuona kwa mbali kuna kama maji (mirage) ukikimbilia upate hayo maji unakuta hamna maji, ni jinsi mwanga unavyokuwa tu.

Kwa hiyo kuona kitu kipo hakuthibitishi kipo.

Na pia, kutoona hakuthibitishi hakipo.

Mimi nipo ndani ya nyumba sasa hivi. Nimepaki gari langu nje. Silioni. Lakini hilo halimaanishi gari langu halipo, kwa sababu tu silioni.

Kwa hivyo, kuona au kutoona kitu hakuthibitishi kwamba kipo au hakipo.

Na nimeyaandika haya sana tu hapa.

Tatizo hujanisoma, halafu unarukia mambo kusema unaelewa pingamizi langu kubwa kwenye hoja ya kuwepo Mungu ni kwamba haonekani.

Nimekupa nafasi unipe nukuu nilipoandika hivyo, umeshindwa.

Kwa sababu ni habari uliyoiandika kwa ukosefu wa uelewa.

Hujaelewa hoja zangu. Unafikiri tu kwamba umezielewa.

Jipange upya.

Naona unang'ang'ania sana hoja kuhusu Mungu,najua nimegusa unachokipenda.Kwa bahati suala la HIV?AIDS sio suala la IMANI kwamba linahitaji kutumia siasa ili kulitetea.Hapa ni sayansi tu.

Achana na hayo mengine na uje tujadili suala la HIV?AIDS,usigeuze mada na kuielekezea kwingine,acha politics.

NOTE:
Kwenye sayansi kuona ni moja ya kigezo muhimu kinachotumika kuthibitisha ukweli fulani wa kisayansi,mifano uliyotoa wewe kuhusu kuona ni BUTU sana.

Muda mrefu sasa wanasayansi wengi wanahoji kuhusu suala la ISOLATION and PURIFICATION of HIV,hatua hii inayohusu isolation na purification ni muhimu sana katika suala linalohusu CLAIM kwamba kijidudu fulani ndicho kinachohusika na ugonjwa fulani.

Sasa huwezi kuzungumzia suala la isolation and purification of HIV bila kuhusisha kuona.Do you understand?

Kwahiyo hii ni sayansi,mifano unayoitoaga kule mnakobishana kuhusu M/mungu usiilete huku.
 
Back
Top Bottom