MAMBOMENGIMDAMCHACHE
Member
- Jun 25, 2019
- 23
- 82
- Thread starter
- #141
Imekuwaje nipo kwenye relationship ya namna hii na imewezekanaje sina maambukizi mpaka leo.
Jibu lake ni hili;
Nilianza ku-date na huyu mdada nikiwa sijui status yake kabisa, nilipokolea na penzi na kutaka kuoa ndipo nilipoanza kutafuta watu wanaomjua huyu dada pamoja na familia yake kiundani......Mdau mmoja wa karibu na familia yao ndio alinitonya kuwa huyo dada kuna kipindi aliugua TB akakonda sana na baadaye ikaja kuthibitika kuwa ni HIV+. Hiyo taarifa ilinistua sana na kunitia kwenye dimbwi la mawazo..ila nililazimika kumuita mpenzi wangu anithibitishie na hakika aliniambia ni kweli she is HIV+, Nikamuuliza kwanini unataka kumuangamiza mwanaume anayekupenda upeo? Jibu lake lilikuwa simple sana "am sure you are safe" akiwa na maana kwamba aliambiwa na madaktari wake as long as atatumia dawa vizuri basi haitakuwa rahisi yeye kumuambukiza virusi mtu mwingine, nakumbuka that day nilimtandika vitasa ( ngumi na makofi) vya kutosha.
Kesho yake nilinunua vipimo mimi mwenyewe nikampima na kumkuta kweli she is HIV+ namimi nilikuwa HIV-, basi hapo hapo nilifanya maaumuzi ya kuachana naye na tukawa mbali kabisa.
Kwa kipindi cha miezi 3 tu tukiwa tumeachana huyo mdada alifanya majaribio ya kutaka kujiua kwa kumeza vidonge vya fragili mara 2 bahati nzuri ndugu walikuwa wakimuwahisha hospital.
Akaanza kuugua na ukichaa kwa sababu ya msongo wa mawazo basi hapo ndipo huruma iliponiingia na kuamua kuanza kurudisha ukaribu wangu kwake, weekend namtoa out mbalimbali as a normal friend ili apunguze stress, basi taratibu nilianza kumpenda penda tena
Nikaanza kujiuliza kama nililala naye kavu almost mwaka na sina maaumbukizi basi huenda hayo aliyoambiwa na wataalamu wake yana ka-ukweli, basi nami nikaanza kujisomea makala mbalimbali juu ya HIV/AIDS na kwa kweli nilichimba kadiri nilivyoweza. Baada ya kusoma sana basi ile hofu yangu juu ya HIV ikaanza kupungua.
Baada ya kipindi cha kama miezi 8 toka tuachane basi mapenzi yetu yakaanza tena upya tukifanya mapenzi nikiwa nimevaa kinga. Baada ya miezi kadhaa kupita ustaarabu wa kutumia kinga ulinishinda ndipo nikafungulia tena kupiga kavu under condition that sitapiga zaidi ya bao moja na kutumia mda wa kutosha kuandaana kabla ya sex, good thing bidada huyu yupo wet kupita maelezo.
So guys mpaka leo mimi naamini sina maambukizi sababu mpenzi wangu anatumia dawa vile inavyopaswa na hata mimi hujipa jukumu la kumkumbusha kila mda wa dawa unapofika. Maumbile yake kuwa Wet kirahisi wakati wa kumuandaa na kutopiga zaidi ya bao moja vyote hivi ndio vimechangia mimi kuwa salama.